Natafuta mwekezaji kwa ajili ya ushirikiano wa kibiashara kwenye masoko ya kifedha (Crypto) kupitia mfumo wa "Quantitative Trading".
Kikwazo kikubwa cha uwekezaji mtandaoni ni usalama wa mtaji. Kuondoa hili, katika ubia huu, hutakabidhi mtaji wako kwangu. Usalama wako ni 100% kwa sababu mtaji...
Wakuu rejea kichwa cha habari hapo. Nina tafuta mtu aliye tayari tufanye utafiti wa kuchimba dhahabu kwenye shamba langu.
Jirani na shamba langu Kuna mgodi unaendelea, hivyo na Mimi naitaji kuanza kuanza utafiti.
Aliye tayari aje inbox tuwasiliane. Location ni kanda ya ziwa mkoa wa Mara.
Ndugu zangu kuhangaika hakuishi, mwenye connection ya mahali napoweza kupata gari nzuri kidogo ambayo ni ktk hali ya Used hapa Bongo.
Nataka nijilipue kwenye biashara hizi pasua kichwa za Daladala Ktk utafiti wangu wa swali naona kama Nissan Civilian au Mitsubishi Rosa itanifaa..
Tuwekane Sawa...
Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO
Nawasilisha
Wakuu! Nimekuwa si mdau mkubwa wq jamii forum ila nina uhakika humu kuna wadau muhimu na sahihi sana kwa ufikiaji lengo.
Ninatafuta nafasi, sapoti kutoka kwa mtu au wqtu au mazingira sahihi kwa ukuaji wa talanta yangu ya uchoraji . Nina uwezo mzuri wa kuchora katuni na ninatamani kujenga njia...
Ndugu zangu hope mko poa.... mwenzenu natafuta mchumba wa kike😀😀 hapo nimeona niweke sawa maana kuna Vijana wa hovyo humu.
Kama hapa yupo aje pm tuyajenge asante kwa kunisikiliza
Habari wapambanaji wenzangu,
Natumai mko salama.
Naomba ushauri na mawazo yenu ya kibiashara. Mimi ni Full Stack Developer mwenye uzoefu wa kufanya/kushiriki project tofauti tofauti ndani na nnje ya nnchi, ikiwemo,
Mfumo wa PQCS(Process Quality Control System)– Kenya (AVA & ISUZU), Pia custom...
Kwakweli ukiwa hujaoa bado hujakamilika unakuwa upo nusu, duniani kuna jinsia mbili kwa maksudi kabisa, na ili maisha yaende yalivyopaswa ni lazima mwanaume aungane na mwanamke wawe kitu kimoja. sote tumeumbwa ili kutengemeana, ni kama ilivyokua ngumu kuvaa kiatu mguu moja huku mwingine upo...
Habari wakuu! Nina shida na fundi mzuri wa auto electrical mwenye cheti kwa ngazi ya diploma sio lazima awe vizuri kwa upande wa practical, uzoefu ataupata kazini!!
Kama unamjua mtu wa namna hiyo au ni wewe mwenyewe unaweza Kuja dm au comment namba ya simu, nitakupigia
Salam Wana jukwaa.
Mimi ni mfanyabiashara. Natafuta machimbo ya nafaka Kanda ya ziwa na viunga vyake.
Nataka nipate nafaka kutoka kwa wakulima moja kwa moja au wafanyabiashara ambao Bei zao ziko chini sana
Nafaka ninazohitaji ni;
1 Karanga
2 Maharage njano
3 Dengu
4 Kunde, na
5 Njugu...
Habari wanajamii,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa early 30’s, Mkristo, ambaye kwa sasa sina mtoto na sijawahi kuwa kwenye ndoa. Nafanya kazi kama muajiriwa katika sekta binafsi.
Kwa ufupi kuhusu mimi:
Urefu: sentimita 185
Muonekano: Mwembamba, mweusi
Mtindo wa maisha: Baada ya majukumu ya siku...
Habari wanajamii,
Natafuta partner au mwekezaji kwa ajili ya kuanzisha biashara ya kuingiza na kusambaza three-wheelers (bajaj) pamoja na magari madogo ya biashara hapa Tanzania.
Kwa sasa tayari kuna mawasiliano na wazalishaji wa nje ya nchi na wameonyesha utayari wa kufanya mazungumzo ya...
Natafuta gari ya kufanyia taksi mtandao - maarufu Bolt. Uzoefu ni miaka mitano hapa Dar es Salaam.
Kwa mwenye gari anipigie kwa namba 0618163635 au WhatsApp 0652802379
Gari ni IST, Sienta, Passo, Ractis, Raum au Vitz
Hello JF
NAhitaji aina hizo za bati . Nataka kuezekea nyumba ya hidden roof. Naziona mara nyingi kwenye majengo ya zamani. Naona imara na hayapati kutu.
Anayefahamu nitapata wapi na bei zake pls msaada.. namba zangu 0625182788, WhatsApp, text, & normal calls.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.