nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tukisema polisi na Tiss nyie ndio mnasimamia CCM sasa mnaweza kubisha .Maana kesi zenu mlalamikaji ni nani ?.

    Kwa sasa ukiwa mpinzani unaweza shangaa umefunguliwa kesi kuwa wewe ni bra bra bra. Sasa aliyefungua kesi hiyo ni nani?. Ina maana sasa chama cha CCM kimejivisha kazi yenu kiujumla.
  2. JamiiForums Tanzania Kutamani Dunia ifike mwisho, Nani mwingine aliwahi pitia hali hii?

    Habari, za muda huu ndugu zangu wana JF. Kwenye maisha, kuna mambo mengi tunapitia mazuri na mabaya. Naamini sio wote tumewahi pitia mambo magumu kiasi cha kutamani kufa au Dunia ifike mwisho kulingana na sittuation ya wakati huo. Binafsi nimewahi pitia vipindi viwili vingumu sana kwenye maisha...
  3. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

    Hamjambo! Miezi ya hivi karibuni kumekuwa na kelele na kauli nyingi zenye mrengo wa kuuvunja muungano. Nani yupo nyuma ya vuguvugu hilo? Kina nani wanatarajiwa kuwa wanufaika baada ya muungano kuvunjika? Nafahamu kuwa wahusika wakuu watakuwa miongoni mwa Wanasiasa hasa ambao majina yao hayapo...
  4. JamiiForums Tanzania Nani kafunika kati ya Charlie Puth na Civilian-Coin kwenye See you again remix

    https://youtu.be/mh0br-fqA04?si=vElRUzw7QfXSoOUc
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 20 plus unamuonesha nani? na ili iweje? ujinga ujinga tu

    Kuna jambo ambalo binafsi huwa linanikera sana; kuona mtu amevaa nguo lakini nguo za ndani zinaonekana wazi. Kwa upande wa wanawake, wengine huvaa nguo nyepesi au zinazobana kiasi kwamba chupi inaonekana kwa urahisi, naye anaona yupo sawa tu, na unakuta anakaa kwao anatoka mpaka ndugu zake...
  6. JamiiForums Tanzania Vita Vya Iran na Marekani: Nani Kasalimu Amri Iran au Marekani?

    "Naamka napita mitandaoni kwanza kabisa habari muhimu naikuta Aljazira wanatangaza wanasema Marekani na Irani wamekubaliana kumaliza vita. Basi mimi kwanza nikaitizama kile cha habari... Kwani vita hivi alianza nani? Na nani kila siku alikuwa anasema atampigia nani?. Ukweli ni kuwa Marekani na...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi siku nchi yetu ikifikia steji ya mwisho kama Zimbabwe. CCM wataongea nini na kumlaumu nani

    Tokea kupata uhuru ni CCM kipo madarakani. Taifa mumeligeuza mali ya chama.Siku nchi imekuwa corrupt ni nani mtamlaumu na mtawaeleza ninu wananchi.
  8. JamiiForums Tanzania Waitara: Anayesema kuna Yuda kwenye Serikali, amtaje, Simai humu ndani, atoke, hatuwezi kuonekana Watu wa ovyo... akome, kabisa!

    Mbunge wa Tarime Vijini, Mwita Waitara, amependekeza Mbunge wa Baraza la Uwakilishi Zanzibar, Mohamed Simai Said aondolewe Bungeni, huku akimtaka amtaje mtu aliyemtuhumu kuwa ni 'yuda'. Soma: Mbunge Simai: Kuna Yuda Msaliti ndani ya Serikali hili anatafuta huruma kanisani
  9. JamiiForums Tanzania Nani alianzisha jina la "Daddy" kwa Viongozi wa Kiroho?

    Naona imekuwa trend siku hizi kwa Nabii, Mtume, Mchungaji haswa hawa kwenye makanisa binafsi ya kiroho kuitwaa Daddy! Dadii una mgeni... Dadii tukuletee chai... Dadii Mzee Fulani amekuja tayari... Masanja anaitwa daddy Myamba anaitwa daddy Mwamposa anaitwa daddy Malisa anaitwa daddy Yule wa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi vita ya Iran na USA/Israel kashinda nani?

