naomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Millifire69

    NAOMBA MSAADA: WhatsApp Cloud API (Access Token, Phone Number ID na App Secret)

    Habari wakuu, Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu wa WhatsApp Cloud API na Meta Developers. Nimejaribu mara nyingi ku-set up WhatsApp Cloud API kwa matumizi yangu binafsi, lakini nimekwama kupata Access Token, Phone Number ID na App Secret kwa sababu Meta ime-restrict account yangu. Niliomba...
  2. Shaiba

    Naomba ushauri kuhusu hii ndoto

    Nimeota zaidi ya Mala tano kwamba nimekufa,hii ndoto inanipa mawazo sana naomba ushauri wenu,je ina maana gani?@mshana
  3. AXIOM APEX VERBOSE

    Wanawake, acheni kuwa Ombaomba kwenye Mahusiano

    Na ninaomba niwe very serious katika hii kitu. Kwanza kabisa nitaelezea kiufupi sana ila najua ujumbe utafika. Wewe mwanamke kuingia kweenye mahusiano na mwanaume sio kibari cha kuanza kua Ombaomba. Nitarudia wewe mwanamke kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi na mwanaume mliekutana popote...
  4. VENKO

    Naomba ushauri kuhusu kutoa sadaka

    Habari za wakati wanaJF watukufu. Mimi ni kijana umri 24 kamili. Sijaoa wala sina lengo la kuoa kwa sasa kutokana na sababu binafsi, kiufupi ni kwamba; sina majukumu ya kijamji. Naomba ushauri kwenu wahenga, Yapata miezi miwili sasa tangu nimefungua biashara yangu kijiji flani apa, ninamshukuru...
  5. A

    KERO Nimetengeneza samani katika Zahanati ya Seseko na Ihapa, miaka mitatu sasa sijalipwa fedha zangu

    Mimi ni fundi seremala kutoka Shinyanga Mjini. Mnamo tarehe 17 Agosti 2023, nilipewa kazi na Mganga Mkuu wa Wilaya (DMO) wa Shinyanga Mjini ya kutengeneza samani, zikiwemo viti, benchi, meza na rafu za dawa katika zahanati za Seseko na Ihapa. Thamani ya kazi hiyo ilikuwa jumla ya Sh8,720,000...
  6. Gunner11

    Naomba ukaribisho

    You can also call me king of hearts ♥️ Nina furaha kujiunga rasmi katika hili jukwaa, baada ya kuwa msomaji kwa muda mrefu. Ni matumaini yangu uamuzi huu utakuwa na manufaa Asanteni 🙏
  7. M

    Mara: Wakili Keneth Roja Nkiko Mbaroni kwa mauaji ya mpenzi wake kisa wivu wa mapenzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Wakili Keneth Roja Nkiko, mwenye umri wa miaka 28 na mkazi wa Mwigobero, kwa tuhuma za kumuua Magreth Hamisi Richard, mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Mukendo, Manispaa ya Musoma, akidaiwa kutenda tukio hilo kutokana na wivu wa kimapenzi. Kwa mujibu...
  8. min -me

    Sifikiri kama ni mara ya kwanza

    Toka nimejiunga jf 2012 kumekua na maoni ambayo binafsi na yachukulia kama utani . Mara jf hakuna pisi , mara jf I'd zote madume jichanganye ukutane na mbupu😆, mara hakuna wanawake pisi atapatikana jf kwa nature ya mtando wenyewe unavyotaka watu wenye akili 🤔 Mara jf kuna majamaa ni...
  9. O

    NMB, NAOMBA MNIPE MAELEZO NA SULUHISHO LA TATIZO HILI

    Nimekuwa nikitumia NMB Mkononi kwenye simu yangu ya zamani. Kwa bahati mbaya, simu hiyo iliharibika. Baada ya kupata simu mpya, nime-install NMB Mkononi na kujaribu kuingia kwenye akaunti yangu, lakini nimekuwa nikishindwa. Nimekuwa nikijaribu kwa takribani miezi mitatu, lakini bado...
  10. S

    Nina laki 9 naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar

    Mim nipo Banana ,hapa Dar Ni kijana wa miaka 24 nipo na 900k naomba wazo la biashara popote ndani ya Dar ilimradi niwe napata kwa siku angalau 10,000/= na zaid . Mwenye wazo naomba
  11. cold water

