mzazi

Sibabalwe Gladwin Mzazi (born 28 August 1988) is a South African athlete competing in the long-distance running events. He competed at five consecutive Summer Universiades winning gold medals in 2009 and 2013.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Mama mzazi anapigania haki za afya kwa mtoto wake

    MAMA MZAZI ANAPIGANIA HAKI ZA AFYA KWA MTOTO WAKE Imeandikwa na.Mwl.RCT UTANGULIZI Watoto wanapaswa kupata huduma bora za afya na haki zao zinapaswa kulindwa. Katika simulizi hii, tutakutana na mama mzazi ambaye anapigania haki za afya kwa mtoto wake. Mama huyu atakabiliana na changamoto...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi maamuzi ya mzazi yanavyoweza kuathiri afya ya akili ya mtoto

    Habari jamani wana JF, Mimi sio fundi mzuri wa kuandika na kupangilia sentesi mtanisamehe kwa usumbufu wowote unaojitikeza kwenye uandishi wg, mimi naitwa j ni mzaliwa wa dar nimekulia Dar pia ila kwa sasa niko mkoani kibiashara katika historia yg ya maisha nimepitia mambo magumu sana jamani...
  3. JamiiForums Tanzania Mama yangu mzazi aliwahi kuniambia bora nife tu apumzike

    Based on a true story. CHAPTER 1 Zamani kidogo kipindi iko nipo A - level form 5 naelekea form six ile likizo kubwa nilienda kwa Mama likizo mkoa X. Mama anaishi mkoa X ila mimi naishi na dada Dar es salaam. hivyo mara nyingi likizo naendaga Dar es salaam. Huko nilikaa kwa amani tu ila balaa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

    1. They are selfish. 2. They are more likely to have a side family, child, multiple family or end the marriage for stupid reasons. 3. They are emotional damaged. They don't care of other people feelings. Any thing is the right way as long as wapo happy hata for a short time. 4. They always...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kheri ufiwe na mzazi kuliko kufiwa na mume/mke

    2019 nilifiwa na mke wangu hakika maumivu yake ni mazito, nyumba naiona chungu, ndani hakulaliki, naisikia harufu ya mke wangu mpaka sasa nikiingia ndani nasikia sauti yake. Mke amefariki amekuachia watoto wadogo 3! Kwa ambao hamjapitia hii changamoto ombeni sana Mungu awaepushe nayo. Huu ni...
  6. JamiiForums Tanzania WASIWASI: Ndugu wa mzazi mwenza wa mchumba wangu, mwanamuitaje mchumba wangu?

    Nina rafiki yangu anatarajia kuoa single mother. Ila anapata shida kuhusu Familia ya Jamaa aliyezaa nae. Kule jamaa ana dada na Kaka pia, sasa ndugu zake hao watamuitaje mchumba wake. Na wazazi wake jamaa watamuitaje mchumba wake. Na yeye pia ana Dada na kaka. Ushauri naamni jf wapo wazoefu...
  7. JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

    Mungu simama nasi, lea nasi baba, tunusuru na hili janga sisi na vizazi vyetu🙏 Viatu vya huyu baba havinitoshi === Marehemu Milembe Suleiman ambaye miaka kadhaa iliyopita alitrend mitandaoni kwa kumvisha pete mwanamke mwenzake ikiashiria anajihusisha na vitendo vya kisagaji, baba yake...
  8. JamiiForums Tanzania USHAURI: Nani asimame kati ya Baba mlezi na Baba mzazi kwenye send off na harusi!!

    Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa kufikia, Sasa kwenye malezi Baba wa kufikia ndo alikuwa ana muhudumia kila kitu na alikuwa anaishi...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kufanya pindi tu unapopokea taarifa za msiba wa mzazi wako au ndugu yako wa karibu

    Habari zenu wana JF wenzangu Bila kupoteza muda ndugu zangu inajulikana wazi kuwa kila binadamu yupo hapa duniani kwa siku zake maalum za kuishi, na baada ya siku hizo kuisha atakufa na kurudi kule alipotokea. Sasa basi.. ingawa kifo kipo lakini hakuna anaependa kufa au kufiwa. Hii ni kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya mimi kutokuwa na huruma na Ndugu

