nchi

  1. JamiiForums Tanzania Mkubali ama mkatae ukweli utabaki pale pale kwamba CCM nchi imeshawashinda hii, kuna haja ya kufanya jambo 2025

    Habari zenu wana nzengo Mimi si mwanachama wa chama chochote kile cha siasa na wala sio mwana siasa Nimeandika kama Mtanzania mzalendo mwenye mapenzi ya dhati na nchi yangu Siku zote waswahili wanasema usipende kukaa na dukuduku moyon hivyo bas dukuduku langu nimetafuta sehemi ya kulitolea...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Awamu ijayo TFF kwa maslahi ya nchi aongoze Hersi

    Tanzania imekuwa ikifuzu kwa kuunga unga Kwenye afcon 2019 kule misri na sasa afcon ya Ivory Coast . Ukiangalia matokeo ya mechi za kufuzu na ukalinganisha na matokeo ya tarehe 17 Jan dhidi ya Morocco kule afcon , morroco kwa mkapa Kwenye WC qualification na Jana dhidi ya Zambia unabaki kusema...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni nchi gani jirani imepandikiza kikamilifu majasusi wake mahiri maeneo / idara nyeti za Tanzania?

    1. Malawi 2. Zambia 3. Congo DR 4. Kenya 5. Burundi 6. Uganda 7. Rwanda atokayo member mmoja maarufu jamiiforums ambaye kwa bahati mbaya jina lake kwa sasa ameir seif wete paje kidagaa ( cognizant ) mimi nimelisahau? 8. South Sudan 9. Msumbiji
  4. JamiiForums Tanzania Usalama wa Nchi ni jambo tukufu na kipekee sana. Tusibweteke na kumpongeza CDF pekee

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama ametamka wazi akiweka angalizo la uwepo wa wakimbizi ( niseme WAHAMIAJI) kwenye teuzi tena level za maamuzi ndani ya nchi yetu. Nimeona wachambuzi mbalimbali wakimpongeza kwa kuweka wazi angalizo hilo. Nimemsoma mtani wangu kisiasa Yericko Nyerere akichambua...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Hivi nchi hii inashindwa kuwakaribisha Spain/Brazil/ England/ France kujenga academy hapa nchini ili kuvumbua, kulea na kukuza vipaji vya football?

    Kwann kama taifa hatuna mikakati?? Nakasirika sana kuona serikali inadandia treni ya mafanikio ya mpira kwa mbele. Nchi za Senegal, Mali, na Burkina Faso serikali za nchi hizi zimefanya uwekezaji mkubwa ktk soka. Na ndiyo tunayaona mafanikio yao. Badala ya kuwategemea vijana waliokulia chai na...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Mfalme wa Nchi ya Jordan anatoka kwenye Bloodline ya Mtume Muhammad?

    Je ni kweli utawala wa nchi ya jordan ni ndugu wa Mtume Muhammad. Na pia Familia ya kifalme inayotawala Morocco mpaka leo hii inadai ina undugu na Mtume. Familia ya Kifalme ya Alaouite ya Morocco inadai kuwa nasaba ya Mtume Muhammad katika ukoo wa Imam Hasan ibn Ali. KINACHONISHANGAZA FAMILIA...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Malasusa: Yeyote anayetamani kuleta machafuko katika nchi tumsihi na kumuombea ashindwe katika Jina la Yesu

    Askofu Malasusa akiwa katika sherehe ya kuingizwa kazini amesema; "Tukio hili la kuingizwa kazini linatokea wakati Dunia inashuhudia vita mbalimbali ikiwa ni pamoja na vita kule Ukraine, sasa tunasikia Gaza na Israel, lakini pia nchi ya Kongo bado napitia katika masikitiko makubwa na mitikisiko...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Je kwa mujibu wa Quaran tukufu Wana Israel walifanikiwa kufika nchi ya ahadi?

    Wadau hamjamboni nyote? Nitoe pole kwa wote mlioathirika na mafuriko yanayotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Naomba kujua Kwa lengo la kupata Elim.u. Je kwa mujibu wa Quaran tukufu Wana Israel wakitokea utumwani Misri walifanikiwa kufika nchi ya ahadi yaani Kanani? Na kama...
  9. JamiiForums Tanzania Ni nani asiyefahamu Rais wa nchi kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan?

