nchi

  1. JamiiForums Tanzania Hii ndio nchi ya Uganda

    -Baba (Yoweri Museveni) ni Rais -Mama (Janeth Museveni) ni Waziri wa Elimu -Mtoto (Muhoozi Kainerugaba) ni Mkuu wa Majeshi, CDF Waafrika bado tuna safari ndefu sana.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Njia sahihi ya nchi ya DRC kuwa na amani ni kuishtaki RWANDA kwenye mahakama ya EAC

    Vita vya mara kwa mara nchi DRC ni usumbufu wa nchi ya RWANDA.sasa sioni maana ya kuwa member wa EAC wakati nchi mwanachama anakuletea usumbufu wa mara kwa mara. Kama EAC haitangilia mzozo wa DRC ni dhahiri itakuwa kama Urusi na Ukraine.
  3. JamiiForums Tanzania Ofisi za TRA kuwa wazi nchi nzima tarehe 23 na 24 Machi, 2024

  4. JamiiForums Tanzania Sakata la Jerry Silaa kuvunja majumba ya watu nchi nzima: Johnson Mahululu aidai serikali ya Tanzania bilioni 20

    Source: Youtube-wakiliTv, taarifa ya Wakili Dickson Matata Nilisema kwamba haya mambo ya kujifanya mwendesha mashitaka na hakimu anayofanya Jerry Silaa yasipoangaliwa, ataitia nchi hasara kubwa sana. Sasa watanzania wataingia hasara ya bilioni 20 ili kumlipa Johnson Mahululu baada ya Jerry...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Marekani, nchi inayotamka haitaki vita wakati inaanzisha vita hivyo!

    Hivi karibuni, Marekani ilitangaza kwamba imefanya mashambulio ya anga katika maeneo 85 nchini Iraq na Syria, dhidi ya Kikosi cha Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran na makundi ya silaha yenye uhusiano na Kikosi hicho. Mashambulio haya yameharibu zaidi uhusiano kati ya Marekani na Iran, ambao tayari...
  6. JamiiForums Tanzania Hii nchi kila kona fremu

    Hamna wazo lengine, mtu akiwa na nyumba inaangalia barabarani?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Toa maoni yako hapa tuwafanyeje waliotaka Rais Samia asikabidhiwe nchi

    WanaJF, Yaliyosemwa na retired CDF kuhusu matukio yaliyotokea muda mchache kabla ya Magufuli kufariki miaka 3 iliyopita tumeyasikia. Baadhi ya matukio ni kikundi fulani kutaka katiba isisimamiwe. Aliyekuwa CDF akakataa Matukio haya yanasikitisha lakini tukiyanyamazia yanaleta precedence...
  8. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Rais Samia ametuliza nchi na kuvutia Uwekezaji

    Wakati kukiwa na mitazamo mbalimbali juu ya Rais Samia Suluhu Hassan na utendaji wake kazi, Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete anasema imekuwa ni miaka mitatu ya kutengeneza utulivu wa nchi ambao umefanikisha kuvutia wawekezaji katika sekta mbalimbali. Mzee kikwete anasema: Hata wafanyabiashara...
  9. JamiiForums Tanzania Je, wajua wimbo wa taifa wa nchi ya Hispania hauna maneno?

    Wimbo wa taifa la hispania (The Marcha Real) ni moja ya nyimbo za taifa zisizo na maneno rasmi, hata hivyo kuna maneno (mashairi) yaliwahi kuandikwa huko nyuma. Aina mojawapo ni utunzi wa maneno yaliyotungwa kipindi cha utawala wa Alfonso XIII's na mwingine katika utawala wa Francisco Franco...
  10. JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP -155), na kwa nini inaonekana kuwa na mafanikio? Je, ni kwa nini tusiwaige?

