"Al-Damad" Ahmad Nami or "Damat" Ahmet Nami (Arabic: أحمد نامي) (1873 – 13 December 1962) was an Ottoman prince (damat), the 5th Prime Minister of Syria and 2nd President of Syria (1926–28), and a lecturer of History and Politics.
Habari zenu wana-jamvi,
Kama kawaida ya Rais wa Marekani, Donald Trump, kukaa kwake mbele ya mic na kamera hakuachi watu salama au bila jambo la kujadili. Safari hii amekuja na utani mwingine mzito uliowasisimua wengi kimataifa.
Kwenye mahojiano yake ya hivi karibuni na kituo cha runinga cha Fox...
Mtakatifu Yohane Maria Muzeeyi (pia anajulikana kama John Mary Muzeyi) alikuwa Mkristo Mkatoliki kutoka Tanzania ya sasa, na wa mwisho kati ya Wafiadini wa Uganda kuuawa kwa ajili ya imani yake.
Maisha na Historia
Kuzaliwa: Alizaliwa Kagera (Tanzania), katika kitongoji cha Kyanumbu, kijiji...
Ewe mod uliye kazini toka jana usiku ni nini hasa mimi de Gunner nimekukosea?
Una futa Kila Nyuzi niianzishayo, je una uhasama na mimi?
Kwa nini usije inbox yangu na ufunguke, au labda kama unashida ya pesa uniambie tu mkuu,
Kila Nyuzi nayo anzisha unapita nayo mkuu daah
Wanabodi huyu mod...
Nimekuwa nikijiuliza kila mara ni kwa kiwango gani mtu anaweza kujitoa kwa ajili ya mwingine. Wakati mwingine watu tunaowadharau au kuwaona hawana thamani ndio wanaoweza kubadilisha maisha yetu kabisa.
Hii ni hadithi yangu kuhusu majuto, msamaha na somo ambalo sitawahi kulisahau.
Nilipokuwa...
hata yeye mwenyewe ShesRise_1 hawezi
watu wote waelewe mapema kwamba kuna baadhi ya mioyo ikikutana, hata dunia ikijaribu kuzitenganisha hushindwa.
Mimi na yeye hatukuunganishwa na bahati, wala maneno matupu ya mapenzi ya kupita. Kuna namna macho yake yalivyoutambua moyo wangu kabla hata majina...
Neno linasema, "NIITE NAMI NITAKUITIKIA, NAMI NITAKUONYESHA MAMBO MAKUBWA, MAGUMU USIYOYAJUA."
Neno la Mungu katika kitabu cha YEREMIA linatuonesha kwamba nabii Yeremia alikuwa mfungwa wakati huo.
Alikuwa amefungwa ndani ya uwanda wa walinzi, uliokuwa katika nyumba ya mfalme wa Yuda na wakati...
Nina mpenzi wangu ambaye tumedumu kwenye uhusiano kwa takribani miaka mitatu sasa. Kila siku nimekuwa nikiamini kwamba uhusiano wetu unaenda vizuri, kwani tumepitia mambo mengi pamoja na bado tupo imara kwa namna fulani. Hata hivyo, kuna jambo moja ambalo limekuwa likinichanganya na kunifanya...
Sasa inabidi TUKUBALIANE. Kwamba; TUTENGE siku moja, kuanzia ASUBUHI hadi JIONI, CCM wamsifie RAIS, mpaka WACHOKE. Baada ya hapo TUENDELEE na MAMBO YA MSINGI kama watu wenye AKILI TIMAMU
Role Model wangu ni Mohammad. Namkubali sana kwa mambo yake na maisha yake.
Mi napenda mademu. Nawachakata sana. Siyo kipolepole. Iwe mijimama/mishangazi na vichen chede. Hii ipo damuni kama kiongozi wangu rahma za aallah zimmulikie huko aliko.
Masuala ya kupasuana kwa chupa, nondo, mawe...
Asubuhi nilipokea Message ya huyu bwana kunikumbusha kuhusu kodi. Basi nikahisi mwenye nyumba amejichanganya tarehe, maana natakiwa mlipa October. Nikampigia kwa namba yake niliyoisave. Akakana kuwa hajanitafuta.
Nikajua tu, jamaa ni mpigaji. Nikaamua acha nimu-enjoy.
Anapiga simu kufuatilia...
Humphrey Polepole akimjibu mmoja wa waandishi wa habari kuhusu kutoa barua ya kujiuzulu, amejibu kuwa Rais Samia alimteua hadharani na kila mmoja akaona, kwanini yeye asijibu hadharani.
Natamani nami siku moja niweze kuhudhuria kikao cha G7, imekuwa ni ndoto yangu ya siku nyingi sana tangu nikiwa mdogo; sasa sijui itabaki kuwa ndoto tu au ipo siku nami nitashiriki?
Wananzengo, mnanisaidiaje nami niweze kutimiza hii ndoto?
Yesu alitoa mfano akasema "Mtu mmoja alikuwa na wana wawili; yule mdogo akamwambia babaye, Baba, nipe sehemu ya mali inayoniangukia. Akagawiwa vitu vyake.
Hata baada ya siku si nyingi, yule mdogo akakusanya vyote, akasafiri kwenda nchi ya mbali; akatapanya mali zake huko kwa maisha ya...
Hakuna Tatizo linalotesa wanaume kama upungfu wa nguvu za Kiume.
Tatizo hili ni kubwa kuliko hata Tatizo la uchumi, yaani ni bora uwe maskini wa kutupwa kuliko kuwa na upungufu wa nguvu za Kiume.
Mimi ni victim mkubwa sana wa Tatizo hilo,na baada ya kupona nimeona bora nitoe Elimu ya bure kwa...
Kuna kila dalili kwamba sitahuisha kichinjio changu kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
Nimejaribu mara mbili kuhuisha ila imeshindikana kabisa kufanya hivo, mara zote nikikaribia eneo la tukio, huwa inanijia ile sauti ya 'ili iweje', basi na mimi najeuka kwa kasi, nyuzi za pembe 180, naamua kuelekea...
Je, unatumia kifaa cha Android?
Je, unatafuta mbadala wa WhatsApp baada ya kuitumia kwa muda mrefu?
Ndiyo, inawezekana, ukiwa na Kifaa cha Android iwe Simu, Tablet huna ulazima wa ku download App ya WhatsApp, unaweza kupata Features zote za WhatsApp ikiwemo kutuma Picha, Video, GIF, Poll...
Mada hii itakuwa inakuletea updates zote zinazopangwa na US akishirikiana na Israel dhidi ya Iran Hadi siku ambayo Iran itaenda kupigwa......
Toka juzi kuna zaidi ndege 6 hatari za kivita za B-2 bomber zimewasili tayari Huko DIEGO GARCIA AIR BASE.
Tukumbuke DIEGO GARCIA ni kisiwa kilichopo...
UJUMBE KWA WANASIASA WOTE: MSITUDANGANYE KWA KAULI ZENU!
Utangulizi
Katika miaka ya hivi karibuni, viongozi wa serikali wamekuwa wakirudia kauli ya "Wasomi wajiajiri" *"Wenye Degree Waende VETA" kana kwamba tatizo la ajira lipo mikononi mwa wahitimu wenyewe.
Lakini swali ni moja tu: Kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.