nchi

  1. JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu Feleshi unaitia aibu Serikali na wananchi, umeshindwa kutetea nchi unawatafuta vidagaa kujiridhisha

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Ndugu Feleshi ni mtu wa ajabu. Kwanza ana historia ya ufisadi (suala la Plea Bargaining hatujapata jibu). Pili, ameshindwa kuitetea serikali au kushauri invyotakikna katika sula la mkataba wa DP World na serikali. Mpaka sasa hajatoa kauli ya kueleweka kwa nini...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Muda muafaka wa nchi yetu kuwekeza kwenye teknolojia ya Drones

    Nadhani wote ni mashahidi kupitia SMO kule Ukraine wa kitu gani haya madude yanaweza kufanya kwenye uwanja wa vita. Napendekeza jeshi letu liwekeze kwenye teknolojia hii ili kujiweka tayari,napendekeza kwa kuanzia kiwanda cha drone kijengwe Zanzibar. Au MK254 unasemaje
  3. JamiiForums Tanzania Watu wenye akili nchi hii wapo. Tatizo ni kupewa vyeo kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa

    Kwa wale ambao tumewahi kuwa watumishi wa umma tunakubaliana kuwa wapo Watanzania wengi tu wenye uwezo mkubwa kiakili. Tatizo moja la nchi hii, watu hupandishwa na kupewa nafasi kubwa kwa kigezo cha nidhamu na utii kwa wakubwa. Yaani wale watumishi wasiohoji chochote, wazee wa ndiyo ndio...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko wapi?

    Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais? Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na...
  5. R

    JamiiForums Tanzania NACTEVET nchi nzima hawapokei simu, Dkt. Rutayugwa unafanya nini hapo ofisini?

    Watoto wanahangaika kuomba vyuo vya kati ambavyo viko chini ya NACTEVET. Hawapokei simu na kuna mambo muhimu yanayohitaji ufafanuzi. Unapiga simu zote hazipokelewi nchi nzima. Rutayugwa unafanya nini hapo ofisini? Uzembe of the highest degree exemplified by this!
  6. JamiiForums Tanzania Ifike mahali tuseme inatosha! Inashindikana vipi kutoa uraia pacha?

    Ifike mahali sasa tuseme inatosha inashindikana vipi kutoa kibali cha uraia wa nchi mbili, katika hali ya kawaida tu kitu ambacho kinaumiza mno. Naomba sasa wanaharakati wenzangu kupigania hili, tuna kesi nyingi juu ya hili na serikali na baadhi ya mihimili inalijua hili. Ni majibu tu ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Baadhi ya 'madada poa' nchi za nje wanatumia tattoo zenye QR code kufanyiwa malipo ili kuepukana na wateja wezi

    Hello bosses and roses... Kwenye harakati zangu nimesikia matumizi ya teknolojia ambayo yameniacha mdomo wazi kwakweli, moja wapo ni hili. Kuna rafiki yangu yupo huko nchi za watu alinambia kwamba huko madada poa wameacha kupokea cash sababu wateja wengine ni wezi, hivyo wanachofanya wanakua...
  8. JamiiForums Tanzania SoC03 Njia za Kutokomeza Ufisadi na Kuleta Mabadiliko ya Kiuwajibikaji na Kiutawala kwa Maendeleo Shirikishi ya Nchi Yetu

    Samahani Andiko limefutwa!
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Maabara za Kikandarasi ni uozo na aibu kubwa kwa nchi

    Kuna haja ya serikali kuvipa vipaumbele vitu muhimu ambavyo vitahitajika katika miradi tarajiwa. Serikali inasiaid mikataba mikubwa ambayo ilipitisha muundo na bajeti ya mradi fulani bila kuzingatia mahitaji na vipaumbele vitakavyoleta tija nchini mwetu matokeo yake Fedha za kufanyia shuguli...
  10. JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo mkombozi wa nchi

    Kama ningepewa nafasi kuongea na viongozi wangu wa Tanzania kuhusu sekta moja inayo hitaji uwajibikaji kati ya sekta nyingi zenye chanagamoto ningechagua kilimo. kwani haya ndio ndio natamani kuyajadili zaidi. Tanzania ni moja ya nchi duniani zinazo sifika kwa kilimo. Mazao kama mahindi...
  11. JamiiForums Tanzania Vita the Ukraine ni "turning point" kwa nchi za Afrika

