nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. mcTobby

    JamiiForums Hili pambano nani anaweza kupoteza?

    pambano la kutisha chini ya maji. 🌊 Honey badger anajulikana kwa ujasiri wake wa ajabu—mnyama ambaye ni vigumu kumtisha hata anapokabiliana na hatari kubwa. Lakini safari hii, anakutana na adui katika mazingira ambayo si yake. Chini ya maji, kila kitu kinabadilika. Upande mmoja kuna mnyama...
  2. J

    JamiiForums KERO Goba Lastanza hatuna maji tunaelekea mwezi wa pili sasa. Nani ananufaika na hali hii?

    Mimi ni mkazi wa Goba Lastanza. Tunaelekea kutimiza mwezi wa pili sasa bila kupata huduma ya maji, hali ambayo imetulazimu kununua maji kutoka kwenye magari. Tatizo hili si geni na limekuwa likijitokeza mara kwa mara. DAWASA, Serikali za Mitaa, Mbunge na uongozi wa mkoa wanafanya nini...
  3. F

    JamiiForums Kati ya wanawake na wanaume nani viumbe hatari duniani?

    Wanaume wamekuwa wakiongoza dunia kwa miongo mingi. Walianzisha mfumo dume Mwanaume humpa mimba mwanamke na azaapo, yeye huwamilki wote wawili. Wanaume wengi japo si wote, wajinga na wabinafsi hulaumu wanawake kwa kila kitu. Wanaume ni wengi kwenye mambo ya kivita kama majeshi. Kwa kuzingatia...
  4. Gunner11

    JamiiForums Ego: Kikwazo Namba Moja cha Maendeleo

    Katika kukua kwangu nimekutana na idadi ndogo sana ya watu wenye less ego. Watu wanalinda kujiona hawafai sana, to the extent wako tayari kuku manipulate na kuku gaslight ili usipige hatua. Hadi wazazi, wako radhi urudi mistakes zao kwa kukuacha uwe less wakati huenda wanauwezo wa kukupa...
  5. Keynez

    JamiiForums Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Kipimo cha ujinga nani anacho?

    UCHAWA ni kusifia Ujinga na kuukataa ukweli,nani mwenye kipimo cha ujinga?
  7. Boss la DP World

    JamiiForums Wimbo wa Sea ulioimbwa na Babu Sea Ulimlenga nani?

    Huu wimbo hauchujagi, mzee aliuimba kwa hisia sana, inaelekea huyo sea alikuwa mtundu sana. Je, Sea ndiyo jina la mhusika kweli au alikuwa kamlenga manzi mwingine, je ni nani huyo aliyesababisha tupate utunzi huu matata kabisa? Siamini kama wimbo huu aliutunga tunga tu, ni lazima alipata...
  8. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Dudu baya ni nani kwenye hili taifa; Naagiza akamatwe mara moja

    Hivi huyu ngiri mwenye mandevu kwanini anadekezwa sana kwenye hii nchi? Anadekezwa kama nani? Ana umuhimu gani? Hii ni nchi inayoongozwa na sheria sio Ardhi ya Mbambadu. Hata vile nilisikia ati Waziri Gwajima anamsifia kwa kutokomeza ushoga? Kwanza nani alisema ushoga unaangamizwa kwa...
  9. A

    JamiiForums HOJA Nani anampatia Mwaipopo mshiko wa kuwagawia wanahabari kwenye Press Conference zake?

    Nina jamaa yangu ambaye mdogo wake ni Mwandishi wa Habari katika chombo cha habari cha mtandaoni (Online TV), anasema kila kunapokuwa na Press Conference ya Mwaipopo, lazima wanahabari wapate hela. Hata kama waandishi ni zaidi ya 30, kila mmoja anachukua chake kisichopungua Sh. 50,000. Pia...
  10. Idugunde

    JamiiForums Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  11. Gunner11

    JamiiForums Nisaidieni Kurudisha Nywele Zilizopotea!

