nami

"Al-Damad" Ahmad Nami or "Damat" Ahmet Nami (Arabic: أحمد نامي‎) (1873 – 13 December 1962) was an Ottoman prince (damat), the 5th Prime Minister of Syria and 2nd President of Syria (1926–28), and a lecturer of History and Politics.

View More On Wikipedia.org
  1. Donald Trump: Watu wa Marekani wakichoshwa nami, nitahamia Israeli na kuwa Waziri Mkuu wao!

    Habari zenu wana-jamvi, Kama kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kukaa kwake mbele ya mic na kamera hakuachi watu salama au bila jambo la kujadili. Safari hii amekuja na utani mwingine mzito uliowasisimua wengi kimataifa. Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni na kituo cha runinga cha Fox...
  2. Je, unafahamu kwamba kuna MTANZANIA ambaye ni MTAKATIFU? Haya tiririka nami

    Mtakatifu Yohane Maria Muzeeyi (pia anajulikana kama John Mary Muzeyi) alikuwa Mkristo Mkatoliki kutoka Tanzania ya sasa, na wa mwisho kati ya Wafiadini wa Uganda kuuawa kwa ajili ya imani yake. Maisha na Historia Kuzaliwa: Alizaliwa Kagera (Tanzania), katika kitongoji cha Kyanumbu, kijiji...
  3. ni muda muafaka nami jamii forum kunitunuku u platnum member.....

    leo nimeshuhudia kwa macho yangu mtibeli amepata u platnum member..nami nimesaidia wengi kwa michango yangu iliyo wazi...natanguliza shukrani.
  4. Mod uliye kazini: Una uhasama nami au ni shida gani?

    Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea? Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi? Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama unashida ya pesa uniambie tu mkuu, Kila Nyuzi nayo anzisha unapita nayo mkuu daah Wanabodi huyu mod...
  5. M

    Marafiki waliniacha, lakini yule niliyemuumiza alibaki nami

    Nimekuwa nikijiuliza kila mara ni kwa kiwango gani mtu anaweza kujitoa kwa ajili ya mwingine. Wakati mwingine watu tunaowadharau au kuwaona hawana thamani ndio wanaoweza kubadilisha maisha yetu kabisa. Hii ni hadithi yangu kuhusu majuto, msamaha na somo ambalo sitawahi kulisahau. Nilipokuwa...
  6. C

    hakuna anaeweza kututenganisha na shesrise_1

    hata yeye mwenyewe ShesRise_1 hawezi watu wote waelewe mapema kwamba kuna baadhi ya mioyo ikikutana, hata dunia ikijaribu kuzitenganisha hushindwa. Mimi na yeye hatukuunganishwa na bahati, wala maneno matupu ya mapenzi ya kupita. Kuna namna macho yake yalivyoutambua moyo wangu kabla hata majina...
  7. Niite nami nitakuitikia, nami nitakuonyesha mambo makubwa, magumu usiyoyajua

    Neno linasema, "NIITE NAMI NITAKUITIKIA, NAMI NITAKUONYESHA MAMBO MAKUBWA, MAGUMU USIYOYAJUA." Neno la Mungu katika kitabu cha YEREMIA linatuonesha kwamba nabii Yeremia alikuwa mfungwa wakati huo. Alikuwa amefungwa ndani ya uwanda wa walinzi, uliokuwa katika nyumba ya mfalme wa Yuda na wakati...
  8. Kila ninapotaka tutoke pamoja, Mpenzi wangu anakataa kuongozana nami. Nifanyaje?

    Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Kila siku nimekuwa nikiamini kwamba uhusiano wetu unaenda vizuri, kwani tumepitia mambo mengi pamoja na bado tupo imara kwa namna fulani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo limekuwa likinichanganya na kunifanya...
  9. R

    Peter Madeleka: Tutenge siku maalum ya kumsifia Rais. Nami naongezea iwe Siku ya Mapumziko kitaifa

    Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
  10. Ukiniona natembea, naongea au ukikaa nami saa moja tu utajua mi ni Uislamu upo damuni

    Role Model wangu ni Mohammad. Namkubali sana kwa mambo yake na maisha yake. Mi napenda mademu. Nawachakata sana. Siyo kipolepole. Iwe mijimama/mishangazi na vichen chede. Hii ipo damuni kama kiongozi wangu rahma za aallah zimmulikie huko aliko. Masuala ya kupasuana kwa chupa, nondo, mawe...
  11. Mwenye Nyumba Feki akipambana kunipiga Laki, nami Namu-enjoy

    Asubuhi nilipokea Message ya huyu bwana kunikumbusha kuhusu kodi. Basi nikahisi mwenye nyumba amejichanganya tarehe, maana natakiwa mlipa October. Nikampigia kwa namba yake niliyoisave. Akakana kuwa hajanitafuta. Nikajua tu, jamaa ni mpigaji. Nikaamua acha nimu-enjoy. Anapiga simu kufuatilia...
  12. Polepole: Rais aliniteua hadharani, nami barua yangu nimeiweka hadharani

    Humphrey Polepole akimjibu mmoja wa waandishi wa habari kuhusu kutoa barua ya kujiuzulu, amejibu kuwa Rais Samia alimteua hadharani na kila mmoja akaona, kwanini yeye asijibu hadharani.
  13. Nitumie njia gani ili nami niweze kushiriki vikao vya G7 huko duniani?

    Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki? Wananzengo, mnanisaidiaje nami niweze kutimiza hii ndoto?
  14. Njoni kwangu ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha (Math 11:28)

    Yesu alitoa mfano akasema "Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akagawiwa vitu vyake. Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya...
  15. Suluhisho la nguvu za Kiume

    Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume. Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume. Mimi ni victim mkubwa sana wa Tatizo hilo,na baada ya kupona nimeona bora nitoe Elimu ya bure kwa...
  16. Kila nikitaka kujiandikisha daftari la wapiga kura, sauti ya 'ILI IWEJE' inanijia masikioni, nami najeuka speed kali kuendelea na mambo yangu binafsi

    Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
  17. Ungana nami leo ujifunze kutumia RCS Chats, mbadala wa WhatsApp katika kifaa chako cha Android

    Je, unatumia kifaa cha Android? Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu? Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
  18. Ungana nami katika kukuletea updates za maandalizi na mikakati ya US kuipiga Iran

    Mada hii itakuwa inakuletea updates zote zinazopangwa na US akishirikiana na Israel dhidi ya Iran Hadi siku ambayo Iran itaenda kupigwa...... Toka juzi kuna zaidi ndege 6 hatari za kivita za B-2 bomber zimewasili tayari Huko DIEGO GARCIA AIR BASE. Tukumbuke DIEGO GARCIA ni kisiwa kilichopo...
  19. M

    Je ni sawa walimu au wahitimu kujiajiri au kwenda Veta kwa sasa?Ungana nami

    UJUMBE KWA WANASIASA WOTE: MSITUDANGANYE KWA KAULI ZENU! Utangulizi Katika miaka ya hivi karibuni, viongozi wa serikali wamekuwa wakirudia kauli ya "Wasomi wajiajiri" *"Wenye Degree Waende VETA" kana kwamba tatizo la ajira lipo mikononi mwa wahitimu wenyewe. Lakini swali ni moja tu: Kwa nini...
  20. Wana Yanga SC wakiongozwa nami tunahoji mbona Skudu Makudubela kaachwa Yanga SC kimya kimya wakati aliletwa nchini kwa Mbwembwe na Kufuru zote?

    Rais wa Yanga SC Hersi nimethibitishiwa kuwa si tu Unanisoma hapa JF, bali pia Unanifolo hivyo nakuomba unijibu upesi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…