nchi

  1. JamiiForums Tanzania Nchi zilizohalalisha ushoga Afrika: Historia na takwimu za maktaba

    Takwimu za Human Rights Watch zinaonesha kuwa, nchi 23 katika bara la Afrika zimehalalisha ushoga. Baadhi kati ya hizo, ushoga haukuwahi kuwa kosa la jinai tokea mwanzo. Mwaka 1998, South Africa ndiyo iliyokuwa nchi ya kwanza kuhalalisha ushoga barani Afrika kupitia Kesi ya Kikatiba Nambari 8...
  2. JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi kuwa na jeshi (millitary base) kwenye nchi nyingine?

    Hi Kings and Queens. Nimejiuliza swali hili baada ya kusikia nchi kama Ufaransa na Marekani kuwa na majeshi katika ardhi za nchi nyingine. Naomba kujifunza kwa kujibiwa maswali haya:- 1. Hawa mabeberu wanaanzisha kambi zao kibabe kwa maana bila ridhaa ya wananchi au wanapewa ardhi na wenye nchi...
  3. JamiiForums Tanzania Hii nchi Haitujali kwa Dhati

    Kwa kweli ndugu zangu wa Tanzania, haya ni mambo ambayo yanasikitisha na kuonyesha hii nchi haitujali kwa dhati (Unaweza ongeza yako) : 1. Hivi inawezekanaje ni agenda serious Kabisa kwamba watu tufunge Mikanda (Jambo jema sana), Lakini kuna Magari ya abiria yenye leseni, Bima, safe sticker na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Miaka 60+ nchi inajadili uhaba wa sukari?? CCM hebu kaeni pembeni

    Kwenye nchi yenye ardhi, mabonde, mito na maziwa kibao bila kusahau bahari. Inakuwaje hatujitoshelezi kwa sukari? Hiki chama ni kipi inajivunia kwa miaka zaidi ya 60? Sukari!! Aibu naona mimi. Bora kuzaliwa mende Ulaya kuliko kuwa mtanzania chini ya CCM.
  5. JamiiForums Tanzania Tumepuuza namna ya Ki'Magufuli ya kuendesha nchi yetu matokeo yake tumeharibikiwa kila pahala!

    Kuifanya akili igome kukumbuka tulikokuwa tumefika kama nchi, tukasahau masuala ya shida ya umeme, huko kunaitwa ni unyanyasaji wa mfumo ubongo, na anayekataa tusikumbuke ni aidha yeye ndo mchawi wa hii nchi Na nataka niwaambie wote mliokuwa mkimdhihaki Magufuli, sasa mnaumbuka vibaya sana...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wana nafasi ya muhimu kusaidia harakati za kuidai Tanganyika

    Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake. Katika mapambano ya awali, viongozi wa dini walishiriki japo si kwa uwazi sana. Historia inaonesha kuwa viongozi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Julius Nyerere alikuwa mtu sahihi kupewa nchi kwa mazingira ya kipindi kile

    Uandishi sio mzuri mjitahidi Kabla ya Julius Nyerere hajawa kiongozi wa TANU na hali ya siasa za Tanzania zilikua kama ifuatayo;- Changamoto kubwa ya TAA na baadae TANU ilikuwa ni power struggle kila mtu alikua anataka awe kiongozi na hakuna mtu aliyeweza kuunganisha wanachama ambao walikua...
  8. JamiiForums Tanzania Zanzibar ni nchi au Taifa?

    Kwa Kizungu, nchi ni COUNTRY na Taifa ni NATION. TAFSIRI: COUNTRY - a nation with its own government, occupying a particular territory. NATION - a large body of people united by common descent, history, culture or language, inhabiting a particular country or territory. Kwa mujibu wa Katiba ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi ambazo Marekani na Israel hawawezi kuthubutu kuingiza pua zao kushambulia kijeshi

    Niaje waungwana Hapo chini naorodhesha nchi ambazo si Marekani wala Israel itaweza kuthubutu kuingiza pua yake kuzivamia kijeshi kwa namna yoyote ile. Hii ni kutokana na uwezo mkubwa wa kijeshi, kiintelejensia, kiteknolojia ni kiuwezo zilizo nazo nchi hizo katika kulikalisha chini na...
  10. JamiiForums Tanzania Misso Misondo ni mgodi wa kuvuna hela nje ya nchi. creativity yake ikipata promoters wazuri inauzika dunia nzima

    nilikuwa namchukulia poa misso misondo wakati anatrend mwanzoni. ila nimegundua sio mtu poa huyu kijana. kila siku anabuni biti mpya na unakuta kali kuliko ile ya zamani. ushauri wangu kwake ajiongeze apate mtu wa kumuandikia na mistari kidogo tena iwe ya kiswangilish.. kiingereza kwa mbalii...
  11. JamiiForums Tanzania Tanganyika ni nchi inayotumikishwa kwa kivuli cha Tanzania?

