nchi

  1. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hizi kodi ziko nchi hii au watu wanasema uongo kumchonganisha Samia na wafanya biashara? Huu ni zaidi ya msiba!

    Mh Rais ni kweli umeamua kuuwa uchumi na biashara kabisa? Hivi kweli umeruhusu kadi za namna hii? Hii nimeikopi kwa mwana jf wakukurupuka1 Nanukuuu “Leo Kuna mgomo kwa wafanya biashara soko kuu kkoo kutokana na kila wiki uzinduzi wa kodi mpya Baadhi ya kodi unazotakiwa kulipa 1: TRA. 2: FIRE...
  2. JamiiForums Tanzania Je, tunajifunza historia ya nchi kwa manufaa?

    Habari zenu wanajamii?! Wataalamu na walimu wa historia duniani kote wanaeleza fani ya historia inamsaidia binadamu kujua alipotoka, alipo na anapoelekea. Nikitafakari hili, nawaza historia ya nchi yetu tumeitumia vipi kutuletea manufaa? Tangu babu zetu kina Mkwawa na bibi zetu wapambane na...
  3. JamiiForums Tanzania Ukiwa na USD 500,000 unaingiza vipi Tanzania kama upo nje ya nchi?

    Habari wana JF, Jumapili yenye mushkeli, kumpoteza bwana wille aka lemutuz, ni pigo kwa watanzania wanaomfahamu na waliopenda vitimbwi vyake mitandaoni. R.I.P. Turudi kwenye mada. Je! dola laki tano in cash(noti) Unaingizaje Tanzania naomba msaada kwa wajuvi wa kada hii. Kwani naamini wapo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Tanzania. Mkuu wa nchi anazindua minara ya bil 270+ huku wananchi vijijini hawana maji wala huduma za afya za uhakika

    Watu wa vijinini hawana uhakika wa huduma za afya na maji ya uhakika. Kati ya watu kumi ni mmoja tu anaweza kuwa na smart phone huko vijjini. Hizi pesa kwa nini zisitumike kwa mambo ya muhimu
  5. JamiiForums Tanzania Je, unajua ndani ya idara za usalama na ujasusi kote duniani kuna idara ya kumdhibiti kiongozi wa nchi?

    Idara zote za usalama wa nchi kuna idara ya ndani ambayo jukumu lake kuu ni kumdhibiti sponsor. Kwa maslahi ya nchi. Idara hii ni ndogo na ya hatari mno na wote waliomo ni unnyonimous hata kwa wao wenyewe! Jukumu lao ni la hatari pia kwasababu kunapotokea ulazima wa kumu eliminate sponsor...
  6. R

    JamiiForums Tanzania La CAG limeisha, maisha yanaendelea. Wapigaji wanawekeza kwenye miradi yao, Bahari imetulia. Nchi hii ngumu sana

    1. Tule tunywe tufurahi, la CAG limeisha bahari imetulia. Walioiba wanapanga miradi gani wawkeze, zizae maisha yaendelee wao na wanao wahusu. 2. Mama Amemaliza kila kitu kwa neno moja tu la stupid.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu aliitwa ‘Chief Whip‘ Opposition Leader ndani na nje ya Nchi?

    Wakuu tukirudi nyuma kidogo kwenye siasa za Bongo hapo nyuma kulikuwa na siasa za Weka chuma niweke Ugoko. Jambo moja ninalokumbuka huyu bwana anayeitwa Tundu Lissu alitambulika na kupata umaarufu na hatimaye Vyombo vya habari vya ndani na nje ya Nchi vilimtambua kama Chief Whip Opposition...
  8. JamiiForums Tanzania NADHARIA Ugonjwa wa UVIKO-19 unadaiwa kurejea kwa kasi nchini

    Salaam Ndugu zangu, Zipo tetesi zimesambaa katika maeneno mbalimbali kwamba ugonjwa wa Covid-19 umerejea nchi. Kwa sisi tunaoishi Dar tunashuhudia kulipuka kwa mafua makali yakiambatana na kikohozi fulani na homa. Je kuna ukweli kiasi gani kwenye hili? Jamiiforums tunaomba mtusaidie kuuliza...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Magharibi zinaisaidia Ukraine silaha bila kificho lakini huzishutumu nchi zingine zinazoisaidia Urusi?

