nchi

  1. JamiiForums Tanzania Nchi ambazo zina demokrasia hafifu na jeshi ambalo halina nguvu ya kuifanya ikulu kwa nchi husika zisifanye utumbo ni hatari kwa ustawi wa nchi husika

    Wasalaam nyote, Inapotokea nchi baadhi zina demokrasia hafifu na jeshi lisilo na meno wala utisho, wala hakuna supreme organ ya kuinyosha ikulu basi wanasiasa hata wapesi kama manyoya wanajifanyia watakavyo, ni hatari sana kwa ustawi wa mataifa husika. Triple S, yaani strategic state security...
  2. JamiiForums Tanzania UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki shughuli zote za muungano

    UMOJA wa Afrika (AU) umeifungia nchi ya Niger kushiriki katika shughuli zote zinazohusiana na muungano huo kutokana na mapinduzi ya kijeshi yaliyofanywa mwezi uliopita. Kitengo cha amani na usamala katika umoja huo kimetoa wito kwa nchi wanachama wa AU kujiepusha na masuala yoyote yanayoweza...
  3. JamiiForums Tanzania Ninapata tabu kuamini kama Megawat 268 zinafanya karibu nchi nzima isiwe na umeme

    Nimeona taarifa ya Tanesco kuwa kumetokea hitilafu ya mfumo katika kituo chake cha uzalishaji umeme kwa njia ya gesi cha Ubungo na kusababisha upungufu ya uzalishaji wa umeme kwa jumla ya megawati 268 kwenye mfumo, hivyo baadhi ya maeneo kwenye mikoa yanakosa umeme nyakati tofauti. Nimempigia...
  4. JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuoa/kuolewa na mtu wa nchi nyingine ungachagua raia wa nchi gani?

    Mimi ningachagua kuoa Rwanda. Kila mtu anajua maua yaliyopo kule. Wewe ungechagua wapi?
  5. JamiiForums Tanzania Migogoro mingi duniani inatokana na kulazimisha watu wa dini, rangi na makabila tofauti kuunda nchi moja

    Hii mada nimeitoa mara nyingi naimba niitoe tena. Duniani sehemu kubwa ya migogoro inasababishwa na jambo hili. Huhitaji kuambiwa hili, linaonekana waziwazi. Mifano ni mingi kupita maelezo. India ilivunjika vipande vipande na kutoa nchi mbili ya Wahindu na Waislamu. Nigeria ilitaka kuvunjika na...
  6. JamiiForums Tanzania Asante DPW kwa kutuonesha Rangi halisi ya nchi yetu

    DPW umekuja wakati sahihi sana katika taifa letu pendwa la tanzania. Tumepata kujuwa wanachi mambo ambayo tulikuwa atuyafahamu hapo mwanzo, na kutupa uwelewa kuhusu mambo yanavyo pelekwa kwa maslai ya watu wachache na familia zao. Tumeanza kujionea mambo kama: WABUNGE Kuna baadhi ya...
  7. JamiiForums Tanzania WAKOMUNISTI pekee ndio wamefaulu kuweka mbali dini na siasa za nchi

    Katika historia ya dunia na uchipukaji wa dini duniani unaonesha kwamba mara nyingi dini huenda sambamba pamoja na siasa na tawala za nchi. Hali hii ilikuwa na nguvu katika ujenzi wa mwanzo wa mataifa ya Ulaya na makoloni yake sehemu mbalimbali za duniani hata mataifa ya mashariki ya kati nayo...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania ni kati ya Nchi 12 za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye Vikwazo katika Uhuru wa Kujieleza

    Kwa mujibu wa Ripoti ya #GlobalExpression (GxR) 2023, Watu Milioni 363 katika Nchi 12 walipata vikwazo kwenye Uhuru wa Kujieleza, wakati Watu Milioni 165 katika Nchi 7 waliona Maendeleo ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza. Katika Miaka 5 iliyopita, Watu Bilioni 4.7 katika Nchi 51 walikumbana...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mambo 20 ambayo yanatakiwa kujadiliwa ili nchi isonge mbele tukiwa wamoja

    UNAFIKI pembeni! Moja kwa moja kwenye ajenda. 1. Ni nani mshauri mkuu wa mambo muhimu na makubwa kwa Rais wetu kwa sasa?! Ni kina nani? 2. Biashara za koridoni na mwarabu zina kitu gani kikubwa hadi kufikia hatua hii? Kila sehemu ya nchi anatafutiwa mapande mapande ya ardhi, kuanzia bandari...
  10. JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania ndiyo nchi pekee duniani yenye mkataba wa IGA na Dubai Emirate

    Kama una muda, usikilize uchambuzi yakinifu wa huyu msomi mbobezi. Kumbe ni Tanzania pekee duniani yenye mkataba wa Intergovernmental Agreement na Emirate ya Dubai. Kumbe mkataba huu hauwezi kuvunjwa, zile disputes zinazoweza kutokea wakati wa utekelezaji wa projects zitakazopelekwa South...
  11. JamiiForums Tanzania Nchi gani ya SADC naweza kwenda kutafuta maisha na nikatoka kwa mtaji huu?

