nchi

  1. JamiiForums Tanzania Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi watoa msaada wa vitabu 100 kwa Wanafunzi Kyela

    Zaidi ya Vitabu 100 vya masomo mbalimbali vimetolewa na Umoja wa Wazawa wa Kyela Mkoani Mbeya waishio ndani na Nje na Nchi, Kyela Ibasa Festival kwa ajili ya kuwawezesha Wanafunzi kuanzia Kidato cha kwanza hadi cha nne kusoma kwa utulivu na kumaliza mada zote kwa wakati ili kujiandaa na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinajidhalilisha sana, kulikuwa na haja gani Afrika Kusini kuishtaki Israel mahakama ya ICJ?

    Nchi za afrika zinazidi kujianika kwa kujionesha unafiki,ona sasa eti afrika kusini imepeleka mashtaka mahakama ya kimataifa ya haki(ICJ),kulikuwa na haja gani kuishtaki Israel?,kama kweli wanapenda haki sana kwanini wasingewashtaki Russia kwa kuua watoto wa Ukraine bila kuchokozwa?,kwahiyo sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Ili kuisaidia nchi na kumsaidia Rais Samia, je tumfanyie an honest MTR based on SMART Objectives za tulipotoka, tulipo to determine tunapokwenda?

    Wanabodi, Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo la kuchanganya Lugha JF ilipoanzishwa, it was meant to be an online user generated social forum, mtu una post chochote, kwa lugha yoyote ya public, bila kuvunja kanuni za jf. Kwa kadri jf inavyozidi kukua, inazidi kuimarika na kuzidi kuboreka...
  4. JamiiForums Tanzania Nchi moja serikali mbili: Unafahamu kuwa bado China ipo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe?

    Chukua hii kwa ufupi: Nchi ya China inayopatikana mashariki ya mbali ya bara la Asia. Hii ni nchi moja yenye serikali mbili zilizo katika mgogoro wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo havijatamatika toka 1949 mpaka sasa. Katika nchi ya China kuna serikali mbili zinazo ng'ang'ania mamlaka ya...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

    29 December 2023 Kilimanjaro International Airport Tanzania BABA WA JOSHUA AOMBA SERIKALI YA TANZANIA IONGEE NA NCHI RAFIKI ZA KUNDI LA HAMAS BABA MZAZI WA JOSHUA MOLLEL AMWAGA MACHOZI, AREJEA TANZANIA BILA MWILI WA MWANAE ALIYEUWAWA NA HAMAS https://m.youtube.com/watch?v=DTeLiUa7QVs Mzee...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana wa Kisrael aandika barua kugoma kujiunga na jeshi la nchi yake kupigana na Hamas. Hii imekaaje?

  7. D

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa kama nchi zilizoendelea, hili swala la umeme lingetosha kabisa Rais kujiudhulu

    Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji. Sijui kwa nini Rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa. Na sisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi...
  8. JamiiForums Tanzania Ni taifa moja tu duniani limekuwa na watu wajinga kiasi cha kukubali kutawaliwa na mtawala kutoka nchi nyingine

    Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi...
  9. JamiiForums Tanzania Somo la jinsi ya kutongoza kuingizwa rasmi kwenye mtaala wa elimu nchi jirani

    Habari wanajamvi! Katika pitapita zangu nimekutana na kitabu cha daktari mmoja anaitwa Dkt. Dyaboli. Kitabu kinaitwa JINSI YA KUMTONGOZA MWANAMKE YEYOTE UKAMPATA. Sasa wakati nafuatilia kutaka kumjua zaidi huyu daktari kuna jamaa zangu wako Kenya huko wakaniambia huyu daktari ni mkenya, na...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kama miaka mitano nchi za Afrika(Ikiwemo Tanzania) zitaanza kwenda kununua na kuomba msaada wa chakula Afghanstan.

    Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona. Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa ili kuzalisha chakula utawala wa Taliban umeamua kujenga mfereji mkubwa wa umwagiliaji kutoka mto huo...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya January 30, 2024 Jerry Silaa ataendesha operesheni ya kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima?