    Nimekuwa nikipata hair loss kipindi cha miaka ya hivi karibuni! Nashangaa hili kwa sababu katk ukoo wetu hakuna mwenye uwalaza. Hii husababishwa na nini, na ni supplements gani nitumie kurudisha nywele? Je, kuna natural remedies (tiba au vyakula vya asili yenye kusaidia kurudisha nywele...
  12. M

    JamiiForums Kesi Imeshakuwa Ngumu: Jezi ya Taifa Msuluhishi Nani???

    Hii meza ambayo Boss kubwa wa Serikali Sekta ya Michezo aliyoitikisa Ina vinywaji vya gharama sana. Unaweza ikamgharimu, yasije yakamkuta kama yaliyomkuta Nape na Kamati yake ya Uchunguzi kuhusu Mawingu FM Kilichomkuta Nape aliishia kutumbuliwa na report ya kamati haikusomwa. Wanasema Dunia...
  13. F

    JamiiForums Wizi wa dini, kwanini mapadre na wachungaji huwa hawatoi sadaka na nani huzila?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Kwanini Mungu ambaye haonekani wala hana uhitaji asanye sadaka? Tuzinduke. Nawasilisha. Kama wahusika hawaibi wala kula sadaka, huu utajiri wanaupata wapi na lini? Kwanini wanapenda sana kuweka matajiri hata wanaopingana na itikadi zao mbele? Kwanini wengi wamo...
  14. Kazanazo

    JamiiForums Hivi kati ya mfanyabiashara na afisa biashara nani ni boss

    Nauliza ili nitoe ujinga, kati ya mfanyabiashara na afisa biashara nani ni boss kwa mwingine?
  15. H

    JamiiForums Ushauri kwa Rais: Epuka Doa Jipya

    Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine. Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake. Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho. Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae...
  16. Titicomb

    JamiiForums Kiongozi wa Simba aliye mleta Doumbia sijui alikuwa anamkomoa nani?

    Huu si uhujumu uchumi au uhujumu timu jamani. Angalieni wenyewe. https://youtube.com/shorts/GbyyrFPBhrs?si=kPuSA8DDXrH5NXIw
  17. O

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Nani Anagrab Nani? Gachagua Amtuhumu Rais William Ruto kwa Muthaiga Golf Club huku KFS Ikisema Club Imeingia Karura Forest

    Former Deputy President Rigathi Gachagua amemshutumu Rais William Ruto kwa kile anachodai ni kutumia Kenya Forest Service (KFS) kuchukua sehemu ya Muthaiga Golf Club. Gachagua alisema members wa club walimtafuta baada ya KFS officers kuingia kwenye Holes 2 hadi 9, na akaeleza hatua hiyo kama...
  18. Q

    JamiiForums Swali kwa IGP, nani aliyeruhusu askari polisi kuingia mitaani na silaha za kivita

    Swali la pili. Nani alikupa ruhusa ya kutangaza hali ya hatari. Tanzania, mtu mwenye mamlaka ya kutangaza hali ya hatari ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mamlaka haya yamefafanuliwa kisheria chini ya Ibara ya 32 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Mambo ni...
  19. the ostrich eggs

    JamiiForums Nani kununua kesi ya Uhaini ya TAL

    Nawaza tu ni kama kesi inalipa ile inaweza pata mnunuzi..
  20. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Mkutano wa Lema Na Waandishi wa Habari umezuiwa , Nani Kauzuia?

    Mjumbe wa Kamati Kuu Cdm Godbless Lema alitangaza leo atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari Hotel X na Kuwaalika Waandishi lakini Leo Alfajiri Hoteli Maarufu anaoishi Godii yalionekana magari 4 yenye ulinzi mkali yenye Namba za usajili T.... ADD , Lingine ni Customerzed LC 200 ( Amo.. Vehcle...
Back
Top Bottom