nchi

  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi amevunja rekodi za viongozi wote kutetea mali za umma, atalipwa wema hadi kizazi chake cha mwisho

    Wakili Boniface Mwabukusi yuko Mahabusu kwa siku kadhaa sasa kwa kosa la kupigania haki za Watanganyika kuzuia Bandari zake kuuzwa kwa Mwarabu. Mwabukusi anakuwa Mtanzania wa kwanza wa kizazi cha sasa kupinga mipango ya familia za watu wachache Serikalini kuuza mali asili za watanzania wote...
  2. Engager

    JamiiForums Tanzania Kuna muda waandishi wa habari hii mikong'oto inawastahili kabisa

    Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, ilirushwa taarifa ya wakazi wa Ngorongoro kuandamana 'kupinga wanao washawishi wasihame' katika maeneo yao kwenda huko Tanga waliko andaliwa makazi mapya. Habari imewekwa wekwa ionekane kana kwamba wanahitaji sana kuhama kule, ila kuna watu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Jaribio la nchi za magharibi kuharibu uhusiano kati ya nchi za BRICS litashindikana

    Mkutano wa 15 wa wakuu wa nchi za BRICS utafanyika kuanzia Agosti 22 hadi 24 mjini Johannesburg, Afrika Kusini. Hii sio tu itakuwa shughuli kubwa kwa nchi za BRICS, bali pia itatoa fursa zaidi za maendeleo kwa nchi za Kusini duniani. Hata hivyo, nchi za magharibi na vyombo vya habari vimetoa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wakoma wageuka Mashujaa na kuiokoa Nchi

    (2 Wafalme 7:1-20). Nasummarize Kwa uchache, Washami wakaizingira Nchi nzima ya Israel, Israeli ikapata habari na kufunga malango yote ya nchi!! WAKOMA 4 nao wakafungiwa nje ya mji. Kufungwa malango ya mji kukazuia supply yote ya vyakula, bidhaa nk. Njaa ikawa kuu sana nchini, waisraeli...
  5. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Polisi wetu nyie mna nchi zaidi ya Tanzania?

    Mwalimu Nyerere alipigania Uhuru aikomboe Tanganyika iwe nchi huru kiuchumi, kisiasa, kijamii na kifikra. Wananchi wawe huru kutoa mawazo. Wananchi wawe huru kuikosoa serikali na kuwa wazalendo wa kutetea raslimali za nchi. Wanaopinga uovu wa mikataba tunayoingia wanatutetea sisi sote mkiwepo...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

    Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa? Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ahimiza amani katika Nchi za SADC

    Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni kuwa huru na migogoro inayotumia silaha. Hayo yameelezwa Agosti 12, 2023 na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Nrisho Kikwete wakati...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nchi za umoja wa ECOWAS zinapata wapi jeuri ya kuwa na jeshi kuvamia nchi nyingine?

    Salama humu🙂 Anaejua uchumi was hizi nchi za ecowas atujuze jamani au gdp. Ninavyojua Mimi nchi za afrika zote ni maskini na wananchi wake wengi wanaishi maisha ya kifukara sana has vijijini. Ni nchi ombaomba na zinaishi kwa kutegemea misaada kutoka nchi zilizoendelea. Sasa kinachoniajabisha...
  9. Papasa

    JamiiForums Tanzania Polisi wapiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika nchi nzima

    Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao. Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa tulipofikia mikutano ya siasa kwa nchi yetu haina tija zaidi ya kucharuana tu! Pigeni marufuku hii mikutano uchwara!

    Nimejitahidi kusikiliza hoja za wanasiasa katika majukwaa tangia mama aliporuhusu mikutano nimechoka kabisa! Huwezi ukaelewa Nini hasa mkakati wa wanasiasa! Ni ajabu ni matusi na vijembe na kucharuana hakuna siku tukasikia watu wanaongea fact! Magufuli aliona mbali sana kupiga stop hii...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania KWELI WHO yatangaza anuai (Variant) mpya ya virusi vya COVID-19 inayoitwa EG.5, yazitaka Nchi kuchukua tahadhari

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza anuai mpya ya COVID-19 iitwayo EG.5 - iliyopewa jina lisilo rasmi "Eris" huku likishauri kila nchi kuchukua hatua mahsusi za kufuatilia uwepo wake. Lakini shirika hilo linasema inaleta hatari ndogo kwa afya ya umma, bila ushahidi kwamba husababisha...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama Dollar inapanda kila siku Nchi huwa inalipaje Mikopo kutoka Mashirika ya Kimataifa

