mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. The Watchman

    Mwigulu: Nchi yetu inao vibaraka wengi. Inafanyika michezo ya kulipia baadhi ya watu wafanye vitendo vya kihalifu

    Wakuu Waziri mkuu Mwigulu Nchemba akiwa mkoani Iringa anasema: Ujasusi wa dunia hii, ameufuatilia kwa miaka mingi sana. Anaijua michezo mingi. "Najua haya yaliyotokea Ghana, najua yaliyotokea Congo, najua yaliyotokea Angola, na... najua maeneo mengi yaliyowahi kutokea. Tanzania si alikuwa...
  2. Waufukweni

    Mwigulu: Nchi haina upungufu wa Umeme, Ina ziada—Changamoto ipo kwenye Uimarishaji wa Gridi

    "Sasa hivi nchi yetu haina upungufu wa umeme, ina ziada ya umeme. Na kama kuna eneo umeme bado unakatika-katika, tatizo sio upungufu. Sasa tatizo lililopo ni kwamba, gridi ile ilitengenezwa kwa ajili ya mtawanyo mdogo. Tulivyoongeza mtawanyo, tumeongeza na uzalishaji, lazima pawe na uimarishaji...
  3. IKEKERA

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba, unafanya kazi nzuri sana. Kaza buti

    Kiukweli PM unafanya kazi nzuri sana za kutatua kero za wananchi.. Ukitangaza tu ziara sehemu yoyote kiukweli watendaji wa serikali wanawajibika kwa wananchi 100%..juzi ulitangaza kwenda mkoa X kiukweli wanahaha kutatua kero za wananchi mpaka usiku kabisaa. Naomba usikatishwe tamaa na viongozi...
  4. Roving Journalist

    Dkt. Mwigulu asema Serikali imejipanga kujenga jengo lenye hadhi ya kimataifa Airport ya Mwanza

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua kuhakikisha Uwanja wa Ndege wa Mwanza unaboreshwa na kujengwa katika hadhi ya kimataifa ili kuendana na hadhi ya jiji la Mwanza kama kitovu muhimu cha shughuli za kiuchumi Kanda ya Ziwa. Amesema hayo bungeni jijini...
  5. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu ashiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na Rais Ruto

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba jana Mei 11, 2026 alishiriki chakula cha jioni cha kitaifa kilichoandaliwa na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto kwa heshima ya Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Ushirikiano wa Afrika na Ufaransa Dkt. Mwigulu yupo nchini Kenya akimuwakilisha Rais...
  6. H

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ushirikiano kati ya Afrika na Ufaransa (Africa Forward Summit: Africa-France Perternship for Innovation and Growth) unaofanyika jijini Nairobi Kenya, leo Mei 12...
  7. R

    Waziri Mkuu Mwigulu aipongeza Simba kwa Ushindi wa mbinde dhidi ya Yanga

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza Bungeni leo Aprili 30, 2026, ameipongeza klabu ya Simba kwa ushindi wa bao 1 dhidi ya Yanga. Klabu ya Simba ilitwaa ubingwa wa Muungano mbele ya Yanga katika fainali iliyochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex...
  8. M

    Inadaiwa gari lililotumika kuua watu Oktoba 29, 2025 limeonekana tena kwenye Ziara ya Dkt Mwigulu

    Swali, Mpaka hapa bado kuna mtu hajajibiwa swali la nani alitoa amri ya kuua watu iwapo magari yaliyotumika kuua watu bado wanayatumia kuonesha hawajali wala kuogopa chochote?
  9. H

    Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.