    Nawatafuta sana ndugu zangu

    Naomba mawasiliano ya watajwa hapo kwenye majina yaliyoorodheshwa,wanatokea mkoa wa Ruvuma Songea....mimi ni rafiki yao lakini kama ndugu yao pia... vijiji ndio ivyo tajwa ,kama kuna ndugu yako hapa naomba mawasiliano tafadhari sana,na kama utahitaji kujua kwanini nawatafuta naomba tuwasiliane...
  12. Mkalukungone Mwamba

    Dudu Baya: Dimpoz naomba unisamehe, “nilitumia jina lako ili ujumbe ufike dunia nzima, Endelea kulinda mgongo wako

    Msanii wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini maarufu kama Dudu Baya, leo Septemba 29, 2026 amemuomba radhi Msanii mwenzake, Omary Nyembo “Ommy Dimpoz”, kutokana na kauli aliyoitoa dhidi yake. Akizungumza kupitia ujumbe aliouchapisha mtandaoni, Dudu Baya amesema, “nilitumia jina la Ommy Dimpoz ili...
  13. Desierto

    Naomba kujua kuhusu matibabu ya macho na gharama zake

    Mke wangu ana matatizo ya mcho ya kuona mbali aliwahi kuugua macho akapona kama miaka 8 imepita. Sasa nimejaribu kufatilia kidogo nikasikia kitu kinaitwa mtoto wa jicho na matibabu yake ni kubadilishiwa lensi tu. Basi shida yangu nataka kujua makadirio ya matibabu yanaweza kufikia kiasi gani...
  14. Kachina95

    NAOMBA KUJUA UWEPO WA MSAJIRI WA VYAMA VYA SIASA TANZANIA.

    Jamani naomba kujua kama jaji Mtungi na msaidizi wake Sisty wapo! Kuna chama cha siasa kinamiliki majeshi na vyombo vya usalama. Nadhani hii ni kinyume na sheria ya vyama vya siasa na natumaini hatua kali sana za kukifuta chama hicho zitachukuliwa
  15. K

    Naomba Mnielekeze Ku-hide some Members Nisione POST na COMMENTS Zao.

    Wakuu Habari za Uzima, Binafsi Napenda Kusoma Threads Nyingiii humu JF Na Ku-Like, Kuna Watu wanavyo'Coment Huwa Nakaa Najifikiria weeh Like ni kama Mashetani., Mimi kama Binaadamu Ninayependa UTU Nisingependa Kuendelea Kuziona Posts Na Comments Zao, Hivyo Naomba Mnielekeze Ku-hide...
  16. N

    Ofisi ya DPP, Nassoro Katuga na mawakili wote wa serikali watanzania tunaomba ufafanuzi wenu maana ya neno 'uttering' kwenye tuhuma za kijinai.

    Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai. Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
  17. H

    Naomba kujua gharama za hati upande wa Premium, ni asilimia ngapi?

    Habari wadau, Naomba kujua gharama za kulipia hati upande wa Premium ni 2.5% au 25% ya gharama ya kiwanja? Maana bili niliyopewa sielewi.
  18. Kaka yake shetani

    Naomba kuuliza hivi maridhiano ndio wana aminisha dunia yamefanyika na kupata makamo wa raisi kule znz ndio tanganyika.

    Turudi nyuma kidogo kabla ya haya. Samia alikwenda znz kufanya maridhiano na kuhutubia huko znz kuwa CCM na ACT wamekubariana na wengine. Je hayo maridhiano kama kweli yalikuwa ya znz au tanganyika maana znz hakukuwa na ya October 29 wala viongozi wapinzani wao znz kupata mateso sababu sio...
  19. A

    HOJA Gari likiibwa na baadaye kuonekana dereva alipigwa faini akiendesha, inaweza kusaidia kulipata?

    Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo? Kwa kuwa tukio la...
  20. M

    Naomba kazi au mchongo wowote ili niweze kujihudumia Mimi na wanaonitegemea

    Habari za wakati wakubwa kwa wadogo! Ni Furaha yangu kuwa hapa kwa muda na wakati kama huu kwa leo la kuwaomba kazi au mchongo wowote utakaonisaidia. Mimi ni kijana wa miaka 27 na nipo Dar es salaam kwa sasa, Nina skills zifuatazo: 1. Ni Mwalimu wa mathematics na chemistry kwa Taaluma 2. Ni...
Back
Top Bottom