    Waziri Silaa ameagiza maafisa wake wampe taarifa ya vituo vya mafuta nchi nzima. Je anajiandaa kuvunja vituo vya mafuta nchi nzima? Wacha tuone nini kitafuata baada ya 30 January 2024. Kauli za karibuni za waziri huyo zimezua sintofahamu kwa wawekezaji wa biashara ya mafuta nchini ambao hufuata...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera sana Jerry Silaa. Naona mwanzo wa nchi yetu yote kupimwa na kupangwa chini yako

    Kama kuna jambo linalonifanya kila siku niseme inawezekana nchi yetu tulilaaniwa ni namna ambavyo nchi yetu imejengwa vibaya bila mpangilio. Yaani namna watu wanavyojijengea hovyo hovyo tu bila mpangilio na kupangwa. Kila siku tumekuwa tukiandika humu na kusema humu huku titicaca Serikali...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Poland na Ukraine waungana na Nchi za Afrika Kupingana na Waraka wa Papa kuhusu Kubariki Ushoga Kanisani

    Baada ya nchi za Malawi, Cameroon, Nigeria na Zambia kupinga waraka wa Papa Francis unaoelekeza kanisa katholiki kubariki ama kuwapa baraka watu wanaojihusishwa na mapenzi ya jinsia moja ama mashoga, sasa nchi za Ulaya Mashariki kama Ukraine na Poland wameupinga huo waraka. Nchi hizo za Ulaya...
  14. JamiiForums Tanzania Tuwe na umeme wa gridi ya taifa, lakini pia tusisahau kuwa na vyanzo vya kikanda, kwa sasa shida ikitokea sehemu moja, nchi nzima inaathirika

    Nadhani sasa ni muda muafaka kuwa na gridi za kikanda. Kalemani alikuwq ananichekesha alipokuwq anakaza fuvu kufunga mitambo ya mafuta kwa badhi ya mikoa. Usalama wa umeme ni usalama wa taifa. Hatuwezi kuuweka usalama wa nchi nzima kwenye njia moja bila ya kuwa na njia mbalimbali. Inatokea...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi shtuka hakuna kiongozi hapo

    Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi. Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo; ....uongozi duni. ....huduma za jamii kulemaa. ....upungufu wa umeme. ....ufisadi kutamalaki. ....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kuwa na kilimo cha kisasa ni lengo la pamoja la China na nchi za Afrika

    Mkutano Mkuu wa Kazi Vijijini wa China ulifanyika wiki hii mjini Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, imekuwa desturi kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuitisha mkutano kama huo baada ya mkutano mkuu wa kazi za kiuchumi kila mwezi Desemba ili kupanga kazi kuhusu kilimo, vijiji na...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Matapeli na wahalifu kutoka nje ya nchi wameanza kuongezeka Tanzania; wananchi msiwape imani wageni chukueni taadhari

    Ndoa za kitapeli zimekuwa nyingi kwa sasa nchini ambapo wazee kutoka Ulaya na maeneo mengine wamejikita kuwaoa au kuolewa na ndugu zetu. Wengi wanakwepa sheria za nchi za mgeni kuishi au kufanya kazi Nchini.Baadhi wanakwepa kodi ila wengi watakuwa wahalifu wanaosakwa huko kwao wameamua...
  19. JamiiForums Tanzania Zipi faida na hasara iwapo nchi itaacha kutumia pesa yake na kuamua kutumia dola ya Marekani?

    Argentina wamemchagua Javier Milei kuwa Rais wao mpya. Ni jamaa mwenye msimamo mkali wa kulia. Moja ya malengo yake ya kukabiliana na hali mbaya ya uchumi na mfumuko wa bei ni kuiua pesa ya Argentina(Peso), kuvunja benki kuu na kuanzisha matumizi ya Dola ya Marekani kama pesa rasmi ya nchi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanamhujumu Rais Samia au nchi imemshinda?

    Toka juzi mfumo wa single window wa customs unasumbua kwa sababu ya mtandao. Magari na mizigo ya Transit inashindwa kutoka bandarini kwa sababu ving'amuzi havisomi. Nchi hii kila kitu ni tabu, hospitality tabu, umeme tabu, maji tabu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…