nchi

  1. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

    Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu). Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe...
  2. JamiiForums Tanzania Hukumu hii ingetolewa nchi za Kiarabu ingekuwaje?

    Amani iwe juu yenu! Ebu jaalia kama hii hukumu ingetokea nchi fulani za kiarabu ,je maoni ya watu dunia nzima ingekuwaje? Jamani sio kwa ubaya ila hukumu inatokana na sheria husika zilizowekwa bora kufuata sheria bila shuruti.
  3. JamiiForums Tanzania Kiongozi asiye na dira huishia kuendesha nchi kupitia mashinikizo

    Tumekuwa na ombwe kubwa la uongozi wa nchi yetu tangu awamu ya sita ichukue hatamu. Kuhamisha wamaasai kutoka Loliondo ili kuwakabidhi Waarabu kipande cha ardhi kumezalisha shinikizo la jumuiya za utetezi wa Haki za binadamu. Rais anayeshikiza kumtoa Spika madarakani kwa kutoa maoni yake juu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dkt. Salim, Dkt.Tulia atairudisha nchi katika unguli wa diplomasia ya kimataifa. Tumuombee, anaweza kuwa Katibu mkuu ajaye wa UN

    Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa. Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU ni jasiri na mpambanaji na historia yake inajieleza vema. Kwa ufupi ni mwanamke wa shoka na yuko...
  5. JamiiForums Tanzania CCM imesahau kuwateua Makatibu wenezi CCM mikoa nchi nzima, Makonda utafanya kazi na akina nani?

    Uchaguzi mkuu wa CCM ulifanyika Oktoba 2022, ambapo makatibu wenezi wa CCM mkoa hawakuchaguliwa kipindi hicho na mwenyekiti amesahau kuwa alisema wenezi wa CCM mkoa watateuliwa. Hadi leo hawajawahi kuteuliwa, sasa Makonda utafanya kazi na nani? Kazi ya kwanza teua wenezo wa CCM mkoa ili uanze...
  6. JamiiForums Tanzania Nchi tisa za kiarabu zakutana na kuondoka zao bila kutoa tamko la maana kuhusu Gaza

    Kwa mara nyengine nchi za kiarabu ambazo zina udugu wa damu na kiimani na wapalestina wamekutana mjini Dubai na kutoa maneno yale yale ambayo wameshayasema mara nyingi. Safari hii wamekutana katika wakati mgumu kuliko miaka yote tangu mzozo baina yao na Israel uanze. Katika hali hiyo wametoa...
  7. JamiiForums Tanzania Mashabiki Limbukeni na Wajuaji

    Siku chache zilizopitanilingia matatani baada ya kumtandia ngumi "mlevi" mmoja aliyekuwa anatukana hovyo matusi ya nguoni Wachezaji kwenye Luninga huku akijua fika kuwa hawamsikii bali anatusumbua tu sisi tuliopo pale kufuatilia mechi. Utashangaa Mtu anavyomkosoa Kocha mpaka unajiuliza hivi...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Wanadiplomasia wetu waliopo Zambia na DRC Congo kwanini wanashindwa kumwambia Rais ukweli? Watanzania wanateseka kwenye hizi nchi hakuna wakuwatetea

    Tanzania nadhani tunashindwa kuelewa kwamba nchi yetu ili iendelee lazima wafu wetu wasafiri nje . Tunashindwa kuelewa ili nchi iweze kupunguza changamoto za ajira lazima watu wake wakatafute fursa Sehemu nyingine Tumekuwa wepesi sana kutetea wageni badala ya kutetea watu wetu. Raia wa Kongo...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania maajabu nchi ya kidemokrasia Rais kuwa na nguvu ya hivi!

    Nimefuatilia kila mtu anashangaa inakuwaje nchi ya kidemokrasia Raisi ana nguvu hivi. Ndiyo maana ni muhimu kubadilisha katiba https://www.youtube.com/live/IYfoTqmzPv0?si=LhXMtnbTxR3ff56N
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila wanapokwenda viongozi wakuu wa nchi Rostam anatangulia kufika?