    Hivi nani mmiliki wa Tanzania? Watanganyika hawaitaki, kadhalika na Wazanzibar. Ikiwa wote hao hawaridhishwi na wala kunufaishwa na uwepo wa Tanzania, ni nani hasa mnufaika wake? Ni kama vile Tanzania ni chombo kilichoundwa kwa lengo la kuinyonya Tanganyika na Watanganyika. Kwa nini nisiamini...
  12. JamiiForums Tanzania Mene Mene Tekeli na Peresi... Kitanga kinaandika kwenye kuta za utawala wa nchi hii. mbele siyo kuzuri

    Tusidanganywe na lugha zenye hadaa nyingi za wabunge wetu wanaojadili miswada ya sheria za Uchaguzi. Hawana nia njema kwa nchi Hawana maono mema kwa nchi Hawana huruma kwa nchi. Kinachojulikana sasa ni kwamba, Serikali na Chama cha Mapinduzi ni wamoja dhidi ya uhalali, haki na wajibu kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nchi za kikomunisti ni nchi zilizo chini ya amri na utawala wa chama kimoja. Nawakumbusha tu msisahu hilo

    Nawafunza somo jepesi. Mfumo wa kikomunisti una toa mamlaka ya kuitawala kwa nchi kwa chama kimoja pekee. Hata kama nchi ina mfumo wa vyama vingi kama China ila mamlaka ya kutawala China yapo chini ya wakomunisti pekee kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya watu wa China. Nawakumbusha kuna...
  14. JamiiForums Tanzania Tazama kiwango cha Madeni ya Nchi za Afrika Mashariki kilichokopwa IMF

    Kwa mujibu wa taarifa za Manunuzi na Mikopo ambayo haijalipwa (OPL) kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), hadi kufikia Desemba 2023, Nchi 8 za Afrika Mashariki zilikuwa na Deni la Tsh. 16,805,982,380,014 kutoka kwa Mkopeshaji huyo (IMF). Kenya imetajwa kuwa na Deni kubwa zaidi...
  15. JamiiForums Tanzania CPI Ripori: Tanzania ni kati ya Nchi zenye kiwango kidogo cha Rushwa Afrika, unakubaliana na hilo?

    Ripoti ya Mtazamo Kuhusu Rushwa ya 2023 (CPI) imeonesha Rushwa na Ufisadi unazidi kushamiri ambapo Theluthi 2 ya Nchi zimepata alama chini ya ya 50 kati ya 100, hali inayodhihirisha kuwa bado zina matatizo makubwa ya Rushwa. Pia, Ripoti hiyo imeitaja Tanzania kwenye nafasi ya 13 katika Nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Ni hujuma kwa nchi za Kiarabu katika AfCON hii

    Inaumiza sana. Yaani Morocco ya kufungwa na South Africa? Cape Verde kweli wanaitoa Mauritania? Senegal wanatolewa na Ivory Coast? Naona kama kuna maelekezo toka juu. Si sawa kuna msaada kutoka 👆 juu. Team za kiarabu na zenye vinasaba na uarabu wameona wazichinjie baharini. Cape verde ka nchi...
  17. JamiiForums Tanzania Kama hujui faida za raia wengi kuwa nchi za nje, angalia remittances EAC

    Kenya wanaonekana wapo vizuri sana upstairs! Wakati jirani zao wakibweteka kwa kuwa na ardhi kubwa na idadi kubwa ya watu, wao na viongozi wao wanachangamkia fursa zilizopo ng'ambo. Kwa jicho la haraka haraka, inaonekana Kenya, Rwanda na Uganda zimeipita mbali sana Tanzania kwa raia wake...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani yavunja Rekodi yake ya kuuza silaha nyingi nje ya Nchi

    Mauzo ya silaha za Marekani nje ya Taifa hilo kwa Mwaka 2023 yameongezeka kwa 56% tofauti na ilivyokuwa Mwaka 2022, yakifikia jumla ya Dola Bilioni 238 huku uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine ukizidisha mahitaji hayo ya silaha. Poland ambayo iko katika harakati za kupanua jeshi lake, ilifanya...
  19. JamiiForums Tanzania Ongezeko la Wazanzibar kumiliki ardhi Matombo Morogoro linatisha

    Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar. Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi. Tangu lini raia wa kigeni...
  20. JamiiForums Tanzania Dunia na Afrika Mashariki waiangalie Rwanda kama nchi ya miaka 25-30 ijayo, isihangaike na mtu mmoja tu anayeiongoza kwa sasa

    Nadhani hii ndio strateji sahihi. Dunia na Afrika Mashariki wawe na mtazamo mpana zaidi. Wasimuangalie mtu, waangalie nchi. Huyu mtu anapita tu, na ndani ya miaka 30 ijayo hatakuwa alipo. Sasa ana miaka sabini, hakika hawezi kuongoza Rwanda akiwa na umri wa miaka 100. Tunamuona anafoka foka na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…