nayo

Nayo is a village in Bhamo Township in Bhamo District in the Kachin State of north-eastern Burma.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Mhubiri 12:7 Nayo mavumbi kuirudia nchi kama yalivyokuwa, Nayo roho kumrudia Mungu aliyeitoa

    Naomba mwenye uelewa wa hilo funguo hapo juu atupe elimu
  2. Hismastersvoice

    Mnaotuuzia gesi ya kupikia kwenye mitungi kwanini mnatuuzia na mitungi wakati sisi hatuna matumizi nayo?

    Mimi ninahitaji gesi kwa ajili ya matumizi yangu, wewe unaniuzia gesi na mtungi ambao ni mali yako! Una jina lako na siwezi kuutumia nisipokupata wewe! Na hata nikiacha matumizi ya gesi yako eti mtungi unabaki kuwa wangu kwa jina lako! Hii ni dhuluma hanna tofauti na anayekuuzia leo king'amuzi...
  3. mkuuwakaya

    Kwanini Mahakama kuu imetoa hukumu juu kwa juu kwa kesi aliyokutwa nayo Mh. Lissu wakati kesi kama hiyo ya Ucho alifunguliwa Kisutu na kupata dhamana?

    Mh. Lissu baada ya kukamatwa alifunguliwa kesi 2 ya Uchochezi ambayo alipata dhamana na ya Uhaini. Uhaini ikaendelea. Uhaini imeonekana imeshindwa ila kuna uchochezi ambayo sawa na ile iliyopaki Kisutu. Sasa inakuwaje Mahakama kuu imalize mchezo juu kwa juu? Yaani baada ya mahakama kuu kumkuta...
  4. M

    Wajue maswahaba waliosimamia msimamo licha ya mateso waliokumbana nayo

    Katika historia ya Uislamu, kuna Maswahaba wengi walioteswa sana na makafiri wa Makka kwa sababu ya kusilimu kwao. Walipigwa, kuchomwa moto, kufungwa minyororo na kunyimwa chakula, lakini waliendelea kushikamana na imani yao. 1. Abu Fukayha (رضي الله عنه) Alikuwa mtumwa wa Safwan bin Umayyah...
  5. K

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho. Hukumu kwa wananchi kesi ya Lissu imekuwa wazi na watanzania wengi walikuwa wanaifuatilia. Kutokana na ushahidi dhaifu ulitolewa kwa Watanzania wengi Lissu hata kosa lolote la uhaini na ameonewa kukaa ndani kwa zaidi ya...
  6. Mlinzi Shujaa_

    MATUKIO HATARI ALIYOKABILIANA NAYO MLINZI SHUJAA

    Tarehe ( 30 / 12 / 2024 ) majira ya saa nne asubuhi katika eneo la majohe relini jijini dar es salaam tanzania, mlinzi shujaa alivamiwa na wauaji wawili ambao walikuwa na bajaji hawakuitaji chochote kutoka kwake, bali walishuka katika bajaji nakuanza kumshambulia na magongo makubwa ambayo...
  7. M

    Kama Kenya nayo imepoteza sifa ya safe haven, wanaharakati wa kisiasa Afrika Mashariki wakimbilie wapi ? Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC ?

    Kenya ilikuwa ikionekana kama safe haven, kimbilio la wale wanaharakati wa siasa waliotafuta uhuru na usalama nje ya nchi zao matukio yanayohusisha wanaharakati wa kisiasa, akiwemo Kizza Besigye wa Uganda, Maria Sarungi na Twaha Mwaipaya, kukamatwa yameibua hofu kubwa kuhusu usalama wa...
  8. A

    KERO Responded Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka

    Watu wa Mwanza bado tunateseka na suala la maji kwa 90% ya wakazi wa huku hatupati maji na ziwa lipo kwetu, waziri akija maji yanatoka, akiondoka maji hayapo hii ni haki kweli? Hadi hivi leo maji hatuna tunateseka sana wengine kazi zimesimama tumefunga ofisi zetu sababu ya maji, nipo maeneo ya...
  9. kilio

    NSSF wanatoa riba ya kiasi au asilimia ngapi wanaporudisha pesa yangu baada ya kukaa nayo?