    Baba yangu alifariki wakati nikiwa Mtoto mchanga hivyo nililelewa na Mama tu naye hakuwa na uwezo hivyo nilisomeshwa na wasamaria wema. Mtu pekee Aliyekuwa na uwezo wa kiuchumi ni dada aliyeolewa na yeye hakutaka mazoea kabisa. Kwa jinsi maisha yalivyokuwa magumu, nilipofika Chuo nikawa...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye baba mzazi wa Leroy Sane (mchezaji wa FC bayern aliyegombana na Sadio Mane)

    This is Souleymane Sane, a former Senegalese international player, he represented Senegal in 1994 Afcon, he is the father of Leroy Sané who is representing Germany. He gave his son Leroy because of Claude Leroy was the coach who gave him chance to play for Senegal. Leroy sane... (akiwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi kama wewe ni mzazi/ mlezi unachukua hatua au maamuzi gani endapo mtoto wako anakataa kwenda shule?

    Wana JF naombeni ushauri wenu. Kuna kijana wangu atakataa kwenda shule, yupo kidato cha kwanza . Nimfanye nini maana kama kupiga nimepiga na kumshauri lakini haambiliki😭😭
  13. JamiiForums Tanzania Mchezaji wa Yanga Mamadou Doumbia, amefiwa na Baba yake mzazi huko Mali

    Picha: Mamadou Doumbia TANZIA: Klabu ya Yanga imepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Baba mzazi wa mchezaji wake beki, Mamadou Doumbia, kilichotokea jana, nchini Mali. Mamadou Doumbia anatarajia kusafiri asubuhi leo kuelekea Mali kwa ajili ya kushiriki taratibu za mazishi. “Kwa niaba ya...
  14. JamiiForums Tanzania Siku yake ya kuzaliwa (Birthday 🎉) Pia ni tarehe na Mwezi ambao Baba yangu mzazi alifariki! Nafanyaje?

    Wakuu hii ni seriously kdg huyu ni mke kbs miaka 10 Sasa lkn inakuwa shida wakati yeye anafurahia kuzaliwa kwako me nakuwa kwenye machungu ya kuomboleza kifa cha baba yangu! Hii imeleta shida mara nyingi ingawaje mara nyingi nachukulia poa lkn nikitamani kufanya ibada ya kumshukuru Mzee katika...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nisimame na Baba Mzazi au wa kambo?

    Habari Wakuu, nakuja mbele yenu kuomba ushauri, japo nimepata shauri mbalimbali za hapa na pale kwa watu wa karibu na wa mbali niliowahi kukutana nao. Nianze na historia yangu kwa ufupi. Nilizaliwa mwanzoni mwa miaka ya 90. Mama alizalia nyumbani kwao wakati bado ni mwanafunzi, haikua rahisi...
  16. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki wakati mama yake mzazi akijaribu kumtoa mimba

  17. JamiiForums Tanzania Mzazi unapaswa kutambua dalili kama Mtoto wako ana Tatizo la Afya ya Akili

    Mtoto mwenye tatizo la #AfyaYaAkili anaweza kuwa na changamoto mbalimbali zinazomfanya awe na Tabia zisizo za kawaida au hali ya kutokuelewana na wengine katika jamii yake. Baadhi ya matatizo ya Afya ya Akili yanayoweza kuathiri Watoto ni pamoja na kuvurugika Kihisia kama vile kuongezeka kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mzazi mpumbavu huaribu familia yake kwa mkono mwenyewe

    Leo nimeona thread nyingi watu wakilalamika dada zetu kuzalishwa nyumbani na kutelekezwa ukweli ni kuwa wengi wao wazazi wao au walezi hawakusimama imara katika majukumu yao
  19. JamiiForums Tanzania Baba mzazi wa Mchekeshaji Hakika Ruben adai amekata tamaa na mwanaye, asema Dunia ndio itamfunza

    Baada ya taarifa kuibuka mitandaoni na kusambaa kwa kasi zikimhusisha mchekeshaji Hakika Reuben kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja, kuna mengi kadhaa yameendelea kuzungumzwa na kuacha maswali mengi. Licha ya kuwa Hakika mwenyewe hajatoka hadharani na kutoa ufafanuzi rasmi kuna mambo...
  20. JamiiForums Tanzania Nina mahusiano na mwanamke fulani, lakini kauli hii aliyoitoa mzazi wangu inanipa wasiwasi kwenda kumtambulisha

    Habari za usiku wana JF, Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia. Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…