nafasi ya kazi

  1. AbuuMaryam

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    NAFASI: FUNDI WA AIR CONDITIONING (AC) & REFRIGERATION. Kampuni yetu VGK, inatangaza nafasi ya kazi kwa Fundi wa AC mwenye sifa zifuatazo: Sifa za Mwombaji: 1. Awe na cheti cha ufundi wa AC/REFRIGERATION (VETA/NACTVET au taasisi inayotambulika). 2. Awe na uzoefu wa kazi ya ufungaji...
  2. urusername

    Nisaidieni nafasi ya kazi

    Habari zenu wakubwa! Naomba msipuuzie andiko langu, tafadhali!! Niliyepo mbele yenu ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 22, mkazi wa Dar Es Salaam - Tanzania. Naandika makala hii mbele yenu kwa lengo moja tu - la kusaidiwa kupata nafasi ya kazi. Kidato cha nne ndio ukomo wa elimu rasmi...
  3. barakachaplin

    Nafasi ya kazi: dereva wa malori (Truck driver)

    NAFASI YA KAZI: DEREVA WA MALORI (TRUCK DRIVER) Kampuni: Multflex General Supplies Limited Mahali pa Kazi: Mwanza, Tanzania Idara: Usafirishaji na Usambazaji (Transport & Logistics) Aina ya Kazi: Ajira ya Muda Wote (Full-Time) Barua Pepe ya Maombi: hr@multflexgeneralsupply.co.tz Kuhusu Kampuni...
  4. D

    NAFASI YA KAZI

    📢 TANGAZO LA NAFASI YA KAZI NAFASI YA KAZI: MHudumu WA MASSAGE (WA KIKE) Tunatafuta mfanyakazi wa kike mwenye uzoefu wa kutoa huduma za massage katika eneo la Masaki, Dar es Salaam. 📍 Eneo la kazi: Masaki 💰 Mshahara: Tsh 950,000/= kwa mwezi 🕗 Muda wa kazi: Saa 8:00 asubuhi hadi saa 8:00...
  5. Tembele

    Tangazo la Nafasi Ya Kazi - Kuuza Hardware

    Tafadhali Soma Kipeprushi na uombe kama una vigezi vilivyoainishwa.
  6. K

    Nafasi ya Kazi ya Kujitolea: Wahariri na Waandishi Wakuu wa Habari (Editorial Volunteers) - Global Primegates Limited

    .
  7. M

    Nafasi ya kazi , Mkuu wa Kanda ya Mauzo Vodacom Dodoma kanda ya Mvumi (Css) Anayofuraha kutangaza nafasi za kazi ya Team Leaders na Freelancers.

    Nafasi hizo ni kwaajili ya kukuza mauzo katika kanda ya Mvumi Territory ya Dodoma Vigezo 1. Ajuwe kusoma na kuandika 2. Awe na smartphone 3. Awe na akili timamu 4. Umri kuanzia miaka 18 na kuendelea 5. Upande wa Tl Awe na uwezo wa kusimamia timu Elimu zaidi ya kidato cha 4 ama sawa na...
  8. M

    Nafasi ya kazi ya Mpishi imetangazwa na Ubalozi wa Ubelgiji, mwisho wa maombi ni 21 Agosti 2026

    Tunatafuta Mpishi kujiunga na timu yetu 🇧🇪🇹🇿 📌 Tarehe ya kuanza: Oktoba 2026 📍 Mahali: Dar es Salaam Sehemu kubwa ya ukarimu wa kidiplomasia hufanyika mezani😋. Makazi ya Balozi wa Ubelgiji yanatafuta mpishi wa kuendesha jiko, milo ya kila siku, hafla rasmi, na menyu zinazowaridhisha wageni na...
  9. AbuuMaryam

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI

    FUNDI SANIFU WA UMEME (ELECTRICAL TECHNICIAN) Tunatafuta Fundi Sanifu wa Umeme mwenye ujuzi na uzoefu wa kufanya kazi za umeme katika majengo makubwa ya biashara, viwanda na nyumba za makazi. Sifa za Mwombaji Awe na Cheti cha Ufundi (Certificate) au Diploma ya Umeme kutoka NACTVET (zamani...
  10. mr mtenya

