naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chief Kumbyambya

    Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa hiki kisiwa cha HAWAII kiko wapi nahitaji nikaishi huko

    Mwanzoni nilikuwa na wazo la kutimkia huko MADAGASCAR, ila sasa nimebadili gia angani yaani ndege nimeipiga U-TURN. Maana naona kukaa bongo ni kama nimechoka maana madrama kila kona. Ukipanga chumba drama kibao, mtaani drama kibao, kwenye migahawa ya chakula drama kibao, siasa drama kibao...
  2. Think2

    Naomba msaidie huyu kijana

    Dogo ameomba kusomea stashahada ya mionzi mwezi June alifanikiwa kuchaguliwa Mbeya college . jana ameingia cas amekuta vitu tofauti hakuna tena admission status kuna hio taarifa Sasa ameshindwa kuelewa inakuaje admission status haipo tena Hapo shida itakuwa wapi?
  3. D

    Naomba radhi wote niliowakwaza

    1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏 2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70 3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera. Siijui kesho, Wala wahusika wa kesho......natubu. Siijui Wala kuikumbuka faida yoyote ya matusi, ujinga tu maana...
  4. Idrisa1510

    Mtoto alichelewa kulia baada ya kuzaliwa na anapitia changamoto kazaa, naomba ushauri wa kitabibu

    Mimi si mtaalam wa masuala ya afya, frstborn wangu amepatwa na changamoto na mimi ni mzazi mpya (baba mpya). Tarehe 11 mwezi huu wa 9 ndio alizaliwa. Njia ya uzazi ilikua ni ya kawaida japo iliambatana na changamoto nyingi kutokana na mke wangu ndio alikua napata uzazi kwa mara ya kwanza...
  5. BIOTOXINS

    Baadhi ya viongozi CCM, tunzeni akiba ya maneno mnapokuwa mnazungumza

    Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia. Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana. Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi hiyo kwa maslahi yako binafsi. Tambua una ndugu, familia na jamaa. Nawakumbusha, walikuwepo na...
  6. Crocodiletooth

    Jumapili ya leo naomba nitoe elimu kuntu, adimu sana huwezi ipata popote pale kwa Dada zetu na wamama watarajiwa.

    Mwanamke anapokuwa katika hedhi, anapaswa kuepuka kuwakasirikia watoto wake, vinginevyo watakuwa wakaidi sana. Mwanamke anayetokwa na damu hapaswi kumpiga mtoto wake, vinginevyo mtoto atakuwa maskini sana maishani, hata kuolewa itakuwa vigumu sana, na watakuwa wapumbavu sana shuleni...
  7. Beira Boy

    Naomba kujua wimbo huu unaitwaje

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
  8. N

    Naomba anayemjua Dr mzuri wa ENT Dsm

    Naomba kujuzwa Dr mzuri wa Koo pua na masikio Kuna kijana wangu anatakiwa kufanyiwa opereresheni ya nyama za pua hapa dar. Natanguliza shukrani
  9. Spliffcharm

    Tetesi: Mkopo wa 10% Halmashauri Kigamboni: Mke wangu alipangiwa 9.6M lakini mwisho anaambiwa atapewa 3M – Je, hii ni kawaida?

    Habari wakuu, Naomba ushauri kutoka kwa wenye experience na mikopo ya 10% inayotolewa na Halmashauri, hasa wale waliowahi kupitia mchakato huu. Wife ni mmoja wa wanakikundi cha watu watano, na aliomba mkopo kupitia Halmashauri ya Kigamboni. Kwa upande wake, aliomba kiasi cha Tsh 9.6 milioni...
  10. Crocodiletooth

    Naomba kujuzwa hatari na faida zihusuzo uraia pacha

    Kwa wenye uelewa mpana,kuhusiana na suala hili, Nitashukuru kueleweshwa suala hili kwa kina, Kwa nini serekali yetu inaliogopa sana suala hili.
  11. M

