nchi

  1. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa tunatakiwa kuwa na sheria inayomtaka Rais kuendeleza alichokiacha mtangulizi wake na sio kuendesha nchi kwa maono yake

    Katika mamia ya sheria nilizowahi kuzisoma hapa nchini Tanzania sijwahi kukutana na sheria inayomtaka Rais kuendeleza kile alichokianzisha mtangulizi wake, na badala yake nchi huwa ikiendeshwa kwa maono ya Rais aliyeoko madarakani.Tuna ushaidi kwa namna gani nchi imekuwa ikipoteza mamia ya pesa...
  2. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikamata kila mwenye akili ya kuhoji, alitaka kuongoza nchi ya Wajinga tu, Hata hivyo ilishindikana

    Ikiwa tumeingia mwezi wa 3 , ambao kwa mahesabu ya Tanzania na wanazuoni ni mwezi wa Mungu ( wenye akili wameelewa ) , tutajitahidi kuanzia leo na kuelekea mwisho kuwaletea makala za kusikitisha za uozo wa serikali ya awamu ya 5 na viongozi wake , wakiwemo waliokufa na walio hai , wakiwemo...
  3. JamiiForums Tanzania Mgogoro wa Gaza: Haijawahi kuwapo nchi inayoitwa Palestina

    Wale wanaotaka Palestina irejeshwe, nawajuza kuwa Palestina haijawahi kuwapo kwenye sura ya dunia. 1. Kabla ya Israel kuwekwa pale mwaka 1948 kulikuwa na utawala wa kikoloni wa Uingereza (British Mandate), hii haikuwa Taifa la Palestina 2. Kabla ya Ukoloni wa Mwingereza mwaka 1917 kulikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Pambano: Nchi gani iko juu kwa wanawake wenye mpindo mzuri ama miili mizuri yenye makalio ya viwango kati ya Wanyarwanda na Waganda?

    Katika hili pambano mimi binafsi kusema ule ukweli nikiangalia ukanda wa maziwa makuu hapa Afrika Mashariki, kwa ujumla inapokuja swala la shepu hasa mpindo mzuri wa makalio ama Matrakoo Wanyarwanda hadi sasa wanaongoza kwa mbali sana, japo hawajazagaa sana huko Dubai na Arabuni ila hawa viumbe...
  5. JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM hakukaliki, kuna mipasuko, hakuna amani ndani ya chama. Tunayoyaona sasa yanaeleza kila kitu kinachoendelea nyuma ya pazia

    Muasisi wa nchi yetu mwalimu Nyerere aliwahi kugusia jambo kwenye moja ya hotuba zake wakati akielezea ni jambo gani kubwa inaweza kupelekea nchi kupata maendeleo, alisisitiza sana swala la demokrasia; lakini kwa bahati mbaya hata ndani tu ya chama cha CCM sasa miaka hii hakuna hiyo demokrasia...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Nchi hii Dharau zimezidi! Watumishi wa serikali Vyeo sio Misifa, ni Dhamana

    Dhahiri shahiri bila kupepesa macho nanyoosha malalamiko yangu Ofisi ya halmashauri Njombe mjini Kuwa Cheo ni Dhamana sio sifa na lawama hizi ziende moja kwa moja kwenye kitengo cha NIDA, Mjue tumeteseka Mashambani na makazini na viwandani, mikono yetu ikapasuka pasuka kwa kazi ngumu tukajituma...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya tatu duniani kama nchi ambayo watu wake wana furaha

    Kama kichwa cha Habari kinavyo jieleza hapo juu kwamba Nchi zenye Furaha duniani, basi sisi Tanzania ni inchi ya Tatu duniani yaani DUNIANI. Source ikiwa ni hii taasisi ina itwa Mental state of the world report ambayo wame kusanya data toka kwa watu laki 4 toka inchi 71 duniani. Nilipo ona...
  8. JamiiForums Tanzania Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

    Kitendo cha kuagiza mchele nje ya nchi siyo kitendo cha kukiacha kipite hivi hivi tu kama ni jambo la kawaida na halina maana yoyote. Jambo hili ni ishara mbaya sana na siyo dalili nzuri sana huko tuendako kama taifa. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania mngekuwa na mtizamo kama wangu CCM ingekuwa imeondoka tangu 1995 na nchi hii tungekuwa mbali kimaendeleo

    Tangu mwaka 1995 sijawahi kuipigia CCM kura kwa namna yoyote ile, iwe katika nafasi ya urais, ubunge au udiwani. Sijawahi kuhudhuria mkutano wowote ule wa CCM tangu 1995. Sisikilizi hotuba za viongozi wa CCM na hata nikisikiliza kwa bahati mbaya sioni jipya isipokuwa blaa blaa za kale...
  10. JamiiForums Tanzania Haijawahi kutokea, Jina Magufuli kununua kila madhambi ya wana CCM? Nchi iliyozoelea umasikini na aibu itajikwamuaje?

