nchi

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando arudishwa EFM baada ya benchi la miezi mitatu, akiri kukosea kusema 'nchi inakopa sana'

    Mtangazaji mkongwe Gerald Hando amerudishwa EFM rasmi ambapo amekiri kukosea ======== Mtangazaji maarufu wa EFM, Gerald Hando leo amerejea kazini baada ya kukaa benchi miezi mitatu kasoro siku moja. Hando amesema kauli yake aliyoitoa ndio imemletea changamoto na ikaonekana amekiuka 'editorial...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika hazina hamu tena na "Demokrasia ya Kimarekani"

    Mkutano wa pili unaojiita kama "Wa kilele wa demokrasia duniani" ulioandaliwa na serikali ya Marekani utafanyika hivi karibuni, na moja ya kumbi ndogo itakuwa barani Afrika lakini hadi sasa, ni nchi 16 tu kati ya 54 za Afrika ambazo zimethibitisha kuhudhuria. Hii imeonyesha kwa mara nyingine...
  3. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Je, siri gani imejificha juu ya nchi ya Tanzania hadi papa abusu ardhi ya Tanzania?

    Wakuu. Kuna suala linaniumiza sana Kichwa. Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu? 1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania? 2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui? 3. JE Tanzania...
  4. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Vazi la Taifa Nchi ya fiji linatia mashaka Sket kwa wanaume 🤔

    Tizama Video hii ya Rais wa fiji akiwa amevalia sketi na koti daah ...
  5. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya matatani na balozi wa Marekani kuhusiana na ushoga

    Nchi ya Marekani ndiyo muamuzi wa Dunia. Mbungea wa Kenya amemlaumu balozi wa Marekani kuwa ndiye anayeeneza ushoga nchini Kenya, pia amesema Marekani ndiyo inayoharibu dunia Ukweli ni kuwa Kenya hailingani na Marekani hata theluthi hivyo haiwezi kupingana na Marekani, Marekani wakiamua Kenya...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nchi zenye gharama ndogo za nishati ya umeme katika Afrika.

    Hii hapa orodha ya nchi zenye gharama ndogo kabisa za nishati ya umeme katika Afrika. https://africa.businessinsider.com/local/lifestyle/african-countries-with-the-cheapest-household-electricity-prices/bc9kys4
  7. Issakson makanga

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi ambayo wajinga wamepata fursa ya kuongoza werevu kwa kuwa wana 'connection'

    Ukweli utatuweka huru na kutuvusha, ukibisha na ubishe, hukatazwi. Kiuhalisia hii nchi ina mfumo mbovu na umeoza wa kupata vyeo na madaraka, yaani inakera. Huhitaji hata degree wala PhD ili ujue ili mradi uwe na connection inatosha. Hivi umejiuliza ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa inapaswa uwe...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

    Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ruto, Raila kuelekea Jumatatu, Tanzania tuna mengi ya kujifunza

    "Katikati ya lindi la yaliyotukuta Kagera, Mola atufanyie wepesi janga hili lituepuke." Hata hivyo maisha lazima yaendelee. Kutokea kwa majirani zetu: Ilikuwa wiki yenye mengi kutokea Jumatatu iliyopita iliyoshuhudia kimbembe cha kufa mtu, pata shika nguo kuchanika. Miamba miwili kila mtu...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Nchi ambazo zinahangaika kujenga matundu ya choo hazipaswi kutoa msaada wa fedha kwa nchi matajiri duniani

    Tumesikia na kusoma kwenye vyombo vya habari kuwa Tanzania imetoa dola za Kimarekani milioni moja (zaidi ya bilioni 2 na milioni 200) kwa Uturuki iliyopatwa na janga la tetemeko la ardhi mwezi ulliopita. Yapi Merkezi ni kampuni ya Kituruki inayojenga SGR kutoka Dar hadi Mwanza kwa zaidi ya...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Taswira ya uwekezaji katika nchi yetu inaonesha wageni wanawekeza zaidi kuliko wazawa