    Wamesaini makubaliano, ina maana sasa vita imeisha. Kashinda nani? Au nako kuna DRAW MATCH kama za kwenye mpira?
  11. JamiiForums Tanzania Kama wanaume na wanawake watachukiana, nani atafaidika?

    siku hizi kila ukiingia mtandaoni unakutana na maudhui yanayowagawa wanaume na wanawake. Huku wanaambiwa wasioe, kule wanaambiwa wasiolewe. Huku wanaume wanatajwa kuwa shida, kule wanawake wanatajwa kuwa shida. Kila siku ni vita. Ukienda kwenye comments ni matusi na lawama tu. Wengine...
  12. JamiiForums Tanzania Oviedo iko wapi? Mmiliki wake ni nani?

    Kuna hii kama resort nzuri sana inaitwa Oviedo. Nimeona kuna landscaping ya maana, boti, sijui farasi nk. Iko wapi hii? Nimeona mmiliki wake, Dr Ibrahim Chenza(Phd)ana mishe gani? Nataka kujifunza.
  13. JamiiForums Tanzania Kumbe mimi na wewe hatupo?

    Kwamba nikijaribu kujitafta mimi halisi sipo? Najua utabisha, but honestly hakuna self! Yaani you don't exist, wewe ni kama thought, wazo flani tu ambao liko implanted kama jina, jinsia, baba, mama, mtoto, mjukuu nk Tukianza na physical body, hii ni kama vessel au chombo kinacho beba uhai...
  14. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya mpango wa sakata la CWT??

    Tarehe 25-05-2026 Viongozi waandamizi(wakuu) wa chama cha walimu Tanzania yaan kuanzia Raisi wa chama,katibu mkuu pamoja na muweka hazina Taifa ikiwa ni sambamba na viongozi waliopita (Rais na katibu mkuu wake) walifikishwa mahakaman na kusomewa mashtaka ya uhujumu uchumu na matumizi mabaya ya...
  15. JamiiForums Tanzania Hatukuyazoea maisha ya Polisi na Wanajeshi kutapakaa mitaani, Nani ametufikisha hapa?

    Watanganyika hatukuzoea maisha haya ya askari polisi na wanajeshi kutapakaa mtaani saa 24 wakishinda kwenye vituo vya mwendokasi na makutano ya Barabara, wakiwa na mitutu ya Bunduki pamoja na magari ya kivita shida kubwa nini hasa? Tanganyika tumegeuka Somalia au Congo DRC pamoja na nchi...
  16. JamiiForums Tanzania Je, mentor wako ni nani?

    Nani mtu wako wa kwanza kumcheki pale unapotaka kufanya maamuzi ya jambo Fulani mathalani masiala ya kifedha,kazi,mahusiano n.k Yani likitokea Jambo tu lazima umcheki ni nani huyo?
  17. JamiiForums Tanzania Je, Unamwona Yesu Kama Nani Kwako?

    Mk 8:27 SUV [27] Akatoka Yesu na wanafunzi wake, wakaenda kwenye vijiji vya Kaisaria-Filipi; na njiani akawauliza wanafunzi wake, akasema, Watu huninena mimi kuwa ni nani? Swali hili waliloulizwa wanafunzi linatuhusu mimi na wewe leo, kwa sababu tunaweza tukawa tunasema tumeokoka ila tukawa...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Malecela: Hili la maridhiano sijalielewa

    Waziri Mkuu mstaafu, John Samuel Malecela amesema kwa muktadha wa kisiasa hajaelewa falsafa ya maridhiano ina maana gani na kwa hali ya sasa inapaswa kuwa kati ya pande zipi. Ameyasema hayo Juni 1, 2026 katika kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa na kituo cha televisheni cha ITV.
  19. JamiiForums Tanzania Mizigo yako unampa nani?

    MZIGO MZITO UNAMPA MPAGAZI, JE WA NDANI UNAMPA NANI? mzigo mzito mpe Mnyamwezi, Kwa sababu ana uwezo wa nguvu za mwili. Mzigo wa akili hakuna wa kukubebea Na huo ndio mzigo unaochosha kuliko anaoubeba Mnyamwezi. Huu hauonekani… lakini unakula nguvu kila sekunde. Chuki. Maumivu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa

    Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa. Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende. Watu hawa wana tofauti nyingi sana, nawaomba ndugu waislam waache kumlinganisha Yesu na lssa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…