nchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa nchi analipwa shilingi ngapi kwa mwezi?

    Habari zenu wakubwa, Hivi mama samia anakunja shilingi ngapi mwisho wa mwezi? Maana usikute tunamlaum bure kumbe mshahara tunaomlipa ni kiduchu.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya juu zaidi Marekani yapiga marufuku jimbo lolote kumzuia Trump sanduku la kura, Wasiempenda anazidi kung'aa, Biden kaiharibu nchi

    wabunge na vyombo vya sheria vya majimbo yaliyoshikiliwa na chama cha Democrats anachotokea Rais Biden yamekuwa yakifanya michezo michafu kukwamisha jitihada za Trump kugombea uraisi 2024. Jimbo la Colorado lilimumuondoa Donald Trump kwenye sanduku la kura na majimbo mengine yalikuwa kwenye...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ufaransa imekuwa nchi ya kwanza duniani kuidhinisha Utoaji Mimba kuwa haki ya Kikatiba

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameripotiwa kuwa anatumai marekebisho hayo ya katiba yatamtofautisha na chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha National Rally cha Ufaransa - ambacho kinazidi kupiga kura kabla ya uchaguzi wa Ulaya mwezi Juni. France has become the first country in the...
  4. The best 007

    JamiiForums Tanzania KERO Julius Nyerere International Airport (JNIA) kukosa air condition ni aibu kubwa kwa nchi hii

    Ni zaidi ya wiki sasa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere International Airport air condition hazifanyi kazi, hasa kipindi hiki cha joto kali Dar es Salaam, hivi wahusika wanafikiria nini? Je, ni hujuma? Mama Kizimkazi anajua? Na kama anajua amechukua hatua gani? Na kama hajui kwa...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mnanufaikaje na watoto, ndugu, au marafiki wanaofanya kazi huko nje ya nchi?

    Kumekuwa na shauku kwa vijana wengi kutamani kwenda kufanya kazi nje ama kuishi nje. Tukitegemea kuishi kwao nje, watafanya mambo makubwa hapa nchini, kama vile umiliki wa viwanda, umiliki wa makampuni makubwa n.k Lakini haya yote hayaonekani, tatizo ni nini? Au nyie mnanufaikaje kwa hao jamaa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje nchi yetu iliyojaa fursa na rasilimali hayumo Mtanzania hata mmoja wa asili kwenye kumi bora ya matajiri?

    Tukianza kuangalia jamii zilizofanikiwa hapa nchini, sharti la kwanza huwa ni kuwaweka Waarabu na Wahindi pembeni, hawa watu wametupiga gepu refu sana, hata top 20 ya matajiri huwezi kuta mtanzania wa asili, wakimbiza vibaya mno !! Tukiwatoa hao waarabu na wahindi ndio tunafuata sisi watanzania...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali rekebisheni za chaguzi vizuri twende mbele kama nchi!

    Ukiangalia vizuri mapendekezo ya marekebisho ambayo vyama na wadau wanapigia kelele yarekebishwe ni ya msingi. Lakini sioni faida yeyeote ya maana kwa chama tawala cha CCM wala serikali kwa kuweka sheria nusu nusu na kuendeleza majibizano, maandamano na fikra kwamba chaguzi sio huru. Raisi samia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hongera CCM: Umelijenga Taifa imara Kwa vizazi vijavyo

    Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini anayeifanya Tanzania kuwa hivi alivyo Leo ni Nabii anayekubalika ndio maana nataka hongera kwake, HONGERA...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani?

    Ningependa kujua kama kuna nchi nyingine ambayo inawajengea/inawapa nyumba viongozi wake wakuu wakitoka madarakani? Na inawapa magari mapya ambayo kila baada ya miaka mitano wanapewa mengine mapya ( sijui tamati ya yale ya awali). Uhuru amepewa nyumba? Amandla...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Mwinyi hakuruhusu biashara huria bali yale ni masharti ya SAPs kutoka IMF kabla nchi haijapewa mkopo

    Mimi sio mwandishi mzuri bali mjitahidi kusoma hivyo hivyo Baada ya vita vya kagera hali ilikua mbaya sana kiuchumi na ukizingatia kipindi hicho ussr inapumulia machine kiuchumi Wale wenye akili timamu watakubaliana na mimi miaka ya 1980's mwanzoni hali ilikua ni ngumu sana kwa wananchi na...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA wanafaa kukabidhiwa nchi?

