nchi

  1. JamiiForums Tanzania Nimependa Vladmir Putin alivyooiita nchi yake "Fatherland". Nashauri na Tanzania tuachane na kauli za "Mama Tanzania"

    Kulifananisha taifa na mama ni mbinu za kisaikolijia kulivunja morali. Sijui chanzo cha sisi Watanzania kujiita MAMA TANZANIA au MOTHER LAND BADALA YA FATHER LAND Tumuige Putin kuiita nchi yetu BABA TANZANIA. AU TUTUMIE NENO FATHERLAND BADALA YA MOTHERLAND. SABABU ZANGU 1: Mama ni...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari vya Magharibi havitangazi maandamano yanayoendelea nchi nyingi za Ulaya?

    Maandamano yanaendelea nchi kama Italy, France na Germany kupinga hali ngumu ya maisha pamoja na NATO, nastaajabu kuona habari hizi hazipewi headline, kwanini ?
  3. JamiiForums Tanzania Shaka: Rais Samia pumzi mpya kwa maendeleo ya nchi

    RAIS SAMIA NI PUMZI MPYA YA MAENDELEO Shaka asema Kasi yake katika kutekeleza miradi ya maendeleo inatoa matumaini makubwa Amesisitiza kazi nzuri inayofanywa na serikali ya awamu ya sita huku akionya vitendo vya rushwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania lazima Tufahamu Rais wa nchi siyo Sawa na Rais Wa Bendi ya Mziki kiulinzi na Kiusalama

    Ndugu zangu Kuna watu wanaleta ujuaji Sana hapa nchini, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni siasa, Kuna watu wanafikiri kila kitu ni sawa na wanavyowaza, kuna watu wanamchukulia Rais Kama raia wa kawaida, kuna watu kwa upeo wao mdogo wanamlinganisha Rais na sisi, Kuna watu wanazani uzito wa Rais...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nashauri kuwepo pia kwa Mkapa Day, ameifanyia hii nchi makubwa sana, isiwe mapumziko

    Tuna Nyerere Day kuenzi mambo makubwa aliyotufanyia Nyerere (legacy) kama vile Uhuru wa nchi yetu pamoja na umoja na mshikamano Lakini Nyerere pia alikuwa na mapungufu makubwa yaliyopelekea nchi kuwa na hali mbaya sana kiuchumi Mtu aliyechukua maamuzi yaliyofufua uchumi wetu ni Mkapa, mkapa...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri anaunda tume kuchunguza 'kufeli' kwa wanasheria, mbona CPA na PSPTB wanafeli pia?

    Tunaweza kujadili miaka yote juu ya professional bodies mbali mbali lakini kuna mambo mengi yaliyojificha ndani yake. Sehemu kubwa hii ni biashara kwa wachache. Mitihani ya CPA watahiniwa wamekuwa wakifeli kila mwaka kwa wingi. Hata matokeo yake mengi huwa ni ya kupanga tu! Rushwa kibao! Leo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania yagoma kupiga kura ya kuunga mkono Mipaka ya nchi ya Ukraine(Territorial Integrity) huko UN

    Nchi 135 zimepiga kura kuunga mkono na kutetea mipaka ya kinchi ya Ukraine, isipokuwa nchi 5 zimepiga kura kupinga . Na nchi 35 hazikupiga kura ya kuunga mkono au kukataa. Miongoni mwa nchi hizo ni Tanzania. Inashangaza sana nchi yetu ambayo imewahi kupigana vita kulinda Territorial Integrity...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wakataa kuyatambua majimbo ya Ukraine yaliyochukuliwa na Urusi

    Ni waz putin wameshamchoka ameshindwa kila sehemu ,china naona kamkacha kiaina. Nchi wanachama wa U.N wamepiga kura ya kutoyatambua majimbo yaliyochukuliwa kiharamu na dicteta putin. Ni nchi 5 tu ndizo zimeungana na putin. Africa hakuna aliyemuunga. CNN ===== Strong majority of countries...
  9. JamiiForums Tanzania Marekani achanganyikiwa baada ya nchi za OPEC Plus kutangaza kupunguza uzalishaji wa mafuta

    Nchi za Opec Plus zimekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa sababu za kiuchumi. Lakini marekani yakurupuka na kusema Saudia amefanya njama na Urusi ili kupitisha azimio hilo. Matokeo yake bunge lao wameanza kusema wataanza kupitia upya sera ya mahusiano na kati yake na Saudia. Naona...
  10. JamiiForums Tanzania Chadema hawafai kuwa 'ruling party'. Ikitokea wakawa watawala basi nchi itaharibika kwa kila namna. They dont deserve by any means necessary!

    Wataibuka matapeli wa kuchangisha michango ya kila namna. Kwa kisingizio cha kujenga chama na ofisi makao makuu. Huko Twita itakuwa ni upuuzi uliotamalaki kuhamasisha nonsensical ideas. Maandamano ya kuunga maazimio yatakuwa hayakatiki. Watu hawatafanya kazi. Polical chaos will emerge. Hawa...
  11. JamiiForums Tanzania Wahenga njooni mnisaidie: Eti huyu mama ni nani hasa katika nchi hii?