    Mikoa kumi iliyovutia wawekezaji kwa kuangalia thamani (Tsh) ya miradi iliyosajiliwa na TIC kwa mwezi Februari 2023; 1. Dar - Bilioni 422 2. Pwani - Bilioni 307 3. Morogoro - Bilioni 19 4. Ruvuma - Bilioni 17 5. Arusha - Bilioni 9 6. Mwanza - Bilioni 7 7. Mbeya - Bilioni 6 8. Dodoma - Bilioni 5...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Kiswahili wahimizwa kuitangaza lugha hiyo nje ya nchi na kuwa na matumizi fasaha na sanifu

    Wikiendi iliyopita yaani tarehe 18 na 19 Machi, lilifanyika Kongamano kubwa visiwani Zanzibar nchini Tanzania ambalo limeshirikisha vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi vinavyotangaza kwa lugha ya Kiswahili. Kongamano hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-Wakil...
  13. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye watu wenye furaha Afrika

    Wadau ninaleta kwenu orodha ya nchi kumi 10 zenye furaha Afrika kwa mujibu wa jaribu moja la umoja wa mataifa linalojihusisha na mtandao wa maendeleo endelevu duniani Congo wamo naileta orodha 1. MAURITIUS 2. LIBYA 3. IVORY COAST 4. SOUTH AFRICA 5. GAMBIA 6. ALGERIA 7. LIBERIA 8...
  14. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Ni Rais wa nchi gani aliwahi kufanya hivi?

    Nimefuatilia kwa muda toka week ilipoanza wakati Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alipokuwa akiwavika nishani makamanda wa jeshi la nchi yake. Wakati akikagua gwaride ndipo mvua ikaanza kunyesha, no mwamvuli na shadow! ☝🏾Baada ya kukagua gwaride. ☝🏾Akiwa anakagua huku akinyeshewa mvua...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi Wasukuma kudhibitiwa wasiongoze nchi, ila ni upuuzi kuwaza Sukuma Gang inaweza kudhibitiwa isiongoze nchi!

    Mods! Tafadhari, mada hii haina uhusiano wowote na kabila la mtu, hivyo naombeni sana! Shalomu Tanzania! Zamani za mfalume Farao, mfalume huyu wa Misiri kipindi cha yeye kuongoza Misiri' alitoa amri ya kuwauwa watoto wote wa kiume waliotokana na wayahudi wahamiaji wa Kiisraeli katika nchi...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania tu Rais wa Nchi anaitwa mpendwa naye kuchekelea!

    Wapigadili, walafi, mafisadi na matapeli wana akili sana. Kila kiongozi anayeingia madarakani humkalia kikao na kujua wapi anawashwa ili wamkune hapo hapo! Hakuna Rais aliyewahi kuwa na mapenzi na watu wake Kwa hapa Tanzania kama Julius Nyerere lakini hatukuwahi kusikia akiitwa "Rais wetu...
  17. bahati93

    JamiiForums Tanzania Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

    Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake. Ukipitia twakimu kwa miaka...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kamwe siwezi kuwaamini watu walioteuliwa na Rais katika nchi inayoitwa Tanzania

    Natanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu mwingi wa kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunileta duniani na kuweza kupata uhai ambao Leo hii unanifanya naweza kufikiri Kwa mapana. Leo katika kupitia pitia katika mitandao ya kijamii nimekutana na nukuu iliyonukuliwa wanahabari...
  19. Leak

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe uko wapi mchele mlioagiza toka nje ya nchi? Bei ya mchele imeshuka? Nani awajibike?

    Hivi karibuni Serikali iliahidi kuingiza mchele toka nje ya nchi ili kupunguza makali ya bei ya mchele na nafaka zingine! Matarajio ya watu wengi ilikuwa ni bei ya mchele kushuka na kuwasaidia watu kuweza kumuda kupata mlo Sasa imepita miezi zaidi ya miwili lakini bado bei iko pale pale lakini...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania yatajwa kwenye orodha ya Nchi zisizo na Furaha Duniani

    Ripoti ya Dunia ya Furaha 2023 imetolewa. Kwa mujibu wa viwango vya Dunia Vya Furaha kwa mwaka 2023, Finland ndiyo nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa sita mfululizo. Wakati huo Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi zenye Watu wasio na Furaha duniani. Orodha kamili hii hapa Nchi 10...
Back
Top Bottom