Mara nyingi ndugu wa mgonjwa ndio humfuata baba Paroko na kumuomba ampatie mgonjwa sakramenti ya Mafuta matakatifu
Lakini Shujaa Magufuli yeye mwenyewe alimuagiza CDF awaite Baba Paroko na Kardinali Pengo kwa ajili ya Huduma
Basi Yesu Kristo alisema " Dhambi zenu zijapokuwa Nyekundu zitafanywa...
Wakati umefika mwaka 1999, Wanasayansi wakaibuka na kudai kwamba mwaka 2000 ungekuwa mwisho wa dunia. Baadhi ya wachungaji wakaungana na wanasayansi hao na kuendelea kusema kwamba mwaka huo Yesu angerudi kwa mara ya pili.
Dunia nzima ilikuwa na wasiwasi, kila mmoja aliona kabisa alikuwa akienda...
Leo alhamisi ndiyo mwisho wa matumizi ya namba za magari zenye uwezo wa 3D na kuanzia kesho ijumaa Jeshi la polisi Tanzania limetangaza kuanza msako mkali kwa wote ambao wameshindwa kuzitoa namba hizo za 3D kwenye magari yao.
Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani awali kilitoa muda wa...
Probability of winning the 2023/24 CAF Champions League according to Africa Soccer Zone.👀🏆
Mamelodi.,........24%
Al ahly........20%
esperence ....14%
Petro atletico 12%
Young Africans .....10 %
Tp mazembe.......6%
Simba ........6%
Source...... African soccer zone
😂😂
#TotalEnergiesCAFCL #CAFCL
Habari
Ukifuatilia Historia ya DRC utaona inaongozwa na viongozi wengi wasio na uwezo wa kufanya CONGO kua nchi yenye nguvu kiuchumi, Kisiasa, Kiintelligencia na kijamii nchi ya CONGO imekua shamba la bibi yenye serikali zilizofeli muda wote.
Mpaka sasa kuna makundi 120 yanatawala sehemu...
Paul Pogba ambaye atatimiza umri wa miaka 31 mwezi Machi mwaka huu amefungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka minne kutokana na matumizi ya dawa za kusisimua misuli. Mpaka adhabu yake iishe atakuwa ametimiza umri wa miaka 35, umri ambao wachezaji wengi wanatundika daluga.
Mchezaji huyo mwenye...
Klabu ya Manchester United inahofu kuwa kuna uwezekano wa kumkosa beki wake, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu huu wa 2023/24 kutokana na majeraha yanayomsumbua
Shaw alipata majeraha ya misuli ya mguu katika mchezo uliopita dhidi ya Luton. Ikumbukwe kuwa mwanzoni mwa msimu huu beki huyo alikuwa...
Ndugu zangu hamjambo ?
Natumia ukurasa huu kuwaambia watumishi wa Vodacom na wahusika wote wa MGODI kuwa mtamponza mtumishi wenu kwa hizi sarakasi zenu .
Mimi natumia laini ya voda mwaka jana nilijiunga na huduma ya MGODI specifically nilipendelea kuweka kiasi cha akiba kwenye akaunti ya akiba...
Mtibeli humu aliwahi kuandika humu na nampa credit Kwa kuliona hili mapema.
Leo katika mazishi ya Mwamba wa kaskazini Mzee Lowasa kwenye wasifu wa marehemu Kwa makusudi na mpaka Sasa haijurikani ni Kwa maslahi ya Nani kuna kundi la wahuni hawakuandika chapter muhimu ya historia ya Mzee Lowasa...
Kwema!
Kibongobongo wengi ndoto yao ni kupata kazi, kisha nyumba( inaweza kuwa uwezo wa kulipia apartment), Familia(mke au mume na watoto) alafu mwisho usafiri kama kagari Fulani hivi kakishkaji.
Imeisha hiyo
Hapo Rafah ndiko wamekimbilia wote pamoja na uongozi, panahitaji usafi kwa mabomu.....raia waondoshwe ili kuepuka lawama za kupelekana ICJ...........
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has ordered the military to prepare to evacuate civilians from the southern Gazan city of Rafah ahead...
Shida Simba wakikosa matokeo wanayoyataka wao ni lazima watafute mtu wa kumfunga kengele, badala ya kula kile kichapo cha goli tano toka kwa Yanga mpaka leo naona bado dishi linasearch.
Kile kipigo cha goli tano alifungwa kengele Tinyo boy mwisho wa siku wakaishia kumla kichwa hilo halitoshi...
Anaitwa EMMA KOK, Binti wa miaka 16 tu. Usipoambiwa anayoyapitia Kiafya utadhani ni binti asiekuwa na shida yoyote kimuonekano.
Hatahivyo uhalisia ni kuwa binti huyu anao mzigo mkubwa, changamoto anayoipitia. Inasikitisha, inahuzunisha lakini ukiisoma Historia yake na anayoyafanya pasi na shaka...
Andiko la mwisho la Ole Mushi hebu lipitie👇🏿
UKOLONI UNARUDI TANZANIA?
Na Thadei Ole Mushi.
Miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu wenyewe.
Migodi tumeitoa kwa Wazungu, Misitu tumeitoa kwa Mwarabu, Posta tumeitoa kwa Mwarabu, Misitu tumeitoa kwa mwarabu, Gesi...
Miaka ya hivi karibuni naona kuna mafuriko ya division one mpaka zimekosa thamani yake.
Sasa huu ni wakati sahihi kwa wizara ya elimu kurekebisha madaraja.
Madaraja mapya yanapaswa kuwa hivi;
Division one inapaswa iwe kuanzia one ya 7 mpaka 13. Inamaana kuwa ili mtu uhesabike umepata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.