nchi

  1. JamiiForums Tanzania Hii nchi wanasiasa wanatuchezea, nimemua kuishi kivyangu na lolote litokeee wala sijali

    MSHAHARA WA WABUNGE HAUENDANI NA WANACHOKIFANYA BUNGENI. Na Thadei Ole Mushi. Ukiangalia Mshahara wa Mbunge na anachokifanya Bungeni vinatia Hasira Sometimes… Twende Sawa Rais Magufuli ndiye Rais aliyevunja Rekodi ya wabunge kuweka maazimio ya kumpongeza Bungeni. Maazimio ya mwisho mwisho...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna raia au kiongozi wa Serikali mweusi(asili ya Afrika) nchi za Urusi na China..?

    Maana siamini km hakuna watu weusi katika NCHI hizo km hawajaolewa au kuoa na wenyeji wa hizi nchi.. Huwa wanaishia wapi? Pia naamini wapo watu weusi wamezaliwa hizi nchi MIAKA na MIAKA na hawahi kuishi nchi nyingine kuishi zaidi ya hizi, Hawa nao huishia wapi? Yasije tokea Yale ya...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mlimtweza na kumdhihaki kisha mkadhani mtaila nchi kumbe nchi inawala

    Hamkujua kile kipo katika kitabu, hamkujua kesho yetu mkaona binadamu ndio tatizo na sasa hayupo basi tumtweze kisha tumdhihaki. Tuite makongamano, tuite watu wakutusemea dhiaka zetu wakati yote yanafanyika, Mungu aliwaangalia akajua shida yenu sio kiti shida yenu ni matumbo na dawa ya tumbo ni...
  4. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia ateua Balozi mmoja na kumhamisha Humphrey Polepole kuwa Balozi nchini Cuba

    Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) kama ifuatavyo: 1. Amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa Balozi wa Tanzania, nchini Malawi. 2. Amemteua...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

    Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali, Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kweli Hayati Magufuli aliiona Tanzania ikiwa nchi ya kutoa misaada kwa nchi zingine?

    Ni kweli miradi iliyoanzishwa chini ya utawala wa Magufuli, ilitosha kuifanya nchi yetu kuondokana na umasikini na kuwa nchi yenye uchumi mkubwa kiasi cha kutoa misaada? #Unapoitazama SGR unaona nini #JKNHP, unaona nini #Kauli mbiu ya viwanda, wewe unaona nini #Ununuzi wa ndege Je. #Upanuzi...
  7. JamiiForums Tanzania Kiongozi mkuu wa Nchi analalamika wananchi wafanyaje?

    Salaam, Nimefuatilia hotuba nyingi za kiongozi mkuu Nchi mara nyingi analalamika sana kuhusu watu walio chini yake lakini hachukui hatua madhubuti yeye ni kulalamika tu sijui shida ni nini? Najiuliza maswali mengi sana. 1. Yawezekana hana mamlaka kamili au kuna watu wana power kumzidi. 2...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Unafikiriaje kuanzishwa kwa Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS italeta manufaa?

    Sarafu Mpya kwa Nchi za BRICS. Nchi za BRICS zinaripotiwa kufanya kazi katika kuunda aina mpya ya sarafu na mpango wa kuwasilisha maendeleo yake katika mkutano wa kilele wa viongozi wa BRICS mnamo Agosti mwaka huu, Naibu Mwenyekiti wa Jimbo la Duma Alexander Babakov alisema Alhamisi kando ya...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wameanza kuhama nchi mapema kabisa

  10. JamiiForums Tanzania TCRA kuanza ukaguzi wa Vifaa vya Mawasiliano ya Kielektroniki kwenye Nchi vinakoagizwa

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), John Daffa amesema kuwa ukaguzi utaanza Mei 23, 2023 kwa lengo la kuepusha na kudhibiti uingizaji wa Vifaa vilivyokwisha muda wa matumizi Nchini. TCRA imesema Hatua hiyo ni katika kutekeleza Kanuni zilizoazimiwa katika Mkutano wa Taasisi...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Madudu ripoti ya CAG, tunaua nchi wenyewe

