mwigulu

Mwigulu Lameck Nchemba (born 7 January 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Iramba West constituency since 2010.In December 2015, he was appointed as the Minister of Agriculture, Livestock and Fisheries.
In July 2018 he was sucked down by Magufuli due to poor performance as the Minister of Home Affairs

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Uwezeshaji Wanawake kiuchumi ni msingi wa Maendeleo ya taifa

    ▪️Aipongeza Clouds Media Group kwa kuibua fursa za wanawake ▪️Awatambua Rais Samia, mama mzazi na mkewe kama Malkia wa Nguvu WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema juhudi za kuwawezesha wanawake kiuchumi zinapaswa kupewa kipaumbele ili kujenga familia imara na jamii yenye maendeleo. Dkt...
  2. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU AMPONGEZA RAIS SAMIA KUPANUA ELIMU YA AMALI

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu ya amali nchini, akisema uwekezaji huo unalenga kuwapatia vijana ujuzi utakaowawezesha kujitegemea. “Hii ni hatua kubwa sana, na inalenga kuwaandaa vijana wa Kitanzania kuwa na ujuzi,” amesema. Dkt...
  3. H

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Watoto wetu wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini. Tuwahakikishie elimu itakayowawezesha kuendelea kujipatia kipato hata baada ya machimbo kuisha, ikiwemo kufanya biashara ya madini ndani na nje ya nchi. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚 𝘞𝘢𝘻𝘪𝘳𝘪 𝘔𝘬𝘶𝘶 𝘸𝘢 𝘛𝘢𝘯𝘻𝘢𝘯𝘪𝘢 🗓️ Novemba 11, 2026 📍 Segese...
  4. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Machimbo yasikatishe masomo

    ▪ Asimulia mchango wa mwalimu wake kumrudisha shuleni ▪ Aagiza usanifu wa barabara za kipaumbele Shinyanga ukamilishwe WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wazazi kuhakikisha watoto wao wanahitimisha masomo na kuwasihi wanafunzi wasikatishe masomo kwa sababu ya uchimbaji madini...
  5. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU AAGIZA MAPITIO YA GHARAMA ZA PEMBEJEO

    ▪ Awataka mawaziri watatu kupitia muundo wa tozo ▪ Aagiza usanifu wa barabara Ushetu uharakishwe ili kuwahi bajeti ▪ Aitaka TANESCO kuunganisha umeme vijijini kwa sh. 27,000 WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewaelekeza mawaziri wenye dhamana ya TAMISEMI, Fedha na Kilimo kupitia upya muundo...
  6. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Zingatieni masilahi ya wananchi maeneo yenye madini

    ▪ Ataka wenye mashamba, leseni na wawekezaji wanufaike ▪ Aonya matumizi mabaya ya amri za mahakama katika kudai madeni ▪ Aagiza maandalizi ya jengo la dharura Hospitali ya Kahama WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka maafisa madini kusimamia utaratibu unaozingatia masilahi ya wananchi...
  7. The Burning Spear

    Tabia ya kuongoea kisukuma ziara za Mwigulu iachwe Mara moja ina picha mbaya sana siyo sifa inaturudisha nyakati.za ujima

    Hakuna asiyejua kiswahili Tanzania ya leo kinachofanywa ni uhuni wa kujijenga kisiasa tu wenye akili timamu tunalijua hilo. Huko kwenye mikutano watu wote wanajua kiswahili vizuri sana sema siasa za kindezi mtu ndo anamuaa kupita humohumo Lugha ya Taifa ni kiswahili, Ukitaka kujenga taifa la...
  8. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU: MSIWATENGE WANANCHI KWA SABABU YA IMANI

    ▪ Ataka walimu wawili waliojitolea kwa zaidi ya miaka mitano waajiriwe kutokana na mchango wao katika ufaulu WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amevitaka vikundi vya Sungusungu kutowatenga wananchi wala kuwalazimisha kushiriki taratibu zinazokinzana na imani zao, akionya kuwa vitendo hivyo...
  9. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu atembelea na kukagua taasisi ya elimu ya ushirika na biashara kizumbi

