Mzee Wa Upato, Anthony Lusekelo amesema:
"Nasema, katika dunia hii ya akina Trump, dunia hii ya akina Putin, dunia hii ya vita na magomvi na mambo mengi mengi. Nakuomba sana, sikiliza watu, usieache kusikiliza watu, lakini usizimishe sauti ya moyo wako.
Sikiliza watu, lakini usizimishe sauti...