    Huruma ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mwenyekiti wa ALAT anayemaliza muda wake.
  10. USSR

    Mwigulu amejipa umasihi wa kuponya mioyo na sasa nchi nzima wanaimba jina lake. Mungu amtangulie afike mbali

    Katika kipindi hiki ambacho watanzania wanahitaji majibu ya matatizo yao hasa dhuluma, unyanyasaji, unyang'anyi wa mfumo ,maonevu ya kijamii hasa ndugu Mungu amemuinua Mwigulu kuja kuwapa majibu ya haraka na yauhakika wa haki zao papo kwa hapo hapa Mungu anamtumia Mwigulu kuwa masihi wa taifa...
  11. R

    Mwigulu: Tufunge Camera uwanjani kukomesha ushirikina

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza uwanja wa mpira wa miguu Arusha ufungwe kamera nyingi ili kukomesha vitendo vya ushirikina ndani ya uwanja.
  12. Waufukweni

    Mwigulu atoa maagizo mawili Uwanja wa AFCON Arusha

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba leo, Ijumaa, Aprili 17, 2026, ametoa maagizo mawili kwa wanaosimamia mradi wa ujenzi wa Uwanja wa soka wa Arusha utakaotumika kwa Fainali za AFCON 2027. Maagizo hayo ni uharakishwaji wa mradi huo pamoja na matumizi stahiki ya...
  13. kavulata

    Kuna watu wanapenda Samia, Nchimbi na Mwigulu wagombane na wasiaminiane, waepukwe kama ukoma

    Kuna watu wanavizia kila kitu anachoongea Samia kama Rais, Nchimbi kama makamu wa Rais na Mwigulu kama Waziri Mkuu wa Tanzania na kukigeuza ili ionekane kana kwamba Samia, Nchimbi na Mwigulu hawapo pamoja, lao sio moja na hawaendi njia moja. Hizi ni siasa za bei rahisi sana za watu waliochoka...
  14. Mwanamwana

    Dkt. Mwigulu: Wakati wa upungufu wa umeme kuna walioshauri tulete mitambo ya kukodi, kumbe walitaka wakutane nazo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  15. Mwanamwana

    Dkt. Mwigulu: Baadhi ya nchi Afrika likitokea tatizo watu wanatafuta dirisha la kupiga

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  16. Mwanamwana

    Dkt. Mwigulu: Akitokea anayetaka kutumia suala la mafuta kama fursa kujinufaisha, tutamwambia hapana

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  17. R

    Mwigulu: Wanatukana ili kuhalalisha mikataba yao ya kufugwa, walimtukana sana Rais wa awamu ya 5 alipokufa wakahamia kwa Rais Samia

    'Ndio maana wao huwa wanahama tu na awamu. Awamu ya nne walikuwa wanatukana Rais wa awamu ya nne. Alikuwa hawajibu, anaendelea na kazi yake. Alivyomaliza tu, wakahama, wakahamia kwa Rais wa awamu ya tano. Bahati nzuri teknolojia inatunza: hakuna Rais katika rekodi ya nchi yetu aliyetukanwa kama...
  18. Mwanamwana

    Dkt. Mwigulu: Kila siku tunakaa vikao vya kisekta kuhakikisha mafuta yanakuwepo ili shughuli zisiathirike

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ameyasema haya leo Aprili 12, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Chamwino, Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma
  19. Cute Wife

    Polisi Pwani wakanusha Mwigulu kumteka Askari aliyetoa kero kwake kuhusu askari mwenzake

    Wakuu, Aloooo jamaa walimteka bana! Taarifa ya polisi inasema walimchukua tar 15, Feb na siku hiyo hiyo ndio akachukuliwa kwenye kwenye mashtaka:BearLaugh::BearLaugh: hata bila D mbili hesabu hii haiwezi kukushinda. Halafu eti familia yake iliruhusiwa kumuona juzi, na leo amerejeshwa kwenye...
  20. Mwanamwana

    Dkt. Mwigulu: Serikali imetoa waraka wa michango shuleni. Inayopitiliza lazima iwe na ukomo, Walimu wa kujitolea wasilipwe na Wazazi

    Akijibu swali la mbunge wa Segerea, Agnesta Kaiza kuhusu utitiri wa michango kwenye shule za umma unaoondoa dhana ya Elimu bure, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa serikali imetoa waraka unaotoa miongozo kuhusu michango shuleni na kuongeza kuwa michango mingine ambayo inapitiliza...
Back
Top Bottom