    Huyu hapa.. Naomba tufahamishane vizuri wahenga wa Jf..
  12. JamiiForums Tanzania Tulioitika Wito Kuhamia Burundi, Tumefarijika Sana Kumuona Former First Lady, Mama Salma Kikwete. Kumbe Rais Akiwa Mwanamke, Nchi Haina First Lady!

    Wanabodi, Baada ya kiongozi fulani kututaka tusioridhika na hali ya nyumbani, tuhamie Burundi, mimi ni mmoja wa walioitika wito huo tumehamia Burundi sasa naishi Bujumbura! Tangu tumehamia hapa, tumefarijika sana kwa kiongozi wa kitaifa kutoka Tanzania kutembelea Burundi. Huyu ni Mheshimiwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nadhani mabeberu wa nchi za Magharibi wanaelekea kulielewa somo sasa: Chezea kingine ila siyo sharubu za Putin

    Wamemwekea vikwazo lukuki wakiamini kuwa uchumi wa urusi utakufa ghafla, kinyume chake uchumi wa nchi zao ndio unaoanguka!! Usicheze na nchi yenye maliasili zinazohitajika kwa lazima kwa maisha ya kiila siku: mafuta na gesi!!! Usicheze na nchi inayojitegemea na kutegemewa kwa chakula!! Hapo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Marekani inajali maslahi yake sana lakini nchi nyingine zikijali maslahi yake inanuna!

    Marekani ilikuwa inakasirika sana kuona nchi za ulaya magharibi zinapata gesi ya rahisi toka urusi, maana ilishindwa kupata soko la gesi yake ya LNG huko ulaya. Ilipiga vita bomba la gesi la pili kujengwa toka Urusi hadi ujerumani lakini likajengwa kwa mbinde!! Lilipojengwa iliishinikiza...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa nchi za Afrika juu ya suala la Urusi na Ukraine ni jambo dogo sana linalopaswa kuongozwa na kanuni, sio maslahi ya nchi zetu

    Nawashangaa sana viongozi wetu. Eti wengi wanasema hawataki kuchagua upande kati ya Urusi na Ukraine, hata kwenye mambo ya kura wanajitoa. Huu ni uoga na unafiki usiokubalika kwa viongozi wa nchi za Afrika. Ndio maana nimesema siku zote Nyerere alikuwa mtu mwenye busara sana, alisimamia...
  16. JamiiForums Tanzania Raia wa nchi za NATO waanza kukerwa na mfumuko wa bei

    MWAMBA The demonstrations were sparked by what protesters called economic “disruption” and “energy and health restrictions” Mass protests against NATO and EU hit Paris streets (VIDEOS) FILE PHOTO: Protesters march behind a banner 'Resistance' in Paris, France, on September 3, 2022. © AFP /...
  17. JamiiForums Tanzania Afrika: Nchi 10 zenye barabara nzuri Tanzania haimo, Hayati Magufuli alikuwa anafanya nini?

    Salaam Wakuu, Huwa nasikia watu wanamsifia Magufuli eti ni Baba wa Barabara/Mabarabara, hakutaka Demokrasa Nchini eti yeye ni Hapa kazi tu. Lakini hakuna kazi hata moja alofanya inatambulika kwa watu wenye akili zao wanaojua nzuri na au maendeleo ni nini. Hayati Magufuli alivyokuwa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini hii nchi inatuchukia na kututesa sana Waafrika? Tuungane tuisusie

    Mfanyakazi wa asili ya Afrika ameonekana akinyonyesha mbwa huko Saudi Arabia Hii nchi kwanini inachukia na kunyanyasa sana Waafrika? Maana tangu nijue kusoma sijawahi kusoma nchi inayotesa Waafrika kama hii, visa ni vingi sana Kwanini Waafrika tusiungane na kuisusia hii nchi na kufunga balozi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mazingira fanyeni kazi yenu sawa sawa nchi inageuka Jalala kwa kasi

    Nimetembelea jiji la Dar es salaam, kwa kweli hali niliyokutana nayo inasikitisha sana. Mpaka ikabidi nijiulize hii wizara inayohusika na mazingira iko wapi na inafanya nini? 1. Mifuko ya Plastic mitaani imekuwa mingi sana. Miaka michache iliyopita wakati wa Utawala wa Hayati Magufuli serikali...
  20. JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya kiuchumi nchi hii yanaitaji mabadiliko ya haraka katika sekta tatu

    1. Kuinua na kuhimiza kilimo cha umwagiliaji. Hiki ni kitu muhimu kutoka kutegemea mvua za msimu, serikali iweke na kuwezesha UKUAJI WA SEKTA YA KILIMO. Tanzania tuna fursa ya maeneo bora ambayo sasa yametelekezwa kama mapori, yana udongo wa rutuba vyanzo vya maji ya mito na underground...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…