    Wadau kama nimekaa miaka minne mradi umeisha NSSF yangu inasoma 24,000,000. Je NSSF inanilipa kiasi gan . wamekaa na fedha yangu mda wote wa miaka minne, je waniongezea kiasi gani
  10. MakinikiA

    Nategemea pia majengo ya zama.ni ya Zanzibar nayo yavunjwe kama kariakoo.

    Sina maelezo mengi zaidi ya haya hapa. Kuvunja majengo ya kale ni ishara ya kubomoa nguvu asili ya mizimu. Nilikatazwa kubomoa nyumba aliyojenga babu nikaonyeshwa shamba na kuambiwa chagua pa kujenga nyumba niitakayo........
  11. Mad Max

    Kwa Pesa gani Msanii Kumiliki G63 AMG? Wacha wakae nayo tu!

    Ushuru tu Mil 400+ na Bado ulifanyie customization liwe unique, plus CIF. Kwa muziki gani? Tupogo? Note: Picha ni za Mfano tu.
  12. Kaka yake shetani

    Biashara ya mabasi kama sio mbunge au waziri basi achana nayo.

    Kuna biashara zengine ukiziona kwa kuambiwa au kusikia bila kuingia unaweza kusema biashara ndio hii. Kwa jinsi ilivyo sasa hii biashara ya usafirishaji ilivyo kama sio mbunge au waziri,unaweza kujikuta umefirisika. Kwa nini naeleza ili japo wengi hizi biashara asilimia kubwa wanazani ni watu...
  13. TheGreatest Of AllTime

    Sijui kwa nini ila lucas mwashambwa akikaa kimya , ID ya haszu nayo inapotea🤨

    Coincedence? Or correlation?
  14. Manyanza

    Henry Kilewo: CHADEMA ya sasa sio ile iliyopita, hii achaneni nayo

    Kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambaye kwa sasa ni Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Henry Kilewo, amewataka wanaojiita watawala kuachana na madalali wa kisiasa wanaowadanganya kuwa wanaweza kukigawa chama hicho. Kupitia chapisho aliloliweka katika...
  15. N

    OMBI LANGU: Nikikaribia kufa mwaka wowote ule, ninaomba sana mnitelee bendera ya Tanzanaia nikae nayo pembeni yangu

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Msiniletee bendera ya CCM. Msiniletee bendera ya CHADEMA. Msiniletee bendera ya chama chochote kile cha kisiasa au ya nchi nyingine yoyote ambayo sio Tanzania.
  16. V

    Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  17. Yoda

    Karata pekee aliyo nayo Nchimbi ni kujiunga CHADEMA

    Nchimbi hana cha kupoteza tena wala fursa yoyote ndani ya CCM au serikali. Kilichobaki ni kwenda CHADEMA tu na anapaswa kupokelewa na ikiwezekana hata apewe fursa ya kugombea Urais ikiwa Lissu atahukumiwa adhabu ya kunyongwa mpaka kufa.
  18. aise

    Nahitaji hii mimea Kwa mwenye nayo Leo nahitaji

    Habari za weekend wakuu, nahitaji hii mimea mmoja ni Anubias Nana, na mwingine ni Pothos Kama unayo naomba tuwasiliane kujua bei na jinsi nitakavyoipata 👋
  19. Mohamed Said

    Vita Vya Iran na Marekani: Iran Ikipigwa Nuclear Israel Nayo Haitabakia Salama

    https://youtu.be/4YyvrbX5M2E?si=vnZtckww3BwohwpF
  20. Jannatul Firdaus

    Siri kubwa 2 zilizojificha nyuma ya maumivu ya mapenzi unayokutana nayo

    Watu wengi hukutana na maumivu ya mapenzi. Kila mmoja anakutana nayo kwa namna tofauti. Wapo ambao wanapenda wasipopendwa. Wengine husalitiwa wakiwa ndani ya uhusiano. Wengine huachwa baada ya kuwa pamoja kwa muda mrefu. Kuna watu ambao hawajawahi kabisa kuyafurahia mahusiano. Kila wanapoweka...
Back
Top Bottom