    Kila eneo tunapotegemea kwenda kitaifa kufanya majadiliano ya kiuchumi Rostam anakuwa mstari wa mbele. Je, hakuna wafanyabiashara wengine wanaoweza kupewa hizi fursa? Nini faida ya huyu bwana kutangulia kwenye mataifa anayokwenda mkuu wa nchi kiuchumi? Anakwenda kutangaza biashara binafsi kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa watu wakirudishwa chamani historia ya nchi itabadilika ghafla

    Kikosi kazi 1. Makonda 2. Polepole 3. Ally Hapi 4. Sabaya Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa: 1. Bashiru 2. Kabudi 3. Chalamila 4. Gambo 5. Majaliwa 6. Ndugai
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yetu ndio nchi ya furaha

    Nae Baba Nyerere ndie wetu muhifadhi nae ndie alieleta Uhuru, Tanzania Yetu Ndio Nchi Ya Furaha. Huu wimbo sijui ni nani waliimba haichuji aise, unaishi na maana yake ileile. Wimbo una historia pana ya nchi yetu kwa ufupi. Leo hii tuna Demokrasia siasa ya vyama, tuna fedha yetu wenyewe na...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Karibu tujadili fursa mbalimbali za kiuchumi, kibiashara, ujasiriamali na uwekezaji ndani ya nchi yetu

    💥SOKO LETU LEO ONLINE💥 🔥🔥MADA YA LEO🔥🔥 Fursa za kuanzisha biashara mbalimbali Habari wakuu kwa mujibu wa ratiba yetu leo kila Jumanne. Tunajadili Fursa mbalimbali za kiuchumi ambazo unaweza kuzifanyia kazi ndani ya nchi yetu kulingana na Mazingira uliopo. Wakuu kutokana na changamoto ya...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali wapeni nguvu Usalama wa Taifa wazuie uovu NIDA na wimbi la wahamiaji haramu

    Nchi hii hasa serikali na mamlaka zake Mungu anawaona, naandika nikiwa na hasira sio NIDA wala Uhamiaji, au Polisi kote kumeoza. Wahamiaji haramu wametapakaa sio kwenye bar, shambani, kwa house girls, vibarua wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku ambao wako nchini kwenye maeneo mbalimbali wasio na...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Ujerumani ina mpango wa kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za Kiislamu

    Ujerumani inampango wa kuanza kuwarudisha kwao wahamiaji waliotoka nchi za kiislamu nchini kwao haya yamejili baada ya channellor wa ujerumani kutembelea nchi ya Israel na kushuhudia mauji ya raia wa Israel waliouliwa na magaidi wa kundi la HAMAS linalopewa support na Palestina pamoja na...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna wazazi wanawaandaa watoto wao kuwa watumwa katika hii nchi. Mtoto anamaliza darasa la 7 hata wiki haiishi anapelekwa kusoma pre form one.

    Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu. Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu. Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi . Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo. Zamani...
  17. JamiiForums Tanzania Uzembe nchi hii utaisha kwa mzembe kuhukumiwa kwa kupigwa risasi hadharani

    Tunakuwa na mgawo wa umeme wa kutisha na unaodhoofisha uchumi wa wananchi huku tukiwa na:- 1. Gesi asilia ya kutosha 2. Makaa ya mawe ya kutosha 3. Mwanga wa jua wa kutosha 4. Nk nk Leo tunaishia kubadilishiwa viongozi bila kuelezwa aliyetolewa ameharibu nini na kwa nini hapelekwi mahakamani...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Je, Ukubwa wa Nchi yetu Tanzania ni kikwazo katika kuwafikia na kuwahudumia wananchi?

    Salaam, Shalom!! Nimelazimika kupandisha mada hii baada ya kusoma comment ya mdau wa JF aitwaye Voice of Tanzania alipokuwa akichangia mada katika thread isomekayo, Ni Lini Serikali ya CCM itanunua laptop Kwa Kila mwanafunzi kuanzia shule za kata? Nilipotoa mfano wa Nchi ndogo ya Rwanda...
  19. JamiiForums Tanzania Kisiwa cha Patmo kipo nchi gani?

    Kisiwa cha Patmo kipo nchi ya Ugiriki kwa sasa…Kisiwa hicho kipo mashariki mwa Taifa la Ugiriki na magharibi mwa nchi ya Uturuki, kama vile Zanzibar ilivyo mshahariki mwa nchi ya Tanzania ndivyo kilivyo hichi kisiwa cha Patmo kwa Ugiriki. Kisiwa hicho ndicho Mtume Yohana, ambaye alikuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwa heshima ya nchi naona Al Ahly imekubali OMBI

    Tanzania kukubali kuwa mwenyeji katika ufunguzi wa mashindano haya ya Caf ni heshima kubwa sana. Hivyo haiwezekani uongozi wa Caf ukubali Simba ifungwe game hii ya ufunguzi. Hivyo itakuwa tayari mkakati wa kuiomba Al Ahly umeshafanyika kukubali kuachia . Simba leo tule raha zetu mwanzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…