    Huu ni wakati ambao nchi za Afrika kuwa kulia zaidi au kushoto kushoto zaidi mwa mgogoro, hakuna kuwa katikati mwa mgogoro. Mgogoro huu utasababisha vita vikuu moto na baridi ambapo wale wa kulia watakuwa kulia na wale wa kushoto watakuwa kushoto zaidi, wa moto watakuwa moto na wa baridi...
  12. JamiiForums Tanzania Kimuundo Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania ni Mfalme kwa nchi na wana CCM wenyewe

    Hello JF, Sup ya kimangungo version II ya sakata la Bandari. Kimuundo CCM ni chama ambacho mtu akiwa Rais na mwenyekiti anakuwa mungu wa nchi na wana CCM wenyewe, ni zaidi ya Mfalme. Kwa maana hiyo secretariat ya CCM huko kwenye majukwaa hawa akina Chongolo na mapopoma wengine wote wa CCM...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi hii haijapata chama sahihi cha upinzani

    Kuna vyama havina misingi aidha havijatengeneza intellijensia Yao wenyewe na kupelekea kiwahiwa. Mzee Nyerere marehemu alipata kusema...." Rais asipotoka sisiem atatokea upinzani, maana take..." Hays ndani ya sisiem kina upinzani. Nahisi hili ndilo linaweza kutokea, ama tuaeme liliishatokea...
  14. C

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAKUKURU na Usalama wa Taifa, fuatilieni haya; nchi inahujumiwa. Kuna rushwa, urasimu na ufisadi mkubwa

    Ni usiku mnene. Naamua kuandika DOKEZO hili. Kwa uchungu wa yanayoendelea katika nchi yangu. Katika mada hii, nitaomba wachangiaji kujadili kwa uwazi kabisa, na kuongezea mifano mingine baada ya hii nitakayokuwa nimeiweka hapa. Lengo ni Nia njema kabisa kurekebisha pale tulipokosea na...
  15. JamiiForums Tanzania Anachotafuta Lissu ni kukimbia nchi kama kawaida yake

    ANACHOTAFUTA LISU NI KUKIMBIA NCHI KAMA KAWAIDA YAKE. Na Thadei Ole Mushi. Utulivu wa Akili utakusaidia kuelewa, Mihemko, Hasira na Ukada utakufanya kutokuona jambo hili la kiuchunguzi. Christina Shusho aliwahi kuimba nyimbo ya “ Nipe Macho ya nione” akiwa na maana ya kwamba kuna mambo mengine...
  16. JamiiForums Tanzania 2025 hamuwezi kuchukua nchi ila sakata hili limewafanya mtikise

  17. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kuhusu huduma za M-PESA na mitandao mingine nikiwa nje ya nchi

    Habari wakuu. Naomba kujua kama nikienda nje ya Africa nikitumia huduma ya international roaming kama bado naweza kufanya miamala ya kutuma na kupokea pesa kwenye simu. Shukran!
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

    Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World. Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Chief Mwasapile ; viongozi wa Tanzania kuutangazia umma kwamba watanzania ni wezi nikuvuruga mahusiano ya watu wetu ndani na nje ya nchi

    Moja ya mwasisi wa Tanu na mwana CCM huko mkoani Mbeya amelaani kitendo cha viongozi wa CCM kutumia kodi za wananchi kuzunguka nchini na nje wakisema wanakodisha bandari kwa sababu watanzania ni wezi. Amewakumbusha viongozi wetu kwamba wakati wa mwalimu Nyerere tulikuwa hatukaguliwi huko nje ya...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Tazama ramani utaona nchi nzuri

    "Tazama ramani utaona nchi nzuri Yenye mito na mabonde mengi ya nafaka Nasema kwa kinywa halafu kwa kufikiri, Nchi hiyo mashuhuri huitwa Tanzania..." Ningetamani kuimba hata mwisho lakini wengi tunaufahamu na tumewahi imba. Ila nilikisudia tuvute taswira na kuyatafakari maneno ya wimbo huu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…