Ndugu zangu Watanzania,
Uimara ,Ushupavu na Umadhubuti Wa Chama cha Siasa na kilicho tayari kuongoza Na kushika Dola ni Pamoja na ukomavu wake wa kuhimili mikiki mikiki ya ndani ya chama . Ni Pamoja na kuweza kujiongoza chenyewe kama Taasisi ,Ni Pamoja na Kuweza kutatua migogoro yake bila shida...
Hivi leo ACT wanaojiita Wajamaa na Wazalendo leo wanapigania Uzanzibar! kule Zanzibar,kwa nini wasipiganie na Utanganyika huku Tanganyika,ila wamekaa kimya kwa upande wa Tanganyika nao wanaiita Tanzania,sasa Tanzania kwa sasa ni muungano wa Tanganyika na nchi gani ?
Montevideo Convention ya...
Na hata hivyo huko kwenye chama wanaburutwa tu kama tela la punda,
Mambo ya zidumu fikra za mwenyekiti tangu zama za nyerere ndio zinazo liua sana taifa hakafu kuna anasema nyerere mtakatifu, anautakatifu gani wakati alijiandalia katiba inayo mlinda yeye
Hiki chama kina matatizo sana yaani wao cha kwanza kwao ni maslahi ya chama kwanza. Na sababu kuu ni kwamba wameaminishwa kwamba hakuna maisha nje ya chama hivyo mtu yuko tayari kusaliti dhamiri yake kusaliti elimu yake na kusaliti utu wake ilimradi tu asiende kinyume na chama.
Yaani kwa kifupi...
Nimesoma mkataba wa Siri wa bandari
Nimesoma mikataba ya ujenzi wa viwanja vya afcon
Nimesoma mikataba ya barabara
Nimesoma mkataba wa bandari ya bagamoyo.
Nimesoma mkataba wa ngorongoro
Nimesoma mikataba wa makaa ya mawe,gasi na uranium kusini
Aisee ni majanga niwaambie tu nchi yetu...
Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi.
Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya.
Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
••Kwenye uwazi na ukweli ndipo tunapokosea,
••Mambo ya siri,mikataba ya siri ndilo tatizo kubwa.
••Wakati taifa letu likielekea kwenye uchumi mkubwa the way ndipo tunapojiongezea maadau wengi zaidi wa kiuchumi,maadui hawa wengi ni miongoni mwetu sisi wenyewe kwa kutumika na walio nje wenye...
Ndugu zangu Watanzania,
Hata Hayati Baba Wa Taifa Amewahi kusema na kuandika katika kitabu chake cha Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania cha Mwaka 1994 ya kuwa Ukimtikisa Rais Wa Nchi unakuwa Umeitikisa Nchi yaani Huwezi kumtikisa Rais wa Nchi na Nchi ikabakia Salama.
Unaweza kumtikisa...
Kwa Nini watu wanaipenda ccm kuliko MASRAHI ya nchi tatizo lipo wapi
Ni pesa au Nini kilichojificha ..
Msukuma unasema kupigana short
Kwa hyo kudai KATIBA ni kupigana short ,mauji ya October ni kupigana short,kutekwa ni kupigana short ,polepole yupo wapi ni kupigana short
Kwa hyo...
Kila nikijaribu kuangalia changamoto tunazokutana nazo hasa unaposhughulika na mambo ya kiserikali unagundua kwamba kila siku kero zinaongezeka.
Sasa nini faida ya hawa maprofesa na madokta waliojazana kwenye uongozi?
Tija Yao ni nini hasa tofauti na wasio kuwa na level hizo.!?
Kama wewe kweli ni mzalendo utaendelea vipi kuwa ndani ya Chama ambacho Makamu Wa Rais wa nchi anafukuzwa kwasababu ya kusema watanzania wapiganie katiba mpya.
Tujiulize kwanini hao waliobaki katiba mpya inawapeleka huko. Na hao TIS wanafanya kazi kwa niaba ya nani?
Je Gwajima amelambishwa asali?
Je Gwajima amepata vitisho ?
Je Gwajima ameona aliokuwa anawatetea sio watu sahihi ni heri ajiunge na wenzake wana ccm kujichotea mali za uma nk?
Hatujamzoea hivi , au kuna mahali wamembana kaona akifanya fyoko watamfilisi ikiwezekana kumbambikia kesi?
Jasusi...
Pale Madagasca Bwana Rajolina alichaguliwa, akaapa, akateua Waziri Mkuu na baraza lake la mawaziri.
Kabla hata mwaka haujaisha akafukuza Waziri Mkuu wake na kuteua mwanajeshi kuwa Waziri Mkuu mara baada ya muda akalalamika kuwa wanajeshi wanataka kumuua!
Mara hili mara lile akatangaza...
Nyie wanaCCM msiokubaliana na yanayoendelea nchini, uoga wenu ndiyo kitanzi cha tsifa hili. Ni lazima mpandishe joto la kisiasa nchini ili muafaka wa kitaifa upatikane.
Tokeni kwenye mashimo yenu ya woga na hofu, mje mtoke hadharani mseme, mkemee, mshauri na mtoe misimamo. La sivyo atanyakuliwa...
Ukweli kwamba anainyosha nchi. Kila goti litapigwa kuanzia Dar hadi Ruvuma, kupitia Lindi na njia ya kuelekea kwa sugu
Kama alifanikiwa bunge la katiba hana hata kajeshi kamoja na hata hili atafanikiwa. Mama shujaa
Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌
Waliowahi kuiona watanielewa😂
Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
Sory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi...