nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. Baada ya Ukraine kuzishambulia vinu vya kuchakata mafuta leo hii Russia nayo ya shambulio makazi ya Raia

    Urusi pia ilirusha makombora mawili ya masafa ya kati ya Oreshnik yenye risasi za MIRV kuelekea eneo la Kiev, huku picha zikionyesha athari nyingi za kuingizwa tena karibu na Bila Tserkva kusini-magharibi mwa mji mkuu. Rais Volodymyr Zelenskyy na Ubalozi wa Marekani walikuwa wameonya saa chache...
  2. Asante Mungu kwa hii Nyota Kali uliyonibariki nayo, japo nakiri inatusababishia tuchukiwe, turogwe na tuonewe wivu sana

    Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi GENTAMYCINE. Kwa wale ambao mnajijua mna hii Nyota kama yangu na ambayo imesemwa hapa kama ukitaka...
  3. Disappointment Pain Hits Different Unakabiliana nayo Vipi?

    Maumivu ni nini? Maumivu ni hisia ya uchungu au usumbufu ambayo mwili, moyo au akili huipata pale kuna tatizo, jeraha, ugonjwa au emotional stress Sometimes pain is physical and sometimes it’s deep inside the heart Kuna aina kuu mbili za maumivu Maumivu ya mwili Mf: Kuungua Kukatwa Kuumwa...
  4. Tila tila ndio mpango mzima kwa wadada sasa hivi, kila mmoja wao anapenda kuwa nayo

    Tila tila ni michirizi ya mahaba iliopo kwenye mapaja muda mwingine kusogea hadi kwenye makebo Acha ile ilio komaa na kutengengeza longitudes, no kuna hii ilo sexy sana hata watoto wa mjini wanaijua😁
  5. Hii ni aina gani ya bunduki alieonekana nayo mlinzi wa raisi mapema leo baada ya kashi kashi katika hafla ya chakula cha jioni?

  6. Hivi kwanini wanawake wenye makebo makubwa wanazidi kuongozeka kwa kasi tanzania? Kuna wakati wanawake waliokuwa nayo kawaida au flat kabisa

    Najjiuliza ni genetics, diet,? Ama nini? Kwa maana wadada wenye mishepu inazidi kuwa kwa kasi kulko miaka ya 90, 2000 huko
  7. Pasi hii umedumu nayo kwa muda gani?

    Kuna pasi alafu kuna hii pasi Ya kwako imedumu kwa muda gani?
  8. Tetesi: Koko Beach nayo ishauzwa?

    Hizi kelele wanazopiga hawa vijana hapa ni sawa na kelele za chura ambazo haziwezi kumzuia tembo kunywa maji. In fact kwasaasa kinauzwa kila kitu Vikubwa vimeshauzwa vyote Vya kati vimeshauzwa vyote sasa ni zamu ya vidogo Wiki iliyopita tulishuhudia uuzwaji wa shule kule Kurasini DSM. Kabla...
  9. Watu wa Forex , hii pullbacks strategy inaonekana ina faida sana, kuna mwenye uzoefu nayo?

    Katika demo account, nimefanya trades 53 na kati ya hizo 40 zimeleta profit kwa kutumia hii pullback and breakout strategy. Sasa natafuta vitabu na articles mbalimbali ili nifanye specialization kwenye hii strategy naona ni rafiki sana. Kabla sijaiingiiza kwenye real money naombeni muongozo...
  10. Ni tabia gani inakukera ukikutana nayo unapotumia usafiri wa basi?

    Katika harakati za masuala ya safari nimebahatika kupanda basi moja kutoka mkoa X, kero kubwa ni huu mrundikano wa abiria wanaolala kwenye korido kiasi cha tulioketi kukosa hata nafasi ya kunyoosha miguu. Vipi na wewe unakereka kama mimi? Au tabia ipi inayokukera wewe?
  11. NIDA NA MADENI YALIYOKUWA LINKED NAYO

    Naomba kujua namna naweza kutrack taasisi yoyote ya mikopo iliyo linked na namba ya nida!
  12. H

    Tume nayo inaogopa kumhoji Mafwele!?

    Hii tume nayo inamuogopa mafwele!? Huyu măfwele waandamanaji walimtaja kama sehemu ya hasira zao kwakua ametajwa kama mtekaji na mashaidi kama Sativa, wanaharakati wa kenya na uganda waliotekwa pia wamemtaja Lini tume itamuita!? Au kwenye script waliyo pewa hayumo
  13. Baadhi ya misemo ya makapuku wenzangu

    "aah wapi, hayo mapiza na mabaga wanayokula na mimi ninae kula matembele vyote vitaishia kuwa mavi tumboni" "usione mtu amekuwa tajiri kiasi hicho wewe, watu wanalala na nyoka kitandani, wewe unaweza?" "usione dar hii watu wengi hali ngumu, lile sanamu la askari pale posta ndilo linalonyonya...
  14. Ni karaha gani au kero gani unakutana nayo wakati wa tendo la mapenzi?

    Tuambizane ni kero gani unakutana nayo wakati wa kufanya mapenzi? Mi kero nayokutana nayo ni kukuta mwanamke haoneshi ushirikiano hata ukitaka kumgeuza dog hataki kero ya pili mwanamke ambaye uke wake unatoa harufu mbaya na pia kinywa chake kichafu unashindwa hata kumla denda.
  15. Hii haikushindi kuanza nayo - Vyumba vitatu. Tunahusika na design hadi Ujenzi

    CHECK OUT THIS SIMPLE AND COMPACT SEBULE KUBWA NZURI ,DINNING ,OPEN KITCHEN ,1SELF BEDROOM,1SINGLE BEDROOM ,AND MASTER BEDROOM WITH CLOSET ,PUBLIC TOILET CALL US +255624004650
  16. Abdul Malik acha dharau kiasi hicho kwa Watanzania. Egypt nayo ni Afrika na sisi siyo Hopeless

    Abdul Malik xxxxx tupo naye ubalozini akiwa ni Mwambata wa Balozi wa Egypt hapa nchi X. Tulikuwa na meeting na katika maongezi tukizungumzis mambo kadhaa wa kadhaa akaanzisha mazungumzo about siasa za Tz na last election. Bahati mbaya nilimwambia mimi ni mfanyabiashara from Tz sikumwambia hasa...
  17. Kuna mwanaume mida hii kalala na boxer aliyoshinda nayo mchana…

    Boxer umezunguuka nayo wee, usiku unaoga, unarudia boxer hiyo hiyo, mkiulizwa mnasema mwanaume unakuaje na boxer nyingi, je hicho sio kichaa? nyie ndio mnaumwa fungus kisha mkikutana na wadada mnawaambukiza. Mwanaume usafi, kua na boxer za kutosha and keep your closed parts clean and dry...
  18. M

    Yajue madola 5 yenye nguvu kama Marekani baadae yakaporomoka

    madola 5 ya kijeshi, yakiwa na maelezo ya mwaka yalipoanza kutawala kwa nguvu na mwaka yalipoporomoka: 1. Dola la Roma (Roman Empire) Mwanzo wa utawala wenye nguvu: 27 KK (chini ya Augustus Caesar) Kuporomoka: 476 BK (Dola la Roma ya Magharibi) Maelezo: Jeshi lake lilitawala Ulaya, Afrika...
  19. Ina maana Wikipedia nayo imekaataa uchaguzi na hakuna Rais Tanzania

    Who are you sasa kazi unayo nendeni wikipedia mkaone wasifu wake hatambuliki kuwa ni raisi 2025. Na wameshamsagia kunguni ya wasifu wake kwenye wikipedia.
  20. H

    Kero gani umewahi kukutana nayo katika ofisi za umma?🇹🇿

    Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa. Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…