nafasi ya kazi

  1. Jamii Opportunities

    Nafasi ya kazi Umoja wa Maifa (UN), Tracking team leader

    Posting Title: TRACKING TEAM LEADER, P4 Job Code Title: INVESTIGATOR Department/Office: International Residual Mechanism for Criminal Tribunals Duty Station: ARUSHA Posting Period: 11 November 2019 - 10 December 2019 Job Opening Number: 19-Investigation-RMT-126646-R-Arusha (R)...
  2. Johnny Sins

    Nafasi ya Kazi: Mwandaaji Mkuu wa maudhui ya Televisheni ya mtandaoni anatafutwa

    GLOBAL TV ONLINE ni televisheni ya mtandaoni iliyo na makao makuu yake jijini DAR ES SALAAM, TANZANIA ikiwa na watazamaji dunia nzima zaidi ya milioni ishirini kwa wiki na watazamaji waliojisajili zaidiya milioni moja na laki nane. Kama sehemu ya mafanikio yake Global Tv Online inatafuta mbobezi...
  3. B

    Nafasi ya kazi ya udereva (gari za familia)

    Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 24. Naomba kazi ya udereva kwa mtu binafsi au familia. Nina uwezo wa kumuendesha mtu binafsi au familia kwa muda wowote ambao muajiri atahitaji. Leseni ya udereva ni daraja D (class D). Elimu kidato cha sita (form six). Nina nidhamu ya hali ya juu kabisa...
Back
Top Bottom