nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ComM (born 17 November 1986), commonly known as Nani (Portuguese pronunciation: [naˈni]), is a Portuguese professional footballer who plays as a winger and captain for Major League Soccer side Orlando City SC. He represented Portugal in international football, and has played over 100 times for the senior national team.
Nani was born in Amadora, Portugal, and is of Cape Verdean descent. He began his football career playing for local side Real Massamá. At the age of nine, he began training with Sporting CP and S.L. Benfica on alternate days, eventually joining Sporting's youth squad after they offered him pre-season training.Nani made his professional debut with the club in 2005 and won the Taça de Portugal during his second season with them. Nani was named the SJPF Young Player of the Month for May 2007 and his performances with Sporting culminated into a move to English club Manchester United in July 2007 for a fee of €25 million.Nani won the Community Shield on his competitive debut at Manchester United and added a number of trophies, including the Premier League and Champions League during his debut season at the club. He established himself as first-choice winger at United and won a further three Premier League titles, the Football League Cup, one FIFA Club World Cup, and three Community Shield titles. Individually, Nani was included in the Professional Footballers' Association (PFA) Premier League Team of the Year on one occasion and was a nominee for the PFA Young Player of the Year in 2011. Following a loan back to Sporting, in which he won the Taça de Portugal, he was signed for £4.25 million by Fenerbahçe in July 2015, and a year later he signed for Valencia. He rejoined Sporting CP in July 2018.
Nani is also a Portugal international. After first playing at under-21 level, he made his debut for the senior Portugal team in September 2006 in a friendly match against Denmark and scored his first goal during the 4–2 defeat in Copenhagen. Nani has represented his country at four major tournaments, including three European Championships: he took part at the 2008, 2012 and 2016 European Championships, reaching the semi-finals of Euro 2012, and winning Euro 2016; he also participated at the 2014 FIFA World Cup with Portugal. Since his debut, he has made over 100 international appearances and scored 24 goals.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums TAIFA LINAPOANZA KUOGOPA;RAIS ANAJUA NINI ,BARAZARA MAWAZIRI LINASHAULI NINI NA BARAZARA LA USALAMA LA TAIFA LINALINDA NANI?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo maswali huwa muhimu kuliko majibu ya haraka. Kuna wakati wananchi hulazimika kutafakari si kwa sababu hawana imani na nchi yao, bali kwa sababu wanataka kuelewa kinachoendelea ndani ya mfumo wanaoutegemea kuwalinda. Leo, swali kubwa si kuhusu nani...
  2. fexcash

    JamiiForums Kizazi kitakachoikomboa Tanganyika

    UKOMBOZI WA TANGANYIKA UTAFANYWA NA NANI? Taifa la Tanganyika linapitia kipindi kigumu kinachohusisha changamoto za ukandamizaji, uporaji wa haki za wananchi na unyonyaji wa rasilimali za taifa. Hoja na maneno mengi yamekuwa yakizungumzwa, lakini bado hakuna hatua madhubuti za kutosha...
  3. D

    JamiiForums Nani mwingine amegundua hizi picha za wanafunzi zinasambazwa kimkakati sana?!!!!

    Wasomi (PhD holders) Wana uwezo na nguvu nyingi sana za kimkakati, hilo sio la kupingika. Kwa hasira walizonazo dhidi yake, haishangazi kuona mkakati flani wa kumdhihaki; kama sio yeye basi hata jamii yake. Kila baada ya clip, soma comments utaona kitu......ni mkakati kabambe kabisa. Tunaishi...
  4. Jack Daniel

    JamiiForums Nchi yetu inahitaji Mabadiliko kweli, lakini Nani wakuleta hayo Mabadiliko?

    Nawasalimia wanabodi. Inatia hasira, Inakera, Yaani hakuna watu nawachukia kama Wanaharakati uchwara wa hii nchi,hakuna watu nawachukia kama hawa. Mwanzo nilikuwa nawaona ni watu wa maana,lakini kwasasa nimewapuuza mpaka basi ni wajinga na ni hatari Kwa usalama wa nchi. Wengi wapo abroad...
  5. mdogo wenu wamwisho

    JamiiForums NANI ATAMFUNGIA PAKA KENGELE? 🔔

    Kuna wakati katika uongozi ambapo kiongozi wa juu anakuwa wa kuogopwa kiasi kwamba hata wale wanaoyaona makosa yanayofanyika wanachagua kunyamaza. Si kwa sababu hawayaoni, bali kwa sababu wana hofu ya kupoteza nafasi zao, vyeo vyao na ugali wao. Matokeo yake, kila mtu anajua kinachoendelea...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Kupostiana status huu ushamba nani aliuleta? Nini objective yake?

    Mambo ya kupostiana nayachukulia kama kuchapisha taarifa binafsi na kwenda kuzibandika kwenye miti ya mtaani kwenu. Yaani ili kuonyesha mkeo unampenda sana basi unaandika tangazo I love you my wife, unaenda kubandika kwenye kuta zote za kijiji na mbao za matangazo. Huu ndio uhalisia wake. Sasa...
  7. Texas Tiger

    JamiiForums Video: Hawa Watoto Omba-Omba, kutoka Tz nani anawapeleka Nairobi?

    Hawa watoto wadogo Omba-omba kutoka Tanzania si tu wanasumbua watumia barabara Nairobi lakini pia inatia aibu na kufikirisha. Umasikini + ujinga ni adui mkubwa sana 🙌🏾 Swali langu, hawa wanatokea mkoa gani? Arusha hapana, Moshi hapana, Tanga hapana. Mara, Mwanza na sehemu za karibu ya kanda ya...
  8. K

    JamiiForums Kataa ndoa: Ni nani aliyewaroga?

