An honorific is a title that conveys esteem, courtesy, or respect for position or rank when used in addressing or referring to a person. Sometimes, the term "honorific" is used in a more specific sense to refer to an honorary academic title. It is also often conflated with systems of honorific speech in linguistics, which are grammatical or morphological ways of encoding the relative social status of speakers. Honorifics can be used as prefixes or suffixes depending on the appropriate occasion and presentation in accordance with style and customs.
Typically, honorifics are used as a style in the grammatical third person, and as a form of address in the second person. Use in the first person, by the honored dignitary, is uncommon or considered very rude and egotistical. Some languages have anti-honorific (despective or humilific) first person forms (expressions such as "your most humble servant" or "this unworthy person") whose effect is to enhance the relative honor accorded to the person addressed.
Niaje wakuu, niwape kisa changu cha kutumia Simu wakati nipo shule.
Kipindi niko form two, dada angu alininunulia simu zile Nokia Obama nitumie hapo mzee anapinga sana matumizi ya simu ila dada alimpanga akamuelewa. Nimetumia nikawa naona siielewi simu ya kizee hapo wenzangu wana vitecno og...
“Nilikuwa na mawazo, nilikuwa silali… Sasa Mungu ameniona kupitia kwako, kupitia Samia namshukuru.”
Hizi ni shukrani za Jonas Machilu Seni Kugia, aliyepata ulemavu baada ya kugongwa na bajaji, baada ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kumkabidhi bajaji ya kumsaidia kujipatia kipato.
Mzee...
Tarehe 10/11/2026 Allute atazikwa mkoani singida.
Nina hakika atazikwa na wana singida wote ingawa baadhi yao wapo mikoa mbalimbali wakiuza bar
Silalamiki ila naomba wana singida kasoro Mwigulu usije tuliAaaaaa.
Na Mkuluwanyika.
Hivi umewahi kumsikia Mshume Kiyate, Kleist Abdallah Sykes, Bilali Waikela, Iddi Tulio, Mzee Suleiman Taqadir, Tewa Said Tewa, Mzee Ali Said Mpima au Mzee Zibe Kidasi?
Bila shaka kama wewe ni kijana wa kizazi kipya (Gen Z) au umeisoma historia ya Tanganyika kupitia vitabu vya...
Wana-JamiiForums,
Kwa masikitiko makubwa na majonzi mazito, ninawataarifu kuhusu kifo na mazishi ya mzee wangu mpendwa, Mzee Wilinasi Mwendawila Sikanyika, aliyefariki dunia tarehe 25 Oktoba 2026 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mbeya (iliyopo Wilaya ya Mbeya Mjini, Mkoa wa Mbeya) akiwa na...
Mzee wetu Mohamed Said ambaye kila kukicha anazungumzia kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika na kudai kuwa nafasi ya waislamu kwenye uhuru haikuandikwa vyema asisahau kuandika kuhusu kiongozi katili wa kiislamu aliyevunja rekodi ya mauaji ya raia october 29.
Pia asisahau kuandika historia ya...
23 October 2026
Ikunga, Singida
Tanzania
MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE
https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI
Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ...
Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
Anaitwa chuan do tan ni Mzee alizaliwa march 3, 1966, Singapore ni mpiga picha kwa sasa kaingia kwenye mitindo baada ya makaampuni makubwa kumfata wafanye nae KAZI.
jamaa mzee lakini anaonekana kama alizaliwa 2000, noma sana, jamaa kabeba tuzo nyingi sana za mitindo.
Ukikitazama ki Ally Komwe hakina Haiba kabisa ya kuwa msemaji. Atafutwe Msemaji heavy duty ambaye akizungumza watu watamsimkiliza.
Hiki kidogo watu wamekuwa wakikidharau na kusema maneno mengi. Kinajaribu kuiga usemaji wa Kidwanzi wa yule msemaji bogus wa Simba kinapwaya. Kinashindwa kuwa...
Utajiri hauanzii kwenye fedha nyingi; wakati mwingine huanzia kwenye ujuzi, uthubutu na uwezo wa kuona fursa pale wengine wanapoona changamoto.
Wakuu, leo ningependa kushiriki historia ya marehemu Mzee Joseph Mfugale, mfanyabiashara Mtanzania anayekumbukwa kwa kuanzisha Peacock Hotel jijini Dar...
Sijui wivu au uchawi.
Ila Kuna video nimeona amepost, anajisifu analeta Aston Martin DB7 V12, chuma ya James Bond, anaitest anaikanyaga mafuta mlio ukiusikia tu unajua hii V8. Pia milango inqonesha kabisa ni gari ya siku hizi, wakati DB7 iliishia 2004.
Sijui, atawauzia Bei gani, ila Japan...
Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa...
Kwenye kitabu chake "I Can, I Must, I Will" sura ya 11 "Mafisadi Papa na Mimi". Reginald Mengi ndiye aliyebuni neno "Mafisadi" lenyewe na anaeleza jinsi alivyowaita hivyo na jinsi alivyopigwa vita.
Mengi anaandika 2006 gazeti lake la Alasiri na The Citizen lilifanya uchunguzi likagundua kampuni...
Ameyasema hayo katika ibada baalumu ya shukrani aliyoalikwa na mchungaji Deus wa Pentekoste huko Mtama.
Anasema pamoja na kumkosea mzee alikuwa anampigia simu kumsalimia na kumkumbusha kuwa asikubali kutumia ujana wake kuwatumikia mafisadi.
" Sauti yake inanirudia mara kwamara usingizini"...
Katika miaka ya 1980 na miaka ya nyuma yake, machapisho na barua za siri au za asiyekuwa na jina zilizokuwa zikifichua kashfa, udaku, na masuala mbalimbali katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Mlimani) zilifahamika sana kama "Poisoned Pens" (au Poison Letters).
Mwandishi au waandishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.