nchi

  1. JamiiForums Tanzania Kwangu mimi "Kikwete is the wisest Tanzanian president ever, he's intelligent"

    Mwamba ni wa kitambo, Ameshuhudia mengi, kabla hajawa raisi na hata baada, na hata baada ya kukiachia kiti Mwamba inasemekana alipendekezwa kitambo sana na wenye akili aje aliongoze hili taifa Mwamba anongozwa na akili na si mihemko na ndio maana nadra kusikia kafanya maamuzi ya hovyo Mwamba...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi AU, ETHIOPIA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan usiku wa kuamkia leo, Jumapili Februari 18.2024 amewasili jijini Addis Ababa nchini Ethiopia kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika (AU), ikiwa ni saa chache tangu awaongoze waombolezaji kwenye mazishi ya kitaifa ya...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tunaenda kuomba msaada kwa nchi ambazo Mawaziri wanatumia treni

    Tanzania ni nchi ambayo msemaji wa chama anatembea na msafara! Magari ya milioni 400 kwa gari moja. Tunaenda kuomba msaada na kodi za wazungu kwa nchi ambazo mawaziri hawana misafara na wanapanda treni na watu wa kawaida. Tanzania kuna mpaka walindaji wa kufungua milango tu🤔 Yote haya...
  4. JamiiForums Tanzania Nimezunguka Gongolamboto sokoni hakuna sukari, hivi hii nchi ina uongozi?

    Daaaaahh Issue ndogo ya sukari ilipaswa kutatuliwa na kiongozi wa ngazi ya katibu mkuu wa wizara au Mkurugenzi wa bodi ya sukari basi. Lakini serikali yote iliingiza miguu yote na kuambulia kusombwa na maji. Sasa sukari hakuna kabisa. Watanzania msitegemee maendeleo kwa akili hizi za hawa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

    Nisiwe na porojo nyingi, nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda. Naomba majibu.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ugiriki yahalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja

    Ugiriki imekuwa nchi ya kwanza yenye Wakristo wengi wa Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja. Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi. Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis alisema sheria hiyo mpya "itakomesha kwa nguvu...
  7. JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Hatuwezi kuingilia miamala ya nchi

  8. JamiiForums Tanzania Israel yacharuka, yasema imejiandaa kupiga sehemu yoyote nchi za mashariki ya kati

    Msemaji wa jeshi la Israel, Daniel Hagar amedhihirisha nia ya Israel iliyojificha kwa kusema wamejiandaa kujibu mfano wa mapigo ya HezboLlaah si Lebanon tu bali sehemu yoyote ile ya mashariki ya kati. "We do not choose war as our first priority, but we are certainly prepared," Hagari said."We...
  9. JamiiForums Tanzania Namna ambavyo Uhuru wa nchi za Afrika umepoteza uhalisia wake

    Umofia kwenu Tatizo kubwa la Afrika lilianzia pale wale waliopigania UHURU wa nchi hizi kujipa nafasi ya utakatifu na kuamua kujimilikisha nchi wao, jamaa zao na vizazi vyao. Uhuru wa nchi za Afrika ni Uhuru wa Viongozi kujifanyia watakavyo bila kuwajibika wala kuwajibishwa popote na yeyote...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa World Index hizi ndio nchi masikini kuliko zote 2024

    GDP per capita PPP (growth domestic product per capita, purchasing power parity) 1.[emoji1223] South Sudan: $492 2.[emoji1060] Burundi: $936 3.[emoji1068] Central African Rep: $1,140 4.[emoji1078] D.R. Congo: $1,570 5.[emoji1174] Mozambique: $1,650 6.[emoji1156] Malawi: $1,710 7.[emoji1183]...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Japani yatumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa, Ujerumani sasa ni nchi ya tatu kwa uchumi mkubwa duniani

    Japan ilitumbukia katika mdororo wa kiuchumi bila kutarajiwa mwishoni mwa mwaka jana, na kupoteza yake kama taifa la tatu kwa uchumi duniani kwa Ujerumani na kuzua mashaka kuhusu ni lini benki kuu itaanza kujiondoa katika matumizi yake ya fedha ya muongo mmoja wa kulegeza sera ya fedha. Baadhi...
  12. JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zaizuia Marekani kutumia ardhi zao kupigana na Houth huku Erdogan aungana na Elsisi kuionya Israel isiendelee kupiga Rafah