    Tundu Anti-Pass Lissu, akihojiwa na Star TV, alieleza kwamba kwa upande wa chadema, wao ufisadi wala sio issue kwao, si ya kwanza, ya pili au ya tatu ,ya tisa huko. Je, wakiingia madarakani, wana nguvu ya kisiasa ya kupambana na ufisadi? Wameshauona kama sehemu ya maisha yao, au maisha yao...
  12. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Punguza athari za mabadiliko ya tabia nchi kupitia hatua za kibinafsi

    Mabadiliko ya Tabia Nchi yamekuwa yakiathiri Nchi zetu, ila mtu binafsi kwa mtazamo mwengine labda anaweza kuchangia katika kupunguza athari za mabadiliko haya, Kwa njia mbalimbali kama Kupanda miti ili kusaidia kuchukua kaboni dioksidi kutoka hewani. Miti husaidia kueneza hewa safi kwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Takriban Nchi 16 zakabiliwa na uhaba wa Chanjo ya Kipindupindu

    AFYA: Nchi za Zimbabwe, Malawi na Msumbiji zinakabiliwa na uhaba wa Chanjo za Kipindupindu huku Ugonjwa huo ukiwa umeathiri takriban Watu 96,000 na kusababisha Vifo zaidi ya 1,600 katika Nchi hizo. Taarifa ya Madaktari Wasio na Mipaka (DWB) imeeleza kuwa uhaba huo umeathiri zoezi la Chanjo...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Zifuatazo ni nchi zilizokubuhu katika unywaji wa pombe Afrika; angalia nafasi ya Tanzania, East African Community yatia fora

    Below are African countries with the highest beer consumption per capita: Rank Country Beer Consumption per capita Global Rank 1 Namibia 95.5 L 6 2 Gabon 67 L 25 3 South Africa 60.1 L 28 4 Democratic Republic of the Congo 54.8 L 35 5 Kenya 12 L 52 6 Tanzania 8 L 57 7 Uganda 6 L 58
  15. DENLSON

    JamiiForums Tanzania Kusafirisha viazi mbatata nje ya nchi

    Habari wana Jamii Nahitaji msaada nataka kusafirisha viazi mbatata kwenda nje ya nchi ila ni dnani ya afrika mashariki, naomba msaada wa kujuzwa utaratibu. Usafiri ninaotaka kutumia ni ndege maana napeleka Congo hivyo nahitaji taratibu za export pamoja na nauli za ndege Ethopia Airline
  16. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 Afrika zenye tatizo dogo la ajira! Vijana wasio na ajira wategemee nini?

    Kwa takwimu hizi nafikiri wasio na ajira Tanzania watasota sana. Below are 10 African countries with the lowest unemployment rate in 2024: Rank Country Unemployment rate 1 Niger 0.49% 2 Burundi 0.98% 3 Chad 1.28% 4 Benin 1.58% 5 Madagascar 2.07% 6 Côte d'Ivoire 2.61% 7 Tanzania...
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania Tujifunze neno Kleptocracy au Kleptokrasia serikali na madhara yake kwa nchi husika

    Wakuu, habari za jumapili na bila shaka kila mwana JF kaimaliza jumapili hii tukufu huku wengine wakienda kwenye ibada, sehemu za starehe, kutembelea ndugu, jamaa na marafiki kama ilivyo kwa tamaduni na desturi zetu wenyeji huandaa maakuli na vinywaji kutukaribisha sie wageni wao. Sasa basi...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa kati ya Nchi 4 za Afrika zitakazokuwa na Uchumi mkubwa Duniani ifikapo mwaka 2100

    #UCHUMI: Kwa mujibu wa chapisho la #YahooFinance kutoka katika Ripoti ya 'Economics in The Year 2100', ya Mtando wa #FathomConsulting, Tanzania imetajwa kuwa kati ya Nchi 4 kutoka #Afrika zitakazokuwa katika orodha ya Nchi 25 zenye Uchumi mkubwa duniani ifikapo mwaka 2100. Ripoti hiyo imeonesha...
  19. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Waislamu nchi wakipelekwa kwenye nchi wanazoona bora watarudi mbio Tanzania wakiangalia amani walioiacha hapa

    Ukitaka kujua shida angalia wale kila kukicha wakikimbilia Ulaya kutafuta amani na utulivu na nchi nyingi ndio za kiislamu. Sasa kuna Msomali mmoja alikuwa rafiki yangu sana japo Kiswahili chake cha shida kwa sasa yupo Canada, kuna neno aliniambia; "Hawa wanaojifanya hapa Tanzania uislamu...
  20. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ivi ndivyo Nchi Walivyotaka Kuiongoza Lakini Sio Kama Ule Uongozi.

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya mungano...... mtamalizia wenyewe!
Back
Top Bottom