    Natafuta kazi ya udereva

    Habari,mimi ni dereva wa daraja la pili,umri miaka 32 natafuta kazi,kwa mwenye uhitaji namba za simu 0659972797
  11. M

    Natafuta Nafasi ya Kazi: Mwalimu wa Kiingereza (Tanzania) 🇹🇿 🇰🇪

    Habari zenu! Mimi ni Mwalimu wa Kiingereza (English & Literature Teacher) kutoka Kenya, mwenye usajili wa TSC na Shahada ya Ualimu (Bachelor of Education). Natafuta fursa ya kufundisha nchini Tanzania na niko tayari kuhamia (relocate) mara moja nafasi itakapopatikana. Sifa zangu kwa ufupi: •📑...
  12. Manyanza

    Nafasi ya kazi (Secretary)taasisi ya MUSTLEAD

    KATIBU MUHTASI (SECRETARY) NAFASI 3. Taasisi ya MUSTLEAD Inatangaza nafasi ya kazi ya katibu muhtasi(Secretary) SIFA ZA MUOMBAJI: 1. Awe na elimu walau ya kidato cha nne. 2.Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta 3. Awe msichana umri miaka 18 na kuendelea Awe tayari kuishi mazingira ya shule...
  13. W

    Tangazo la nafasi ya kazi ya fundi pikipiki

    Tunatafuta fundi pikipiki mwenye uzoefu wa kufanya service na matengenezo ya pikipiki za aina yoyote. 📍 Location: Kunduchi Mtongani, Dar es Salaam. Utapata mshahara wa kuanzia kwa miezi 3, kisha tutaendelea na makubaliano kulingana na maendeleo ya biashara. 📞 Uko tayari? Piga simu 0657 736...
  14. dark web

    Kama wewe ni fundi Umeme wa viwandani Jaribu hii nafasi ya kazi........

  15. B

    Tangazo nafasi ya kazi-Mtaalamu wa ufugaji wa kuku (Broiler)

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – MTAALAMU WA UFUGAJI WA KUKU (BROILER) Tunatafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler) kujiunga na timu yetu. Sifa zinazohitajika: Awe na uzoefu wa kusimamia ufugaji wa kuku wa broiler. Awe na uelewa mzuri wa lishe, ratiba za chanjo na dawa...
  16. D

    Nafasi ya kazi procurement Officer (urgently)

    closed
  17. Kamanda Moshi

    Nafasi ya kazi ya fundi mechanic magari makubwa

    Tunatafuta Fundi Magari Makubwa mwenye uzoefu wa kutengeneza Engine na Gearbox za malori na magari makubwa, hususan yale ya Kichina. Sifa zinazohitajika:
• Uwe na uzoefu wa kutengeneza engine za malori na magari makubwa.
• Uwe na uwezo wa kufanya matengenezo na overhaul za gearbox.
• Uwe...
  18. Smart Eagles

    Nafasi ya Kazi Morogoro Mjini Mshahara 180,000/= + Internet ya bure

    Anahitajika binti mwenye uwezo mkubwa wa kutumia simu na computer. Ofisi yetu inafanya kazi 2 ambazo ni kutoa huduma ya internet Morogoro mjini na kukata tiketi za treni ya SGR. Anahitajika mdada smart anayefahamu kutumia computer na simu vizuri, awe sharp na asiye na hasira za hapa na pale...
  19. F

    Natafuta nafasi ya kazi

    Habari wadau, Natafuta nafasi ya kazi ya ustawi wa jamii (SOCIAL WORK) hata kazi zingine tofauti na taaluma yangu ZINAZOFAA. Nina elimu ya chuo (kaliua institute of community development) Pia nina ujuzi katika matumizi ya kompyuta, huduma kwa wateja, care giver. Kwa mwenye nafasi au taarifa...
  20. T

    Nafasi ya kazi: Mkoani Dar es salaam

    Ninawasalimu wote, hongereni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa letu zuri sana la Tanzania. Ninatangaza mtafutaji wa kazi ambaye ni mimi mwenyewe, ninaishi Gongo la mboto mkoani Dar es salaam Elimu yangu ni kidato cha sita. Kazi ikiwa maeneo ya Chanika, Kisarawe, Pugu, Gongo la mboto, Mbagala...
Back
Top Bottom