    Nchi kadhaa za kiarabu zimeanza kuingia akili kwa kukataa kuachia Marekani kutumia ardhi zao kuanzisha mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen.Hatua hiyo itaifanya Marekani kushindwa kuwazuia Houth na itakuwa ni msaada wa nchi hizo kwa Palestina. Nchi hizo ni zile ambazo zimekuwa...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Nyerere akiongelea kinachoendelea sasa Congo, Wakongo wanapenda mipaka lakini hawataki watu flani ndani ya mipaka ila hawataki kuwapa nchi yao

    Solution ni moja tu, Kama Congo imewachoka wabanyamulenge ni heri wawape nchi yao lasivyo hakutakuwa na mwisho wa hizi vita huko Congo. Ni tatizo lilioanza zamani sio siku hizi.
  14. JamiiForums Tanzania Nchi kadhaa duniani zaanza kuchukua hatua dhidi ya Israeli juu ya operesheni yake ya kijeshi huko Rafah ambayo yaua wapestina wengi

    Israeli bado yaendelea na operesheni yake katika mji wa Rafah ulioko shemu ya Khan Younis ambayo ipo sehemu ya kusini mwa mji wa Gaza yenye wapestina wapatao milioni 1.4 Operesheni hiyo imeanza kutoa idadi kubwa ya vifo vya wapalestina pamoja ya idadi ingine ya vifo inotokea katika Ukanda wa...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Tunawalaumu sana CCM, je ni nani anaweza kuwapa nchi chama kama CHADEMA?

    Nawaheshimu sana CHADEMA kama chama kikuu cha Upinzani lakini ni ngumu sana kukipa Nchi chama ambacho marafiki na wadau wao wakubwa ni nchi za nje. Je, usalama wa rasmali za nchi utakuwepo? Ni swali kubwa la kujiuliza.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda ni kipimo cha weledi mdogo wa viongozi wakuu wa nchini

    Tusizungumze mengi sana twende tu moja kwa moja kwenye pointi ninayotaka kusema. 1. Paul Makonda elimu yake inatiliwa mashaka. 2. Paul Makonda alifanya mambo yasiyo na weledi wa kiuongozi alipokuwa mkuu wa mkoa wa Dar, mojawapo ni kuvamia kituo na redio cha Clounds FM, kuwaweka chini ya ulizi...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nakulilia Congo nchi yangu

    Congo is the promised land. Congo is the land filled with honey. Congo is the land filled with Natural resources. Congo is the Richest land on the planet. Congo is the land filled with Mineral resources. You can pick up any mineral from the soil in Congo. Congo has the capacity to supply the...
  18. JamiiForums Tanzania Mama unayefungua nchi muandikie Barua Rais huyu atutembelee anamashabiki wengi Tanzania na jina tumempa

    Tanzania ni taifa rafiki na babu yake mzee Kim il sun na kumbukumbu zake nyingi sana za utawala wa Juche zipo maktaba ya kibaha. Karibu Tanzania Kim jong kiduku un
  19. JamiiForums Tanzania Je, jeshini na vyuoni ndio sehemu kubwa za kuleta teknolojia mpya kwa nchi?

    Jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuchangia katika kuleta na kukuza teknolojia mpya kwa nchi, lakini ni muhimu kutambua kwamba sehemu zingine za jamii na sekta zinaweza pia kuchangia kwa njia kubwa. Hapa kuna jinsi ambavyo jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuwa sehemu muhimu ya kuleta teknolojia mpya...
  20. JamiiForums Tanzania Majibu ya ChatGPT suala la chama tawala kukwepa suala la Katiba Mpya

    Mchakato wa kubadilisha au kutengeneza katiba mpya mara nyingine unaweza kuwa suala lenye utata na lenye changamoto nyingi katika mazingira ya kisiasa. Kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza kuchangia chama tawala kutoonyesha nia ya kuanzisha mchakato wa kubadilisha katiba au kufanya mabadiliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…