    Asilimia zaidi ya 80 ya Watanzani, walimwamini JPM kupitia njia zote alizokuwa akizitumia kuikwamua Tanzania kutoka kwenye lindi la umasikini na umasikini wa Watanzania na hata leo bado wameendelea kuamini njia hizohizo kwamba, zinaweza kuwainua Watanzania na kuiheshimisha nchi! Miradi mikubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yapendekeza nchi zitoe majeshi yatumike kuvusha misaada Rafah watu wasiendelee kufa

    Bi Naledi Pandor, Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika Kusini ameshangazwa na matumizi ya maneno pekee kutaka misaada ifikishwe Gaza bila vitendo huku watu wakidondoka mitaani kwa njaa. Amesema wale wale wanaipa Israel silaha iendeleze maangamizi ya Wapalestina kama hawana...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zinashindwaje kuwafikia Israel kiuchumi wakati Israel ni kanchi kadogo na wamezingirwa na maadui?

    Hizi ni Gdp za nchi za ukanda wa kati kwa Usd dollars Billions Dondoo muhimu: vipimo hivi vya GDP havihusishi misaada, anyway kiasi ambacho Marekani anaisaidia Israel ni dola bilioni 3 kila mwaka, haifikii hata asilimia 1 ya uchumi wa Israel.. Saudi Arabia ni kubwa kuzidi Israel mara 96, ina...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Yusuph Makamba: Hayati Mwinyi ni hazina ya Mwenyezi Mungu kwa nchi yetu

    Salaam, shalom!!! Akizungumza Kwa uchungu mkubwa na majonzi alipokuwa akimuelezea HAYATI Mwinyi, amesema kuwa Mzee Mwinyi alikuwa mtu mwenye kheri, mpole na mstaarabu na muwajibikaji. Amedai kuwa ulitokea mgogoro kati ya wakulima na wafugaji akiwa mkuu wa mkoa na katika tukio Hilo, alifariki...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM

    Ukweli mchungu kwa ma CCM na vibaraka wao: “Mkitaka kufika mbali lazima muwe na sauti ya pamoja hata kama munatofautiana kwa itikadi ya vyama vyenu lakini linapokuja suala la kutetea maslahi ya nchi lazima mushikamane, hamuwezi kuondoa chama kilicho madarakani kwa kujitenga." Amesema...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ukiifikiria sana hii nchi unaweza kupata wendawazimu!

    Huku nikiwa naendelea kufurahia vitu vya asili tulivyobarikiwa na Mungu pamoja na chakula kizuri, maisha ya watu wangu kiujumla ni magumu sana. Hakuna jitihada za makusudi za kuhakikisha watu wanaishi maisha yenye furaha. Unajenga nyumba nzuri, unaweka mifumo ya maji, vyoo vya ku flash, AC...
  16. JamiiForums Tanzania Hii nchi ni full of cry babies ndio maana Hayati Mwalimu Nyerere aliachia madaraka na hatukumuelewa Hayati Magufuli pia

    Nchi wamejaa wanachi na viongozi lia lia wanasahau hakuna Maendeleo yanayo weza kuja Jasho , ukiwabana kidogo ili mapato mengi yaingie serikalini huwezi kueleweka , Hayati Benjamin mkapa aliwahi kusema.. "Napenda kuwakumbusha kuwa njia ya maendeleo imejaa jasho na vumbi. Tuzingatie utamaduni...
  17. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tunaanzisha wiki ya Maandamano kwenye Makao Makuu yote ya Mikoa nchi nzima

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema chama hicho kitaingia kwenye awamu nyingine ya Maandamano yatakayofanyika kwenye makao makuu yote ya mikoa nchini, maarufu kama wiki ya Maandamano yatakayofanyika kuanzia Aprili 22-30, 2024. Aidha, amewatangazia Diaspora kufanya maandamano makubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha: Tanzania ipo kwenye viwango vizuri vya kuendelea kukopesheshwa kati ya nchi chache

    Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bw. Elijah Mwandumbya, kwa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete alikuwa akikimbia nchi kila inapopata skendo, Rais Samia anarudi nchini kila hali inapotaka kuwa ngumu

    Mfumo wa Utawala wa JK ulikuwa wa safari nyingi nje. Nyingi ya safari zake zililenga zaidi kukimbia presha ya kisiasa ndani ya nchi sambamba na ugumu wa maisha. Pale alipobaini patatokea hoja ngumu ya yeye kusimama kama mwenye nchi kuamua alifafanya vyovyote iwezekanavyo awe nje ya nchi kupisha...
  20. JamiiForums Tanzania Viwango vya kubadilisha fedha vyakuza deni nchi za Afrika

    Na. Eva Valerian na Peter Haule, WF, Victoria Falls, Zimbabwe Madeni ya nchi nyingi za Afrika yanakua kwa kasi kutokana na kuongezeka kwa viwango vya riba na kubadilisha fedha duniani na kusababisha kushuka kwa thamani ya fedha za ndani. Hayo yamebainishwa Mjini Victoria Falls, Zimbabwe, na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…