    Salamu nishamuachia ndugu yangu GENTAMYCINE yeye na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa! Nimejaribu kutembelea mikoa kadhaa hapa nchini ikiwemo mkoa wa kibiashara wa Dar es Salaam na kila sehemu utakayopita utaona mabango barabarani yakimtambulisha Rais Samia Suluhu Hassan kama ndiye Rais...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaanza kuongoza Nchi kabla ya kuongoza, yaelekezwa wapewe taarifa haraka

    Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetambuliwa rasmi kama chama kiongozi na kuagizwa kipewe maelezo kuhusu kila hatua ya maendeleo inayofanyika Nchini Tanzania. Tuliwahi kuandika humu na kwingineko kwamba Chadema ndio inayotoa Dira na mwongozo wa nchi, nadhani sasa mnaanza kuthibitisha.
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani wa nchi hii hawajui wanachotaka. Kila rais anaeingia madarakani hawamtaki

    Wana laana isiyoisha au tuseme hawajui wanachotaka Mkapa walimwita dikteta na kumtukana Kila aina ya matusi, amemaliza salama amelala! Kikwete alipoingia alikula matusi Kila mahali yaani huyu ndio rais mwenye roho ngumu kwa sababu huyu walimuonea kwa kuwa alikuwa anakaa kimya! Matusi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Katiba ya ovyo imetuletea Rais wa ovyo asiye na uchungu kwa raia wake wala rasilimali za nchi

    Leo Mh. Tundu Lissu akiwa Ivory Coast moja kati ya aliyoyasema kwenye hotuba yake ni ubovu wa katiba yetu tuliyo nayo sasa. Amesema katiba inetuletea viongozi wa hovyo wasio na uchungu kwa wananchi wao wala raslimali za nchi kwa vile hawakuingia madarakani kihalali. Akitoa mfano wa huyu wa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mwamakula: Naona huu sio muda sahihi wa kuwahukumu wabunge kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi

    Wakuu kwema? Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Gongo la Mboto hakuna umeme siku mbili, CCM mbele kwa mbele

    Huku gongo la mboto siku mbili mfulilizo hakuna umeme mpaka Sasa. Halafu nchimbi anawaalika eti wapinzani waemde kuzungumza kwa hoja. Dunia ya Leo mnakatiwa umeme siku mbili na Bado ukiwabia watu waandamane waungane na chadema wanakwambia ccm bele kwa mbele. Aise sisi waafrica tumelaaniwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Zanzibar inafaa kuwa Makao Makuu ya Nchi

    Kutokana na mazingira na historia ya Zanzibar. Inastahili kuwa Makao Makuu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  16. JamiiForums Tanzania Nchi yetu nzuri Tanzania tutaiharibu wenyewe kwa kuteua na kutumia watu kama kina Makonda

    It is very funny! 1. Serikali imeweka utaratibu wa kupanga na kusimamia sekta zake mfano ujenzi wa barabara. Leo tumeuacha, Makonda ndiye anapeleka magreda site kuchimba barabara. Nasi tuko kimya tunaona sawa. 2. Vikundi vya kupinga vyama halali vya upinzani vinaasisiwa na vinatumia dini na...
  17. JamiiForums Tanzania Sishangai Mbowe anakutana na mabalozi wa Uingereza na Marekani kwa sababu familia yake nzima ni raia wa nchi hiyo

    Watoto wa Mbowe na Lissu wote ni raia wa Marekani na Uingereza. Mbowe kukutana na mabalozi wa nchi hizo hapa nchini sio ajabu kwa sababu watoto wa Mbowe wana utii kwa nchi ya Marekani na Uingereza, sio Tanzania. Mbowe hata akiiharibu Tanzania kwa maandamano na vita, yeye hana cha kupoteza kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM)

    Takriban theluthi mbili ya nchi duniani zimekusanyika Jijini Kampala, Uganda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) wenye nchi Wanachama 120 na Mkutano wa nchi za Kundi la 77 na China (G77+China) lenye Wanachama 134. Tanzania ni...
  19. JamiiForums Tanzania Naweza kutibiwa nje ya nchi kwa kadi ya bima ya Afya (NHIF)?

    Wakuu nilitaka kujua ikiwa mimi ni mwanachama wa NHIF na sasa nipo Ivory Coast. Naweza kupata huduma huku kwa kutumia kadi yangu ya NHIF?
  20. JamiiForums Tanzania UNICEF yasema Tanzania na nchi nyingine zenye Kipindupindu zisipodhibiti Ugonjwa shule zitafungwa

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limezitahadharisha Nchi za Afrika zinazokabiliwa na Kipindupindu na kueleza kuwa endapo hazitafanikiwa kudhibiti Ugonjwa huo unaweza kusababisha Shule kufungwa. Dkt. Paul Ngwakum ambaye ni Mshauri wa Afya wa Kikanda wa Shirika hilo katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…