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na kufanya hivyo ni sawa na kuiua nchi yetu wenyewe. Mkuu huyo wa nchi ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusu uzembe wa upitishaji wa...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi inazidi kufunguliwa, ukizubaa shauri yako

    NCHI INAZIDI KUFUNGULIWA, UKIZUBAA SHAURI YAKO. Anaandika, Robert Heriel Naona nchi inazidi kufunguliwa, wageni Kutoka Nchi za ng'ambo wanazidi kumiminika. Majiji makubwa yamesongwa na wageni wa tabaka za Kati na zajuu. Kazi kwenu vijana na wamama kuchangamka. Nchi ikifunguliwa inakuwa na...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mjadala huru: Mfumo wa kumpata Makamu wa Rais unatufaa kama Taifa?

    Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari. Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote ni katika kuyaelekea mazuri ya ndoto yetu. Kwa hapa Tanzania kulingana na yaliyotokea, bila ya...
  14. JamiiForums Tanzania Nachukia Nchi yangu - Serikali ijirekebishe

    Kwa kweli nachukia mambo yanayoendelea kwenye nchi yangu na uonevu mkubwa wa mifumo yetu. Niwape pole sana kwa report mbaya ya CAG, ila pia niseme kisa changu kinachoula moyo wangu. Nilikuwa nina safari ya Mbeya ya kikazi na gari langu, kweli ni my dream car na nimelinunua kwa gharama na...
  15. JamiiForums Tanzania Kama mtu anakopa benki 5 tofauti za Tanzania na akaweza kukimbia nchi bila kugundulika ni ishara kwamba TISS na vyombo vingine vimelala

    Jana, raisi wa Jamhuri ya Muungano na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania kaeleza kwamba kuna mtu amekopa benki 5 au 6 tofauti za Tanzania na hajulikani alipo, yaani amekimbia na kutoka nchini. Sasa huu ni mtihani kwa TISS, vyombo vya fedha, uhamiaji na wizara ya mambo ya...
  16. JamiiForums Tanzania Moyo wangu umejaa simanzi na uchungu! Nchi inaliwa sana hii

    TRA ikisema ikusanye fedha zinazoibiwa kama CAG alivyosema, itakusanya hela nyingi kuliko hizi wanazokimbizana na Wafanyabiashara huku barabarani. Na Dkt Mwigulu Nchemba akisema aache Safari zake za nje za kwenda kutafuta mikopo himilivu,then afuatilie hela za mashirika yanayojiendesha kwa...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Hili la utafunaji wa kodi zetu! Wananchi tuonyeshe hisia zetu!

    Mpaka lini sisi tutaendelea kuitwa masikini? Huu umasikini tunaoitwa nao kila leo, sababu yake ni ipi kama sio hii ya wakubwa kuiba mapesa yetu? Ni kweli kabisa sisi ni masikini au ni upumbavu wetu? Umasikini upi tulionao sisi ili hali robo nzima ya bajeti yetu, inaishia mifukoni mwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nadiriki kusema nchi za Afrika hususani viongozi wake hawajielewi

    Nchi nyingi duniani zimepitia katika kandamizi za kimabavu za nchi nyenginezo (expansionism)) hii inatokana na kwamba mkataba wa mwanzo wa maisha ulikuwa unategemea sana vita (SURVIVE for war) nguvu zako katika vita zitakuhakikishia kutawaliwa au kutawala (State of Nature). Nchi kama marekani...
  19. JamiiForums Tanzania Nchi yangu Tanzania

    Habari wanajf? Ifikie hatua hii nchi iweke namna ya kudili watu wanaoihujumu nchi yetu siyo Kila Mara ripoti ya CAG iwe inasononesha watu mitima yao. Kuna watanzania wana matatizo mengi Ila wanajitoa kuchangia Kodi kwa ajili ya maendeleo ya nchi yao alafu wajanja wachache ambao wameaminiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

    Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…