Nasikitika kwasababu ukweli ni kuwa mabadiliko kwenye hii nchi yanaweza kuletwa na kiongozi wa CCM tu kama alivyojaribu JPM kwa muda alio hudumu kama Rais.
Nje ya CCM hakuna chama chenye uwezo wala mpango wa kuchukua hii nchi, hakipo labda kama kitatokea huko mbele. Kwahiyo watanzania poleni...
Yaani watz tunavyoishi ni kama vile bado tunajifunza kuishi. Ni kama vile tupo mafunzoni yaani hata ukikosea mara mia kwa kufanya makosa yale yale utajirekebisha kwenye maisha yenyewe haya yakipita. Hatupo sirias kabisa.
Kila kitu kimepanda bei kasoro mazao ya mkulima tu yaliyo shambani. Yaani...
Marufuku Afrika kununua Mafuta Urusi
Kupitia ziara ya Balozi wa Marekani Linda Thomas katika mahojiano kuhusu nchi za Afrika alitaka kutafuta masuluisho ya migogoro bila kutoa lawama kwa nchi za Afrika ambapo zimeathirika na vita ya Urusi zidi ya Ukraine.
Baada ya kufika Uganda aliziionya nchi...
Marekani imezitisha nchi za afrika zisinunue kabisa mafuta ya urusi!. Zinaruhusiwa kununua ngano na mbolea lakini ziachane na mafuta maana marekani imeyawekea vikwazo.
Swali: Je kuna nchi ya afrika itakayoweza kushupaza shingo na kununua mafuta ya Urusi? Labda Afrika ya kusini inaweza...
Idara ya Trafiki Barabarani imetangaza kuanza ukaguzi wa kitaifa wa mabasi ya shule ili kuhakikisha shule zitakapofunguliwa, wanafunzi wasafiri salama kwenda na kurudi mashuleni.
Haya yanajiri siku chache baada ya ajali iliyoua wanafunzi 8 wa Shule ya Msingi King David na watu wazima huko...
KWANINI VIJANA WA TANZANIA WENYE NDOTO ZA KUPATA FURSA ZA AJIRA,ELIMU,KUJITOLEA KATIKA NCHIZA ZA UMOJA WA MATAIFA( NCHI ZA NJE) HUISHIA KUTAPELIWA,KUPATA VYUO VYA UCHOCHORONI AU KUKOSA NAFASI KABISA?
Tanzania ina vijana wasomi Tena wengi sana kutokana na wimbi la kukosekana ajira wanajikuta...
Wana JF.
Naamini sote huko tuliko tunaendelea kusikilizia maumivu ya hari ya maisha ilivyo.
Nirudi kwenye mada.
Kwa sasa hii nchi ni kama mwanamke aliye pakwa makaup na pindi tu anapofuta makeup anarudi kwenye uharisia wake.
Hivi sasa mambo hata hayaeleweki, serikali inakamua hadi tone la...
Nipo Sehemu X
Katika Mafunzo ya Sensa ya watu na makazi itakayofanyika Usiku wa kuamkia tarh 23.
In short vijana 80% Ni brainwashed
Sana
Hiki kiazazi cha 20+ na 30+ nikizazi kilicho oza Kuanzia maadili na Akili kichwani.
Watu 24/7 wanawaza ngono na Pombe hapa wadada wanavaa uchi huku...
Habari za jioni wana JF wenzangu.
Mtakumbuka kwamba kulikuwa na mada moto moto katika Bunge lililopita, ambalo lilikuwa maalum kwa ajili ya bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/2023, kwa maana nyingine ni Bunge Maalum kwa ajili ya kujadili utekelezaji wa mipango ya serikali kwa mwaka wa...
Heshima sana wanajamvi,
Rwanda imeingia mkataba wa kuwachukua wakimbizi waliokimbilia UK kutafuta fursa mbali mbali za kiuchumi na wengine wakikimbia vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Rwanda ni nchi ndogo sana kwa maana ya eneo huku ikiwa na idadi kubwa sana ya watu.Rwanda ni nchi ya tano kwa...
Sina uhakika kama nitaweza kuielezea mada hii vizuri ila nianze kwa kusema kuwa nimefuatilia muundo wa jamii ya kitanzania, nimegundua unaweza kutugawanya katika makundi mawili kulingana na mitazamo yetu.
Upande mmoja ni wale watu ambao wanapenda kutafuta ukweli wa mambo, hawaogopi kukosolewa...
Kwa ufuatiliaji wangu niliofanya kwenye mambo mbali mbali, nimegundua kwamba CHADEMA imekuwa ikilaumiwa mara nyingi kwamba haitimizi wajibu wake hadi mambo yanaharibika. Kwamfano;
Wakati wa Bunge la katiba CHADEMA iliongoza vyama vingine kutoka kwenye vikao vilivyokuwa vinaendelea vya Bunge la...
Kwa kuwa wewe ndiye ukiongea kitu kesho yake kinafanyiwa kazi tusaidie hili la wizi wa makampuni ya simu kuibia watu data/bundle wanapandisha na hata ukikubali kulipia kiasi wanachotaka mb zinafyekwa kibabe
Kwa kifupi ni wezi ,malalamiko yakitolewa waziri husika Nape nnauye kazi yake ni...
ORODHA YA WATU WANAOJIONA WAJANJA NCHI HII!
Anaandika, Robert Heriel!
Nchi hii inamambo Sana. Leo sina mengi ya kusema, nijikite kwenye Uzi.
Ifuatayo ni orodha ya Watu wanaojiona ni wajanja na Werevu.
1. Wasanii wa Muziki, BongoFleva
Kundi hili ndilo linaongoza Kwa kudhani kuwa wao ndio...
Naitwa Kendrick de hustle ningependa kuchangia mawazo yangu ili kiweza kuboresha mabadiliko kwenye Nchi yangu🇹🇿.
Kwenye sketa ya ELIMU.
Ningependa kuona mabadiliko ya kuongezwa mishara kwa WALIMU kutokana wao ndio kiini kikubwa kwenye kukuza huelewa wa wanafunzi kwenye sketa nyingine kama...
Wakuu,
Nakubali tatizo kubwa ni katiba iliyopo na najua muda si mrefu tutaipata!
Tatizo kubwa zaidi hapa kwetu ni kwamba;-tuliamua kama Taifa
, kuwepo mishahara MIKUBWA sana, posho kubwa sana na mafao makubwa Sana yawepo kwenye siasa kuliko kada nyingine zenye mashiko na maendeleo kwa wote...
Thursday’s reading is a blow to the Biden administration, which many have blamed for record-high inflation and soaring interest rates that have caused consumers to tighten their purse strings.
Reacting to the second quarter GDP report, Biden avoided addressing the recession issue. Instead, he...
Habari wana JF
Napenda kuwashirikisha wanajamii wenzangu juu ya uchumi wa nchi ya Tanzania kudhoofika na kuendelea kukua kwa kiwango kidogo sana kwa kila mwaka ni kutokana na kuwa na sera za kikodi na ushuru ambazo zinawavunja moyo wawekezaji na wafanyabiashashara wengi kupelekea kudorora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.