    Najua ni utoto unakusumbua tu ukikua utaelewa namaanisha nini hapa. Endelea kujisevia malaya wageuze uwezavyo kwa style zote upendazo. Kumbuka utazeeka macho yako hayataona nuru tena na mikono itakuwa imechoka na hapo utahitaji msaada hutaupata. 1.Utaugua na utakosa hata mtu wa kukugeuza...
  9. Yoda

    JamiiForums Nani mkubwa kati ya binadamu na malaika?

    Nani mkubwa na wa hadhi ya juu kati ya binadamu na Malaika ? Nani ana maisha mazuri zaidi kati ya binadamu na malaika?
  10. Financial Analyst

    JamiiForums Nani alikuambia Waarabu hata nao hawapendi kibao kata

  11. R

    JamiiForums Nani atakuwa mshindi wa SAKHAROV AWARD

    sakharov prize 2026 The European Parliament has named the three finalists for the 2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought: [1] 2026 Finalists (Alphabetical Order) The International Criminal Court and its officials (nominated by the Socialists and Democrats - S&D) [1, 2] Tundu Lissu...
  12. hydroxo

    JamiiForums FT: PSG 4-2 FC Barcelona | UEFA CL | Parc des Princes | Barcelona amepasuka vibaya sana

    Usiku wa saa 4 ya leo kwa mara nyingine tena kutakuwa na mechi ya kibabe barani ulaya kwenye Ligi ya Mabingwa (UEFA Champions League) ikiwakutanisha miamba hii miwili ya soka pale Parc des Princes (Ufaransa). Kwa upande mmoja ni bingwa wa ligi ya ufaransa na ligi ya mabingwa ulaya Paris...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums HISTORIA: Jinsi Jina la "TANZANIA" lilivyobuniwa

    Jambo tunataka kujadili hapa ni kwa nini wanakataa kwa jina la Tanzania aliyelibuni ni Mohammed Iqbal Da... akiwa kijana mdogo wa miaka 18 akisoma shule ya sekondari hili ndio jambo ambalo sisi tujiulize kwa nini..." Jinsi Jina Lilivyotengenezwa: "Anasema nilichukua karatasi kwanza nikaandika...
  14. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Mchengerwa Vs UVCCM: Nani atashinda kwenye dabi? Maana ni ya motooo🙈🫡

    Hey member Mko sawa! Etiii nawauliza nawauliza kwenye dabi ya Bwana Mchengerwa naa UV CCM Na nani anaenda kushindaa hii dabi🫡🫡🫡 Toa maoni bila kuwa mfitinii Mchengerwa kasema UVCCM wananuka Rushwaaa!! Nimeona wanamjibu huku na huku jee nani anaenda kushindaa💪💪🔋✅️
  15. M

    JamiiForums Hope T. Godfrey ni Nani? Mwanamke Kijana Mtanzania Anayeunganisha Ujasiriamali, Afya ya Jamii na Athari Chanya kwa Jamii

    Kuna vijana ambao hawasubiri kila kitu kiwe tayari ndipo waanze kufikiria namna ya kuleta mabadiliko. Badala yake, huanza na wazo, hutafuta fursa za kujifunza, hujenga mahusiano na kujaribu kubadilisha maono yao kuwa kitu chenye manufaa kwa jamii. Miongoni mwa vijana wanaovutia kuangaliwa...
  16. ShesRise_1

    JamiiForums Nani anamla nani kwenye sex? 😋

    Hey guys nimemiss huku! 😋 Mambo ya malovee 😋 Mimi nachojua, issue ya sex inahusisha watu wawili, yaani mwanaume na mwanamke Mnapoanza mahusiano mna-date mpaka mnafikia hatua ya kukulana Nadhani huwa sio bahati mbaya, ni mmepanga na mmekubaliana, si ndio? Inafika siku yenyewe, mnagusanisha...
  17. kavulata

    JamiiForums Dr. Bashiru Kakulwa peleka vijana wote baharini waachane na bodaboda. Mpaka muambiwe na nani?

    Kula samaki Tanzania ni anasa, samaki hawapo na wakiwepo ni ghali hata kama tuna mwambao mrefu sana wa bahari, maziwa na mito. Tunaonekana wote kama vile hatuna akili timamu kwenye kuweka vipaumbe vya taifa na hasa kwa vijana. Bahari, maziwa na mito ni rasilimali kubwa tayari inayohitaji akili...
  18. R

    JamiiForums Mwalimu Nyerere alikuwa anamsema nani?

    Aliona mbali sana. Amshukie yeyote anayasema Katiba ni Kijitabu
  19. mirindimo

    JamiiForums WALEZI WA MIKOA NI KITU GANI ? Nani anakishauri CCM ?

    Nasikia walikaa NEC wakakubaliana waanzishe kitu kinaitwa walezi wa Mikoa , mshauri wao sijui hua ni nani unaweza fikiri hakuna wasomi kule
  20. peno hasegawa

    JamiiForums KERO KERO: NSSF & Dayosisi zote, tunaomba majibu kuhusu mafao ya Wachungaji na Wainjilisti wa KKKT walioko kwenye Dayosisi zao! Yanalipwa LINI na NA NANI?

    Kwanini wachungaji na wainjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Kupitia DAYOSISI ZAO, wanaostaafu baada ya kulitumikia Kanisa na jamii kwa miaka mingi wanaonekana kukabiliwa na changamoto za mafao ya uzeeni? Je, viongozi hawa wanapokea mishahara? Kama wanalipwa, je, kuna...
Back
Top Bottom