mwisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo ya CDF mstaafu ni Kwamba Magufuli alipata Msamaha na Ondoleo la Dhambi zake zote mbele ya Kardinali Pengo!

    Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa...
  2. JamiiForums Tanzania Historia ya Y2K na Msisimko wa Mwisho wa Dunia wa Mwaka 2000

    Wakati umefika mwaka 1999, Wanasayansi wakaibuka na kudai kwamba mwaka 2000 ungekuwa mwisho wa dunia. Baadhi ya wachungaji wakaungana na wanasayansi hao na kuendelea kusema kwamba mwaka huo Yesu angerudi kwa mara ya pili. Dunia nzima ilikuwa na wasiwasi, kila mmoja aliona kabisa alikuwa akienda...
  3. JamiiForums Tanzania Leo ndio mwisho wa matumizi ya 3D, msako kuanza kesho

    Leo alhamisi ndiyo mwisho wa matumizi ya namba za magari zenye uwezo wa 3D na kuanzia kesho ijumaa Jeshi la polisi Tanzania limetangaza kuanza msako mkali kwa wote ambao wameshindwa kuzitoa namba hizo za 3D kwenye magari yao. Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani awali kilitoa muda wa...
  4. JamiiForums Tanzania African soccer zone: hizi ni timu zitakazoshinda CAFCL Simba ya mwisho

    Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.👀🏆 Mamelodi.,........24% Al ahly........20% esperence ....14% Petro atletico 12% Young Africans .....10 % Tp mazembe.......6% Simba ........6% Source...... African soccer zone 😂😂 #TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
  5. JamiiForums Tanzania Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

    Ni vitu gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa na vipi vya kumfanyia? Which is the line of demarcation?
  6. JamiiForums Tanzania Mobutu ndiye alikuwa Rais mwenye nguvu wa mwisho wa DRC (CONGO)

    Habari Ukifuatilia Historia ya DRC utaona inaongozwa na viongozi wengi wasio na uwezo wa kufanya CONGO kua nchi yenye nguvu kiuchumi, Kisiasa, Kiintelligencia na kijamii nchi ya CONGO imekua shamba la bibi yenye serikali zilizofeli muda wote. Mpaka sasa kuna makundi 120 yanatawala sehemu...
  7. JamiiForums Tanzania Aishi Manula, mwanzo wa mwisho wa ufalme?

    Naona Aishi Manula zama zinamtupa mkono.....ufalme unaanguka mbele ya macho yake...... Hakika kila lenye mwanzo lina mwisho
  8. JamiiForums Tanzania Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi

    Picha 15 za hafla ya Mazishi, Dua na Sala ya mwisho kwa Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi
  9. JamiiForums Tanzania Je, ndio mwisho wa Paul Pogba kisoka? Afungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 4 kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli

    Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe atakuwa ametimiza umri wa miaka 35, umri ambao wachezaji wengi wanatundika daluga. Mchezaji huyo mwenye...
  10. JamiiForums Tanzania House4Sale Appartments zinauzwa Mbezi Mwisho Msakuzi

    ..
  11. JamiiForums Tanzania Luke Shaw hatarini kuwa nje hadi mwisho wa msimu

    Klabu ya Manchester United inahofu kuwa kuna uwezekano wa kumkosa beki wake, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu huu wa 2023/24 kutokana na majeraha yanayomsumbua Shaw alipata majeraha ya misuli ya mguu katika mchezo uliopita dhidi ya Luton. Ikumbukwe kuwa mwanzoni mwa msimu huu beki huyo alikuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Vodacom nawapa onyo kwa mara ya mwisho kabla sijafuata hatua mpya

    Ndugu zangu hamjambo ? Natumia ukurasa huu kuwaambia watumishi wa Vodacom na wahusika wote wa MGODI kuwa mtamponza mtumishi wenu kwa hizi sarakasi zenu . Mimi natumia laini ya voda mwaka jana nilijiunga na huduma ya MGODI specifically nilipendelea kuweka kiasi cha akiba kwenye akaunti ya akiba...
  13. JamiiForums Tanzania Funzo kwenye mazishi ya Lowassa, andika historia yako mwenyewe usisubiri kuandikiwa, na mwisho wa ubaya ni aibu

    Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema. Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Februari 16 Serikali ilisema umeme mwisho kukatika. Ulipo umeme upo?

    Nchi inaingozwa na kauli za uwongo bila kuhusisha wataalamu moja kwa moja kila kitu ni siasa
  15. JamiiForums Tanzania Ndoto ya wengi ni Kazi, nyumba, Familia, mwisho Gari

    Kwema! Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji. Imeisha hiyo
  16. JamiiForums Tanzania Shughuli zaanza kuondoa raia Rafah, ambayo ndio ngome ya mwisho ya HAMAS

    Hapo Rafah ndiko wamekimbilia wote pamoja na uongozi, panahitaji usafi kwa mabomu.....raia waondoshwe ili kuepuka lawama za kupelekana ICJ........... Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has ordered the military to prepare to evacuate civilians from the southern Gazan city of Rafah ahead...
  17. JamiiForums Tanzania Simba wanalia na refa Ramadhani Kayoko wajiulize ni lini mara ya mwisho wameifunga Azam.

    Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch. Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi...
  18. JamiiForums Tanzania Mungu si mnyimi, stori ya Emma Kok inasikitisha lakini inafariji na kufurahisha pia

    Anaitwa EMMA KOK, Binti wa miaka 16 tu. Usipoambiwa anayoyapitia Kiafya utadhani ni binti asiekuwa na shida yoyote kimuonekano. Hatahivyo uhalisia ni kuwa binti huyu anao mzigo mkubwa, changamoto anayoipitia. Inasikitisha, inahuzunisha lakini ukiisoma Historia yake na anayoyafanya pasi na shaka...
  19. JamiiForums Tanzania Andiko la Mwisho la Ole Mushi;Ukoloni unarudi Tanzania

    Andiko la mwisho la Ole Mushi hebu lipitie👇🏿 UKOLONI UNARUDI TANZANIA? Na Thadei Ole Mushi. Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe. Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi...
  20. JamiiForums Tanzania Divisions (Madaraja) yapangwa upya vijana wajiandae vizuri. Division one mwisho 13

    Miaka ya hivi karibuni naona kuna mafuriko ya division one mpaka zimekosa thamani yake. Sasa huu ni wakati sahihi kwa wizara ya elimu kurekebisha madaraja. Madaraja mapya yanapaswa kuwa hivi; Division one inapaswa iwe kuanzia one ya 7 mpaka 13. Inamaana kuwa ili mtu uhesabike umepata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…