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo (Jumatatu, Novemba 9, 2026), ametembelea na kukagua Taasisi ya Elimu ya Ushirika na Biashara Kizumbi (KICoB), Manispaa ya Shinyanga, ikiwemo jengo la taaluma na bweni la wanafunzi wa kike yaliyojengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 8.98. Majengo hayo...
  10. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu: Tengeni fedha za mafuta ya magari ya wagonjwa

    ▪ Aonya watumishi wanaodai michango ya mafuta kwa wagonjwa wa dharura ▪ Aagiza uchunguzi wa matumizi na upatikanaji wa dawa ▪ Ataka maandalizi ya barabara za Solwa yaharakishwe WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka waganga wakuu wa mikoa na wilaya nchini kutenga fedha za mafuta ya magari...
  11. H

    𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗔 - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    𝗖𝗛𝗨𝗞𝗨𝗔 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗨 𝗡𝗜𝗧𝗔𝗞𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗔 Uongozi unaowajibika kwa Wananchi wake. Picha ya Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akimpatia namba ya simu mwananchi wake kwa ajili ya kuwasiliana naye.
  12. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU: SERIKALI IMECHUKUA HATUA BEI YA SARUJI IWE HIMILIVU

    ▪︎ Akemea wananchi kunyimwa huduma kwa kukosa miadi ▪︎ Ataka wagonjwa wa dharura wahudumiwe mara moja WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua za kufanya bei ya saruji kuwa himilivu kwa kuondoa kodi kwenye saruji inayoagizwa kutoka nje na malighafi zinazotumika...
  13. Sifi Leo

    Nina wasi wasi, Mzee Allute atazikwa na wanasingizia, ila kasoro Mwigulu mchemba, ila itakuwa lahana kwa kizazi chake.

    Tarehe 10/11/2026 Allute atazikwa mkoani singida. Nina hakika atazikwa na wana singida wote ingawa baadhi yao wapo mikoa mbalimbali wakiuza bar Silalamiki ila naomba wana singida kasoro Mwigulu usije tuliAaaaaa.
  14. H

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba aahirisha bunge

    Leo nimewasilisha hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Tano wa Bunge la 13, jijini Dodoma, nikisisitiza uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma na utekelezaji wa maazimio ya Bunge. Fedha za umma ni kodi za wananchi. Chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tutaendelea...
  15. Zack Abdul

    Serikali inaendelea kufanyia kazi mapendekezo ya CAG — Dkt. Mwigulu

    ▪︎ Asema hatua kali kuchukuliwa dhidi ya watakaobainika kufanya ubadhirifu WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaendelea kufanyia kazi mapendekezo yote yaliyotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na kwamba hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaobainika...
  16. Ndagullachrles

    Tumieni bidhaa za ndani ,Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba aziagiza Taasisi za umma

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka taasisi za umma kutumia bidhaa zinazozalishwa nchini katika ujenzi, ununuzi wa samani na mahitaji mengine, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kukuza viwanda, kulinda ajira na kuongeza mapato ya Taifa. Ametoa maelekezo hayo leo (Jumatano...
  17. H

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Muhimu kwetu sote kwa pamoja ni mustakabali wa vijana wetu kutokana na uwezo mkubwa walionao. Afrika inasimama kama bara changa zaidi duniani; hata hivyo, kila mwaka, mamilioni ya vijana wa kike na wa kiume huingia kwenye soko la ajira kutafuta fursa ambazo hazipo, - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck...
  18. H

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lamec

    Tunapaswa kutoa kipaumbele zaidi suala la kutafuta ufumbuzi wa nishati safi ya kupikia na hasa katika kipindi hiki cha mpito - Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Amesema hayo Oktoba 28, 2026 wakati akizungumza kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu...
  19. Zack Abdul

    Dkt. Mwigulu ashiriki hafla ya jioni iliyoandaliwa na Rais Putin, Moscow

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika hafla ya jioni iliyoandaliwa kwa ajili ya viongozi, wanaoshiriki Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika. Halfa hiyo imefanyika katika Ikulu ya Kremlin, Moscow nchini Urusi. Dkt...
  20. Zack Abdul

    DKT. MWIGULU AHANI MSIBA WA BABA MZAZI WA IGP CAMILLUS WAMBURA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 27, 2026 amehani msiba wa Deusdedit Mwita Wambura ambaye ni Baba Mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, aliyefariki dunia jijini Dar es Salaam Oktoba 24, 2026.
Back
Top Bottom