nchi

  1. JamiiForums Tanzania Ni rahisi kuwaambia waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na wakakubali ila huwezi waambia wachina hivyo wakakuelewa

    Ni jambo rahisi sana kuwaambia na kuwaaminisha waafrika kuwa kuna nchi pale mashariki ya kati imebarikiwa na jamaa anaye itwa Mungu wakakuelewa na kukubaliana nawe na wakaipenda na kuijali kuliko nchi zao. Ila ni jambo gumu kupita maelezo kuwa ambia na kuwaaminisha wachina upuuzi huu kuwa kuna...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoishutumu China kwa kuweka mtego wa madeni. Je, zilishakaa na kujiuliza tatizo halisi linaanzia wapi?

    Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
  3. JamiiForums Tanzania Bodyguard wa Taylor Swift arudi nyumbani Israel kuipigania nchi yake

    Eran alikuwa aki serve kama bodyguard wa Swift katika tour yake ya kimuziki iitwayo Eras. Viva Israel, Viva nchi ya ahadi. ============= Taylor Swift‘s security guard who protected her during The Eras Tour has gone back to his home in Israel to fight against Hamas, according to Israel...
  4. JamiiForums Tanzania Tsunami: Yalikuwa mazoezi ya nchi 25, lakini je tumefanya sahihi?

    Nimesoma taarifa ya UNESCO inayoeleza kuhusu mazoezi ya Tsunami kwa nchi zilizo katika mwambao wa Bahari ya Hindi. Mazoezi haya yalitaka kupima uwezo wa nchi katika kuhakikisha jamii inakuwa tayari na kuangalia uwezo wa mawasiliano. soma taarifa hiyo hapa Indian Ocean Countries Get Ready for...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kumtambua Rais Samia kama Mama wa Taifa ni kujenga familia (nchi) imara

    Nimefarijika sana kuona kile nilichokuwa natamani kifanywe muda mrefu sasa kinakwenda kufanywa na kikiwa kimesemwa na viongozi wa kiroho na kiimani, ni ishara jambo hilo ni la kiimani zaidi. Ni muda mrefu nilikuwa nawaza Kwa mazuri anayofanya Rais Samia ni vyema atambuliwe rasmi kama Mama wa...
  6. JamiiForums Tanzania Hizi takwimu zinaonyesha kuwa Dar ndiyo kila kitu nchi hii

    Kwa tunaotangazaga biashara mitandaoni tutakuwa tumeshuhudia hili. Zaidi ya asilimia themanini ya wateja wa mitandaoni wanatoka Dar. Hii inaonyesha ni jinsi gani Dar ilivyoiacha mmbali mikoa mingine yote. Hizi hapa ni takwimu za matangazo ya biashara instagram.
  7. JamiiForums Tanzania Israel ni nchi ya Wayahudi - Netanyahu

    "Wayahudi wameishi katika ardhi ya Israel, ambayo sasa ni nchi ya Israel, kwa takriban miaka 3,500. Tumetawaliwa na Warumi, tumetawaliwa na Wa-Byzantini, wametufanyia mambo mabaya, lakini hawakutufukuza, tofauti na vile watu wanavyofikiria. Upotevu wa ardhi yetu ulitokea wakati wa uvamizi wa...
  8. JamiiForums Tanzania Vipi Watanzania tutaweza kuboresha uchumi wetu?

    (Maoni yangu binafsi) Maboresho ya uchumi ni wimbo wa kila awamu ya kiuongozi, aidha kila awamu huja na vipaumbele vyake. Mfano, katika kuboresha elimu, awamu ya 5 chini ya JPM ilikuja na mkakati wa kutoa elimu bure na hivyo kutoa ruzuku mashuleni zinazokaribia shilingi bilioni 18 kila mwezi...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nchi za magharibi kuilenga na kutaka kudhoofisha BRI kuna lengo la kuendelea kuzidunisha nchi za dunia ya tatu

    Wakati pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” (BRI) la China linatimiza miaka 10 tangu kutolewa, kuna mafanikio mengi yameonekana katika kuhimiza urafiki na ushirikiano kati ya China na nchi zinazoshiriki kwenye pendekezo hilo, na hasa kuleta maendeleo kwa nchi zilizopokea miradi chini ya...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. ndumbaro Aagiza BASATA na Bodi ya Filamu Kusimamia Sekta ya Sanaa Kukuza Uchumi wa Nchi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameliagiza Baraza la Sanaa la Taifa na Bodi ya Filamu nchini kuhakikisha zinasimamia vyema Sekta ya Sanaa iweze kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa nchi na kunufaisha wasanii. Dkt. Ndumbaro ametoa maagizo hayo Oktoba 17, 2023...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania ni Nchi ya Pili Duniani kwa Kuwa na Vivutio Vingi vya Utalii

    Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi Mhe. David kihenzile aridhishwa na maendeleo, usimamizi na maboresho yanayoendelea kwenye uwanja wa ndege wa Arusha ikiwemo Ujenzi wa jengo jipya la abiria Kiwanjani hapo. Akizungumza Jijini Arusha mara baada ya kukagua jengo la abiria kiwanjani hapo Naibu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nchi inaharibika kwa Kasi sana. Umeshawahi kumuona wapi mtoto wa kigogo anafikiria kusoma VETA?