    Misingi 5 ya ukulima wa Matikiti Maji

    Kama umekua ukihangaika kuanzisha kilimo cha tikiti maji lakini hufahamu pakuanzia, basi makala hii ni mahususi sana kwako. Nasema hivo, kwa kua nimekua nikilima matikiti kwa muda mrefu tangu 2020 na hapa nitatiririka na misingi 5 ambayo itakuasaidia wewe kuanzisha mradi wa kilimo cha tikiti...
  12. 888I

    Naomba kura kwenye SAMIA KALAMU AWARDS 2026

    Wapendwa, https://samiaawards.tz/mshiriki/260013 Naomba support yenu kwa kunipigia kura kwenye Tuzo za Samia Kalamu Awards,katika kipengele Cha Habari za MAZINGIRA,pia unaweza kusoma habari hizo kupitia link hiyo chini ya neno Piga kura kuna Kazi zilizowasilishwa. Piga kura kwa Isack Dickson...
  13. Uhovyoni

    Punyeto itanimaliza wakuu, Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu

    Punyeto itanimaliza wakuu Kwa mwenye uzoefu na alifanikiwa kuacha naomba ushauri wake natamani sana kuacha wakuu
  14. Mkuna mgongo

    Naomba wimbo huu tafadhali

    Sultan king ft Mr Blue- Unanitosha Natanguliza shukurani zangu
  15. Alexido jz instagram

    LAMINE YAMAL, NAOMBA msikilize walau Ally Nipishe na Fraser, kuhusu wanawake utajifunza kitu, anachomaanisha baba yako

    Mawazo kina yametawala kichwa changu, ila uwezo Sina kulitawala jicho langu, Hii ni baadhi ya mistari kutoka Kwa ally nipishe kijana alie wika sana enzi hizo, huyu dogo alipata masala, Iko hivi, baada ya dogo kuwika sana, alipata limama inasemekana ni la kizanzibari, huyo mama akaingia kwenye...
  16. A

    KERO Kero ya kuunganishiwa Umeme REA Igonyamu, Mbeya DC

    Naomba kuwasilisha kero yangu inayohusu kuunganishwa kwa umeme wa REA Kijijini kwetu IGONYAMU KATA YA IWINDI MBEYA DC. Baada ya mda mrefu wa kusubiri kuunganishiwa umeme kijijini kwetu na wanakijiji kujitolea kuchimba mashimo na kubeba na kusimika nguzo kwa umbali mrefu kwa nguvu ya wanakijiji...
  17. M

    Mnaoshi na wawazi wenu wazee naomba msada wa mawazo

    Ipo hivi , mama yangu ni mwalimu mstafu, Mimi ndiye kijana wake wa mwisho, mama yangu ni mgonjwa wa Bp, ni mwaka wa tatu tangia amegundulika kuwa na Blood pressure Ukizingatia umri wake na Hali yake ya kiafya vinanipa wakati mgumu sana, mazingira yalivyo Mimi ni MTU wake wa karibu zaidi,kwa...
  18. Beira Boy

    Msaada naomba kujua je, mashahidi walioitwa na Tundu Lissu akina Samia, Majaliwa, Mpango wanaenda kutoka ushahidi upi mahakamani?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kesi bado Iko mahakaman na big brain tundulisu kaita mashahidi wake mahakaman Mashahidi hao ni Samia, mpango, majaliwa na wakuu wa Majeshi Sasa basi naomba kujua hawa mashahidi wanaenda kutoa ushahidi upi mahakaman? Kutetea au...
  19. DR HAYA LAND

    Je Kuna sababu zozote za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta kesi ya lissu mpaka Sasa ?.

    Uchaguzi umepita tayari , je kama uchaguzi umepita na Maisha yanaendelea , Kuna sababu zipi za msingi ambazo zinaifanya serikali kutoifuta Kesi ya Lissu ?.
Back
Top Bottom