Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.
SERIKALI; MZAZI ANAYETAKA
NA KUDAI MATUNZO YA MTOTO ASIKAE NA MTOTO. FULL STOP!
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii iwe kwa Mzazi wa kike au wakiume. Yaani Baba au Mama.
Huruma sio malezi.
Mmeamua kuachana msisumbue watu hapa.
Mmeamua kuzalishana huko msisumbue watu. Watoto ni wenu...
Mzazi Daniel Kapangala amemzawadia mwanae sungura wawili ambao ni jike na dume katika mahafali ya kuhitimu Kidato cha Nne yaliyofanyika katika Shule ya Sekondari Tembela iliyopo Kata ya Itewe, Halmashauri ya Mbeya, Shule hiyo inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
“TZS 255,400 kwa Direct Costs… 💔🎓
Kwa mwanafunzi anayesoma kwa msaada wa mzazi anayehangaika, mlezi, au anayejilipia mwenyewe, hii si hela ndogo. Ni mzigo unaoweza kuathiri uwezo wa mwanafunzi kuendelea na masomo.
UDSM, tunaomba msikilize sauti ya wanafunzi. 🙏🏽
Tunaiomba UDSM:
• Itoe...
Jana nilipigiwa simu na mke wangu nikapewa taarifa kwamba mama yangu amekamatwa Buza kwa Lulenge na jiji kwenye eneo lisiloruhusiwa kufanya biashara, japo hapakuwa hata na uthibitisho kwamba anauza bidhaa yoyote. Wakawachukua na baadhi, wengine waliokamatwa wamechukuliwa pesa zao na wengine...
Anonymous
Thread
buza
eneo
hii
jana
jiji
katika
kufanya
mama yangu
mke
mke wangu
mzazi
sheria
simu
taarifa
wangu
yangu
Mfumo wa elimu unaotumiwa na watoto wengi nchini Kenya umebadilika kutoka mfumo wa 8-4-4 hadi mfumo wa elimu unaozingatia uwezo, vipaji na ujuzi wa mwanafunzi, unaojulikana kama Competency-Based Curriculum (CBC).
Mabadiliko haya yamezua maswali miongoni mwa wazazi na walezi. CBC inamaanisha...
Ewe Mzazi
Somesha mtoto kwa gharama
Nursery lipa ada (mwaka 1)
Primary lipa ada (miaka 6)
Secondary lipa ada (miaka 4)
A-level lipa ada ( miaka 2)
Chuo lipa Ada (miaka 3)
Wastani wa ada na gharama zingine kwa mwaka ni 1.5m hadi 2.5m
Jumla ya miaka ni 16
Ukizidisha range ya ada ni 24m hadi 40m...
Huwa ni siku ngumu sana kwa mzazi kumpeleka mtoto shule kwa mara ya kwanza , umeshakaa na mtoto miaka 3 / 4 hajazoea na haujazoea mtoto kukaa na watu baki , yeye amezoea kukaa mazingira ya nyumbani na wewe umezoea kumuona akiwa home muda wote . So day one inakuwa ngumu sana watoto wengi wanakuwa...
Nauliza kwa wenyeji wa Chanika, kuacha hospital ya Nguvukazi, hospital Gani Bora ambayo mama mjamzito anaweza akajifungua, sehemu ambayo wanatoa huduma hizo za uhakika na clinic ya wajawazito.
Mimi nimezaa na mwanamke mtoto mmoja nikawa nahudumia bila shida yoyote aidha kwa kuambiwa au kwa kujiongeza mwenyewe mara kadha wa kadha alikuwa anakata mawasiliano yaani huambiwi chochote kuhusu mtoto yaani iwe mahitaji au afya ya mtoto baada ya muda kadhaa(miezi) anakutafuta ndo unapata...
Tazama , wanasiasa wanavyofanya manipulation
Wanaua , wanatesa but nothing is happen to them
Kama umri wanaishi miaka mingi na wanazidi kuwa na maisha mazuri wao na vizazi vyao .
Ijumaa ya tarehe 28 Agosti, nilichapisha hapa jukwaani habari ya walimu wa shule ya sekondari IGANZO iliyopo mkoa wa Mbeya kujaribu kusitisha masomo ya mdogo wetu bila kufuata utaratibu rasmi.
UZI: MAMA ALAZIMISHWA KUSAINI BARUA YA MTOTO WAKE KUACHA SHULE
Jumatatu tulifanikiwa kuwapigia simu...
Habari wanajamii?
Ijumaa nilikuja na uzi unaozungumzia walimu kumlazimisha mama kuandika/kusaini barua ya mtoto kuacha shule.
Mama aitwa shule, alazimishwa kusaini barua ya mtoto wake kuacha shule
Baada ya kuongea na mama, tulikubaliana kuwa leo aende tena shuleni kuongea na walimu kuwa...
Nitakuwa wa mwisho kuamini hapa duniani kama huyu Olie ni mtoto wa Wema na Whozu .
Ninadhani kuna uwezekano mkubwa huyu mtoto amenunuliwa kwa pesa ndefu sana huku siri ikibaki baina ya wazazi, medical personnels na wazazi wa kambo yani Wema na Whozu.
Huenda kuna kiapo cha maandishi cha...
Wengine tujasomea lugha ila tumesomea mambo mengine ila mtoto anakwenda form six na muuliza unachokwenda kusomea unakijua,wala haelewei nacho kwenda kusoma na yeye kutaka kuwa nani.
Huyu mwengine yupo chuo kikuu ili mradi yupo chuo kikuu hata kutengeneza code zinamshinda wakati sisi tulisoma...
Taarifa zinazosambaa kukamatwa kwa kijana mmoja huko Mwananyamala kwa tuhuma za mauaji ya watu wawili ambao ni ndugu zake wa damu akiwemo baba yake mzazi ni za kweli.
Nimefuatilia kwa ukaribu kijana alikuwa akiishi Afrika ya kusini akijishuhurisha na biashara,akiwa huko kila alichokuwa akipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.