    Kama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa Kila kitu na wanataka mtazamo/maadili yao uwe mtazamo wa dunia yote. Hivi dunia haiwezi kuwepo bila...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu

    Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu Utangulizi Tunapozungumzia kilimo na mifugo katika nchi yetu ya Tanzania tunagusa Nyanja ambazo kwa muda mwingi zimebaki kuwa mihimili ya vyanzo vya mapato kwa jamii nying sana za kitanzani shughuli hizi mbili daima zimekuwa na mchango mkubwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wazi kuna Mgawanyiko, Kundi la Hayati Magufuli na kundi la Walamba Asali

    Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG. Kundi la Hayati Magufuli linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya...
  12. JamiiForums Tanzania CCM imejipangaje kupambana na Mabadiliko ya Tabia nchi??

    Ukifuatilia kwa makini mabadiliko ya Tabia nchi yamepiga hodi nchini mwetu. Lakini naona kama chama kilichoko madarakani hakina mkakati mahsusi wa kupambana na matokeo ya mabadiliko ya Tabia nchi kwa jamii ya Watanzania. CCM ina mkakati gani wa kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi na matokeo...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali yaagiza Dawa za Kutibu Homa na Kuhara kwa Watoto zitolewe bure Nchi nzima

    Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu leo Mei 12, 2023 Bungeni Dodoma kwenda kwa Waganga wa Wilaya na Mikoa Nchini kote akiwataka kusimamia utoaji wa Dawa hizo kwa Watoto wenye chini ya miaka 5. Waziri Ummy amesema Dawa hizo zikiwemo Kidonge Myeyuko cha 'Amoxicillin', Zinc na...
  14. E

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi isogiza

    Sauti ya nyenje na wadudu wengine iliendelea kunisindikiza taratibu kuelekea nisipopajua. Safari yangu niliyoifanya wiki moja ilinichosha na kunipotezea matumaini. Jua lisilokoma liliendelea kujenga uzio mkubwa kichwani mwangu. Adha zote hizi zilizalishwa na upepo wa “ijue dunia” Uliovuma kutoka...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi ambazo wafanyakazi hulipwa mishahara minono Africa

    Top 10 African countries where workers earn the highest average salaries 1)- Morocco 🇲🇦: $2,031. 2)- South Africa 🇿🇦: $2,026 3)- Tunisia 🇹🇳: $1,348 4)- Kenya 🇰🇪: $1,291 5)- Algeria 🇩🇿: $1,273 6)- Namibia 🇳🇦: $1,168 7)- Botswana 🇧🇼: $1,000 8)- Nigeria 🇳🇬: $814 9)- Ghana 🇬🇭: $748 10)-...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini mazao yote ya kibiashara tunategemea kuuza nje ya nchi?

    Kabla ya Mwaka 1968 Tanzania ilikuwa ni mojawapo ya nchi yenye akiba kubwa ya fedha za kigeni. Zaidi ya asilimia 40 ya fedha hizo zilitokana na kuuza nje zao la Mkonge. Bei ya zao la mkonge lilipoporomoka na uchumi wa Tanzania nao ukatisika. Ni kwa nini soko la ndani siyo imara sana na la...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania nchi salama kwa uwekezaji

    Kutokana na uwepo wa mazingira salama nchini yaliyotengenezwa na Rais Samia Suluhu Hassan, uwekezaji nchini umeongeza na hili linathibitika kwa idadi ya miradi iliyosainiwa kuanzia mwezi Julai 2022- Machi 2023. Miradi iliyosainiwa mwezi Julai 2022- Machi 2023 Sekta ya Uzalishaji viwandani...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Namna ya kupata paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea fedha nje ya nchi

    Pengine ulikuwa unasumbuka namna ya kufungua akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo nje ya nchi. Ila leo nmekuja na suluhisho. Hauhitaji kuwa na laini ya kenya au kitu kingine. Cha muhimu ni uwe na kitambulisho chako cha taifa. Unaweza ukapata fursa ya kufungua stripe akaunti pia. Taarifa zako...
  19. JamiiForums Tanzania Kutokutunzwa kwa kumbukumbu za nchi ndiko kunakosababisha Magufuli aonekane Shujaa kuliko wenziwe

    Alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, John Pombe Magufuli alitamani kila mradi uitwe kwa jina la Julius Kambarage Nyerere. Ni kama vile aliamini kuwa hakuna aliye bora kati ya Marais watatu wengine waliomtangulia, yaani Ally Hassan Mwinyi, Benjamini Mkapa au Jakaya Mrisho Kikwete...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Nikufanyie nini ee nchi yangu kipenzi?

    Habari za wakati huu ndugu Kulikuwa na kijana mdogo aliyeitwa kaswahili, mzaliwa wa kijiji kidogo kutokea katika nchi ya Tanzania, kijana huyu alitamani sana kuiona Tanzania ikiwa nchi bora Zaidi kwa kila mtu kwani kaswahili alichoshwa sana na malalmiko ya wazazi wake pamoja na wazee wa pale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…