    Napenda kufahamu ethiopia wanategemea kitu gani kwenye kukuza uchumi wao pia ni sector gani kwao inayoongoza kuwaingizia pesa nyingi. Swali kwa wachumi ni mbinu gani ambazo Ethiopia inatumia kukuza pato lake la Taifa (GDP) hadi wanaenda speed sana yaani miaka kama 3 au minne nyuma tulikuwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nchi ikiongozwa na mtu kama Rais Samia lazima watu wake wawe na furaha na biashara zitashamiri kama ilivyo sasa

    Watanzania tuachane na mentality za kijamaa zakuwapa majimbo watu wasio na nyumba wala utajiri wowote. Tuwakatae watu wasio na business mind kuongoza nafasi za kisiasa nchini kwetu. Kuendelea kuwa na viongozi wa kisiasa wanawaza kila saa kwamba wanaibiwa nikukosa exposure. Tuwe na viongozi...
  12. JamiiForums Tanzania Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana. Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga! Hizi nchi za watu wenye low minded people...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Feitoto aituliza nchi

    Feisal ni kijana mashuhuri kutoka Zanzibar , ni kijana mwenye uwezo mkubwa na mara zote huwa na juhudi na kuyafikia malengo aliyojiwekea. Leo katika mchezo wa Azam vs Yanga kijana huyu alimaarufu kwa jina la "Feitoto" aibuka shujaa dimbani, baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi na...
  14. JamiiForums Tanzania Nani kawahi kuona NGO ya wachina hapa Tanzania? Kama hazipo sababu haswa ni nini kuja kufanya kazi nchi kama Tanzania?

    Naomba nisaidieni kama kuna mtu kawai ona NGO ya kichina nna taka kufanya research kuhusu mchango wa NGO za China kwenye social services za Tanzania. Nipige comparative study China vs Western. Binafsi sijawai ona NGO ya kichina Tanzania na sijui sababu ni nini ata kupata volunteer wa kichina ni...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Je, serikali itaruhusu mafuta ya Alizeti kutoka Marekani yaingizwe nchini na kupelekwa Dodoma wakati Singida wauzaji wanakosa soko?

    Waziri Bashe ameongea kuhusu msaada wa mchele na mafuta kama vile yeye siyo waziri mwenye dhamana. Anaonyesha kushtushwa na mchele huo na mafuta kuingizwa nchni. Je, kama sovereign state tutaruhusu kuletewa mafuta ya alizeti ambayo hata Dodoma na Singida yapo? Hii misaada nani huwa anakwenda...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    2024 military strength ranking: 1. 🇺🇸United States 2. 🇷🇺Russia 3. 🇨🇳China 4. 🇮🇳India 5. 🇰🇷South Korea 6. 🇬🇧United Kingdom 7. 🇯🇵Japan 8. 🇹🇷Turkey 9. 🇵🇰Pakistan 10. 🇮🇹Italy 11. 🇫🇷France 12. 🇧🇷Brazil 13. 🇮🇩Indonesia 14. 🇮🇷Iran 15. 🇪🇬Egypt 16. 🇦🇺Australia 17. 🇮🇱Israel 18. 🇺🇦Ukraine 19. 🇩🇪Germany...
  17. JamiiForums Tanzania Uchumi unakufa sababu ya kupotea kwa dola, wafanyabiashara wa nchi za kigeni/wawekezaji huenda ndio chanzo

    Sijui vizuri mambo yanayohusu uchumi ila utaalamu wangu upo kwenye kumanage rasilimali watu pekee na kusuluhisha mambo ila binafsi nimeona malalamiko mengi ya kupotea kwa dola, panda shuka ya bidhaa (inflation) ambapo kwa kiasi kikubwa machungu hubebeshwa mwananchi wa kawaida na kwa bahati mbaya...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi inaweza kusahau uwepo wa kina Membe na wenginewe wengi ila si kwa watu kama Magufuli n.k

    Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja...
  19. JamiiForums Tanzania Biashara inayostawi kati ya China na nchi za nje inatoa ishara gani?

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Idara Kuu ya Forodha ya China zinaonesha kuwa, kuanzia mwezi Januari hadi Februari mwaka huu, thamani ya jumla ya biashara ya bidhaa kati ya China na nchi za nje ilikuwa dola bilioni 930.86 za Kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 5.5 ikilinganishwa na...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya China na Afrika waonesha dosari zilizopo kwenye uhusiano kati ya Afrika na nchi za magharibi

    Uhusiano wa karibu kati ya China na nchi za Afrika, ambao umekuwa wa kina zaidi baada ya China kuwa na maendeleo makubwa kiuchumi, umekuwa unafuatiliwa kwa karibu na nchi za magharibi, na katika baadhi ya nyakati umekuwa ukipakwa matope kwa kila njia bila mafanikio, kujaribu kuleta migongano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…