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Wakuu siko vizuri kupangilia maandishi naomba mnisamehe kwa hilo. Mimi ni kijana mwenye miaka 30 nimefanya biashara kama tatu hapa bongo sioni mafanikio biashara ya mwisho nimeachana nayo last month nimeuza vitu kwa hasara nimepata 2M. Nimeamua kwenda...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Wa Urusi Aikimbia Nchi Yake Na Kwenda Kuwa Dereva Wa Malori Marekani

    Ni maajabu ya Karne Kwa Waziri kuacha kazi yake ya uwaziri toka nchi kubwa, superpower ,na kwenda kuwa dereva wa Malori 🤔 ..... https://www.theguardian.com/us-news/2023/aug/18/one-big-adventure-the-russian-minister-who-fled-the-draft-to-drive-trucks-in-the-us
  13. JamiiForums Tanzania Anapata wapi Nguvu ya kuandaa 'Wiki ya Iliyomshinda Nchi" kwao Paje Kizimkazi, wakati TEC wamempiga na Kitu Kizito Jana?

    Sijui safari hii Mganga wangu wa tokea 2016 kakosea wapi kwani mwaka 2021 nilipendwa kweli kweli ila hivi sasa Nachukiwa hadi nawaza au Mganga wangu kwa bahati mbaya au kwa Makusudi alinibadilishia Dozi ndiyo maana Nyota haingai tena hata nikiwaonyesha Upendo wote na Kuwarembulia juu?
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wataka Vijana wasitumike kuchafua amani ya Nchi

    Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Kawambwa, amewasihi vijana wasikubali kutumika na baadhi ya watu wakiwemo wanasiasa au viongozi wa dini ambao wanakusudia kuharibu amani na utulivu uliopo nchini. Sheikh Kawambwa alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza a...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yavuruga usalama wa kijamii duniani kwa kuuzia nchi nyingine silaha

    Katika miaka ya hivi majuzi, mauaji ya kufyatua risasi yamezidi kuwa ugonjwa sugu wa kijamii nchini Marekani. Wakati huo huo, Marekani inasafirisha maafa haya kwa nchi nyingine duniani kupitia kuziuzia silaha, na kusababisha tishio kubwa kwa usalama wa kijamii duniani. Shirika la Habari la...
  16. JamiiForums Tanzania TOP 10: Tanzania ni kati ya Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa kupokea Misaada kutoka Marekani

    Takwimu za World Population Review kwa kipindi cha takriban miaka 5 Nchi za Afrika pekee zinakadiriwa kupokea 32% ya misaada ya Kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya Kati na 25% katika Nchi za Asia. Nchi 5 za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ni kati ya Nchi 10 Barani Afrika...
  17. JamiiForums Tanzania NEEMA KUU: Bwawa la Nyerere kuzalisha umeme wenye thamani sawa na 50% ya makusanyo ya TRA nchi nzima, (Trillion 12 kwa mwaka)

    Kabla ya yote turudi darasani kidogo, maana sitaki tuanze kuulizana maswali obvious , mara sijui source ni ipi, nk. haya twende kazi. Unit moja ya umeme hapa Tanganyika inauzwa kwa wastani wa shs. 600/=. Unit moja ya umeme ni kitu wanaita Kilowatthour (KWh). Kilowatthour ni nini hasa? Kilo...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuna Rais mwenzangu aliniambia nimbadilishe Balozi, aliyepo kazini haendi na Mikutano hashiriki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=3hgz9HYOiR8 RAIS SAMIA: MAFUNZO YA UBALOZI YASIWE YA JUMLAJUMLA Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Nini definition ya "kupindua serikali" na nini definition ya "uhaini".kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi yetu?

    Baada ya kusikiliza clip ya Dr. Slaa inayotajwa kuwa ndio ushahidi wa Dr. Slaa kuongea kusudio la kupindua serikali, binafsi naamini huko mahakamani definition ya uhaini kwa maana ya kupindua serikali ni lazima vitatumika katika kutoa hukumu. Hivyo, ningependa kujua uhaini ni kitu gani hasa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Libya Mafuta Lita 1 Tsh. 78 tu, Ndio Nchi yenye Bei ndogo ya Mafuta Afrika, licha ya hali mbaya ya Usalama

    Wakati Watanzania wakipambana na Bei kubwa za Mafuta yenye Wastani wa Bei kati ya 3,000 hadi 3,500 kwa Lita moja, Nchi ya Libya licha ya kuwa na changamoto za Kiusalama bado ndio Nchi yenye bei ndogo ya Mafuta Afrika na ya 3 Duniani. Kwa upande wa Afrika Mashariki, Nchi ya Jamhuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…