    Kila wakati nasikia msisitizo ni kuwafanya vijana wasome VETA ili watawaliwe kirahisi na watoto wa wakubwa. Mi nachojua hakuna mwenye division one anaweza kufikiria VETA at first place. Mbona hatumuoni mtoto wa Mwigulu, Samia au waziri yeyote aliyeko VETA kama ni elimu ya maana kweli? Acheni...
  13. JamiiForums Tanzania Silaha na askari wamiminika mipakani mwa Israel. Biden ashtushwa. Aenda Israel mwenyewe huku akitaka Palestina wapewe nchi yao

    Kuna taarifa kuwa wanamgambo kutoka Iraq na Iran wamekuwa wakimiminika kwenye mipaka ya Israel hasa upande wa Lebanon.Pamoja nao ni malori yenye shehena za silaha. 'Very clear' Iran is moving people, weapons to Israel's northern border: Benjamin Hall Hali hiyo inaonekana kumshtusha rais Joe...
  14. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Yoweri Museveni akiwa na umri wa miaka 79 na miaka 37 ya Urais wa nchi ya Uganda

    Mwasibota Bazzukulu! Ndugu Rais Yoweri Kaguta K Museveni aliingia madarakani kama Rais nchini Uganda kwa njia ya mtutu wa bunduki, kama muasi dhidi ya serikali ya Milton Obote mwaka 1986, wakati huo Bwana Museveni akiwa na umri wa miaka 42, tangu wakati huo amekuwa madarakani kama Rais wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

    Ukihitaji salamu nenda pwani kwa waswahili,kwangu utaambulia chuya ukalishie kuku! Bado sijafahamu ni kwanini watanzania wengi wanaoishi nchi za Marekani,Canada na Uk huwa wanamaisha magumu kupita kiasi tofauti kabisa na wale wanaoishi nchi za Scandinavian na Germany!. Ninawafahamu jamaa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tuifute Nyerere day ili nchi ipate mabadiliko ya kweli ya kiuchumi na kisiasa

    Nyerere alifanya jambo moja tu zuri ktk taifa hili, nalo ni kuondoa ukabila na ukanda, hivyo kuwafanya watanzania kuwa wamoja. Lakini mengine yote alikosea. Hivyo kuendelea kumuenzi mwalimu Nyerere ni sawa na kusema tuendelee kuyakumbatia mabaya yake yote. Ambayo ni:- 1. Muungano. Lengo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiowekwa wazi: Hayati Nyerere aliacha taifa letu likiwa masikini sana kiuchumi pamoja na kutoa msaada kwa nchi za jirani

    Alisaidia na kukomaa mataifa ya jirani yapate uhuru akasahau kabisa kuendeleza taifa letu. Kauli mbiu ya kuwa sisi kuwa huru huku majirani zetu hawako huru sio vyema ilifanya akasau kuendeleza taifa letu. Aliacha miundo mbinu iko hovyo, shule chache, hospitali chache na kila kitu kikiwa hovyo.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Wakazi Halisi wa Nchi Takatifu (the Holy Land)

    Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi. Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na...
  19. JamiiForums Tanzania South Afrika inaishi miaka 200 mbele ya nchi nyengine za afrika,ambazo zinaishi katika giza totoro!hatuna la kusema.

    Nimeshuhudia mara nyingi katika bara la Afrika ukiwatoa waarabu na nchi ya kusini mwa afrika zikitoa maonyo,msimamo na ushauri katika kila jambo(matukio) yanaloendelea katika baadhi ya nchi mfano vita ya GAZA na hiyo ndiyo maana ya diplomasia(sio kutafuta wawekezaji tu) lazima tulaani na...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna Mtu aliwahi kuniambia kuwa Tanzania ni nchi ya Mungu na Kiimani Watanzania wana Baraka nyingi za Mungu na Anawalinda mno

    Miaka kadhaa Kijiografia Tanzania ilitakiwa ikumbwe na Tetemeko Kubwa na la Hatari la Ardhi ila Watanzania walifunga na Kumuomba Kweli Mwenyezi Mungu na nchi ikawa Salama. ( Asante Mungu ) Kwa Taarifa za Kijiografia GENTAMYCINE nilizonazo na nilizokuwa ni kwamba hadi tarehe hii ya Leo ( 14...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…