Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.
Mzazi tambua huyo mtoto wako ni mke na mtu ajae.
Wazazi wanaishi na watoto mda mfupi kuliko mda ambao mtoto ataishi pekee yake, ikiwemo kumaliza muda wake kwenye ndoa yake.
Kwa miaka ya kibiblia kuishi ni miaka 70,80 kwa Neema ni zaidi ya hapo. Watu uingia kwenye ndoa kuanzia miaka 23 sababu...
Tokea nimkanye Binti yangu kwa Maneno ya Kisela ( Kimjini Mjini ) kama haya yafuatayo amebadilika, ananiogopa na ananitii ile mbaya.
"Oya si unajiona umeshakua sawa Viziwa vimejitokeza na Makalio yako Kuvimba kama Maandazi ya Azam? Sasa Wewe neng'eneka tu hovyo na Wanaume Wakulale mpaka hizo...
Wakuu, nimewaza sana kuhusu malezi ya watoto leo. Wazazi tunapaswa kujua mabadiliko ya tabia za watoto yanategemea zaidi ukaribu walionao kwa Mzazi au Mlezi wao na kwa kiasi gani Wazazi wanazungumza kuhusu makuzi, fursa, hatari zilizo mbele yao na jinsi ya kuzikabili au kuziepuka.
Watoto wengi...
Hellow,
Hivi karibuni kumezuka mzozo mkubwa sana katika familia, chanzo kaka yetu anataka kuoa lakini mahari anasema mzazi wetu ndio atoe, kisa huyo mchumba wake amemuambia kuwa mahari yako kisheria anatakiwa atoe mzazi wako na sio wewe.
Na yeye bila kujiongeza kashupalia kweli kuwa yeye...
Upepo unaotoka baharini pamoja na harufu yake ni kitu kibaya kuliko vyote kwa watoto wadogo hasa wanafunzi. Mzazi unashauriwa kumsogeza Mtoto wako mbali kidogo na bahari ili kuuwezesha ubongo wake kudevelop.
Ogopa mikoa ifuatayo
Dar
Pwani
Lindi
Mtwara
Tanga
Zanzibar
Na mikoa ya jirani na hiyo.
Unakuta mzazi anamlea vibaya mtoto kisha mtoto wake anaenda leta maumivu kwenye maisha ya mwenzake.
Mtoto yeyote siyo wa kwako mzazi, huyo ni mke au mume wa mtu mtarajiwa, unapomlea vibaya unaharibu ndoa yake. Hata kama wewe ni single mama huo usingle ni wa kwako siyo wake, mlee ipasavyo...
Mbwana Samatta amekulia katika viunga vya Mbagala huko ndiko kuliko mtambulishan katika uga wa kandanda. Historia ya huyu mchezaji haikuwa rahisi kutoboa hadi kufikia hapo alipofikia. Kuna kipindi alikuwa anakosa hata sh. 200 ya nauli ya kumpeleka mazoezi. Waliokuwa karibu yake walimsaidia pesa...
Kipindi hiki watoto wamerudi nyumbani au kutokwenda shule kutokana na uwepo wa likizo, ni vizuri wazazi kuzingatia haya:
1. Jipe muda wa kuzungumza na mtoto kila siku.
2. Muulizie juu ya changamoto alizokutana nazo akiwa shule.
3. Kagua vitu anavyovitizama kama picha, simu.
4. Jadiliana naye...
Wana jukwaa hivi hapa anaejuta kuzaa na mwenzie ni nani kati ya Faiza na Sugu?
Faiza ana mtusi matusi makubwa sijui kama anajenga kwakweli, pia mwanaume kama ni kweli hamjali mtoto kwa lolote anafanya vibaya sanaa.
Mambo vipi wakuu,
Nimemaliza chuo mwaka jana, I am 24. nipo nakaa hapa nyumbani ila kuna tatizo la kiimani.
Mom analazimisha kila jumapili niende kanisani.
Kiuhalisia mimi saivi sina imani kabisa na kanisa au maswala ya Mungu naona kama ni utapeli na mambo ambayo binadamu walitengeneza tu...
Habari wana JF,
Asilimia kubwa humu wazazi wetu wameishia elimu ya msingi na wengine hawakusoma kabisa, lakini wamepambana kwaajili yetu na kwakiwango kikubwa wamefanikiwa tumesoma sekondari na wengine mpaka chuo.
Hata wewe hapo ulipo unapambana mwanao afikie elimu ambayo wewe hukufika na ili...
Nipo na ajira nashkuru mungu inayofanya nisogeze maisha. Nina mshahara mdogo tu lkn kwa ubachela wangu unanitosha.
Mdingi wangu (mzazi pekee nliyebaki nae kwa sasa) ana kipato cha uhakika na hana shida ya pesa ndogondogo. Kipato chake ni mara 5 zaidi ya changu kwa mwezi.
Nimekuwa nikiumiza...
Leo nataka niwape kisa cha anko wangu moja hivi wa mtaani ambae kwa sasa ni marehemu, ubaya pia sikubahatika kwenda kumzika.
Wakati wa makuzi yangu nilibahatika kulelewa katika mtaa ambao umezungukwa na watu wenye dini. Mtaa ambao nilikuwa naishi ulikuwa na misikiti miwili, madrasa tatu na...
Andiko la Wakili Bashir Yakub kuhusu haki ya mzazi kumuona mtoto baada ya kutengana na mwenza au kuachana kabisa.
Sheria Namba 21 ya Mwaka 2009 Kifungu cha 38 cha Sheria ya Mtoto kinatoa haki hiyo na mzazi au mlezi anayekaa na mtoto hapaswi kuipinga, muhimu kusiwe na lengo la kumdhuru au kitu...
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu hii ishu japo naona kama vile sio kweli ila nimeona niwashirikishe ndugu zangu wana jamii forum...nina mzazi wangu pale ninamuambia kuhusu mipango yangu mizuri huwa haonyeshi kufurahi hata kidogo...na akisikia nimepata matatizo huonyesha tabasamu pana
Kushuka kwa kiwango cha ufaulu kwa watoto limekuwa tatizo kubwa katika jamii yetu. Pamoja na mambo mengi yanayochangia tatizo hili, kutokuwepo kwa ushirikiano kati ya walimu na wazazi katika kumlea mtoto kitaaluma ni kikwazo kikubwa.
Wajibu na majukumu ya mzazi kwa mtoto wake anapokuwa nyumbani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.