    Nimejaribu kufuatilia trend ya kupanda kwa dollar inshort inasikitisha na sijui tunaelekea wapi.... Wakubwa fedha zao nyingi zipo interms of dollars ko wanazidi kufurahia tu. Na pale awamu mmoja ya uongozi inapoingia na nyingine kutoka kuna uchakachuaji mkubwa sana wa kupanda kwa dollar...
  13. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Museveni pamoja na mapungufu yake, ila kwenye hili la kudinyana mwamba ana maamuzi aisee

    Waganda hasa Bazzkulu. Salamu. Mambo yanakwenda vizuri nchini Uganda licha ya ufisadi wa baadhi ya Watumishi wa Umma na baadhi ya vipengele vya tabaka la kisiasa. Jana usiku, afisa kutoka Benki ya Dunia alinipigia simu kunijulisha kuhusu taarifa kutoka kwa Benki hiyo kuhusu kusitishwa kwa...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Ni vita kati ya "Serikali" ya CCM na "nchi"

    Muvi ya kutisha na kuchosha. Kama igizo lakini ni kweli. Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?! Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote? Kachunguzeni, Mwinyi wala Mkapa hawakudiriki kuzuia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia unamharibia Rais Samia nchi, mambo mabaya yameharibikia mikononi mwako

    Nimebaini kuwa adui mkubwa wa Taifa la Tanzania kwa sasa ni Dk.Tulia Ackson ambaye mambo yote machafu yamefia mikononi mwake na taifa likiwa halijua linatokaje kwenye mkwamo huu. Mfano wa mambo yaliyofia mikononi mwa Tulia na Bunge lake. 1. Mkataba wa Bandari Serikali iliupeleka Bungeni tangu...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tuelimishane: Mapinduzi ya kijeshi hupangwa na kufanyika vipi ili hali majeshi huwa na vikosi vingi tena sehemu tofautitofautoi za nchi?

    Wote ni mashuhuda wa taarifa za mapinduzi ya kijeshi sehemu mbalimbali duniani hasa Afrika kwa nyakati za sasa. Binafsi nimekuwa najiuliza haya mapinduzi huwa yanafanyikaje ili hali Jeshi huwa lina askari wengi tena katika sehemu mbalimbali za nchi. Kwa mfano, kikosi au vikosi katika mji mkuu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nchi inaweza kuendelea kwa viongozi kuzunguka Duniani kuomba fedha?

    Mjadala mkubwa ulipo mtaani sasa hivi ni kuhusu viongozi wetu kutamka kwenye majukwaa kwamba wanazunguka Duniani kutafuta pesa kwaajili yetu; wengi wanajiuliza hizo pesa tunazopewa huko nje zinatokana na nini? Kwamba wenzetu wafanyakazi kwa bidii kwa ajili ya kutupa fedha sisi? Je tunapopewa...
  18. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Kila ukiamka usisahau kuiombea Nchi yako

    Unapo amka kila asubuhi muombe mungu pia ainusuru nchi yako na machafuko, na viongozi uchwala, na viongozi wajinga ✍️✍️✍️ Good Morning Guys
  19. M

    JamiiForums Tanzania Muungano ni kati ya nchi ya Tanganyika na Zanzibar, kama Zanzibar ipo Tanganyika ipo wapi?

    Mwaka 1964 nchi ya Tanganyika iliungana na nchi ya Zanzibar na kuzaa nchi ya Tanzania. Nilitarajia muungano ule ungezifuta nchi zote mbili yaani nchi ya Zanzibar na nchi ya Tanganyika ili kuwe na nchi moja tu ya Tanzania. Kinachoshangaza kwa muungano huu ni uwepo wa nchi ya Zanzibar na kutoweka...
  20. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi iliyojaa viongozi (wanasiasa) wasio wazalendo

    Tanzania imejaa na viongozi wafuatao.... 1. Viongozi Wabinafsi wasiowakumbuka wananchi ambao ndio waliwapeleka huko bungeni na kupata vyeo vingine. 2. Viongozi ambao hawapendi kusema ukweli, na raia wakiomba kuambiwa ukweli wanaonekana kama wakosaji na wavunja amani. 3. Viongozi ambao wana...
Back
Top Bottom