mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. H

    Mwigulu Nchemba: Serikali kununua matrekta 10,000

    SERIKALI KUNUNUA MATREKTA 10,000 - DKT. MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imepanga kununua matrekta 10,000 na kuanzisha vituo jumuishi 1,000 vya huduma za zana za kilimo katika ngazi ya Kata, hatua itakayoongeza tija, kupunguza gharama na kuwapa wakulima muda...
  2. McLaren

    Ufafanuzi wa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu akiba ya chakula nchini. Aliyeelewa anisaidie

    Guys, Hapa Mwigulu alikuwa anazungumza jana wakati akihitimisha mjadala wa hotuba ya ufunguzi ya Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Nimejaribu kutumia 4 figure bado sijaelewa. Aliyeelewa anieleezee vizuri. "Lakini sehemu nyingine Serikali inaweza ikauza akiba ya hicho chakula ili ipate fedha za...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PM Mwigulu Nchemba: Uuzaji wa akiba ya Dhahabu ni utaratibu wa kawaida

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Bank kuu kama msimamizi wa sera kuna wakati akitaka mfumuko wa bei uwe chini kwenye fedha tu achilia mbali dhahabu wanatumia ligwidipaper zake za kupunguza fedha za kwenye mzunguko ndani ya nchi. Sasa leo hii kwa Bank Kuu wamesababisha wachimbaji wadogo...
  4. H

    Mwigulu Nchemba: Tunayo hifadhi ya Chakula ya kutosha

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu.
  5. H

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  6. H

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  7. H

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu alisema: "Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu"
  8. H

    Dkt. Mwigulu: Wafanyabiashara msiwaumize wananchi

    WAFANYABIASHARA MSIWAUMIZE WANANCHI-DKT. MWIGULU NCHEMBA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wafanyabiashara nchini kutowaumiza Watanzania kwa kupandisha bei za bidhaa hususani kipindi hiki cha kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani pamoja na mfungo wa Kwaresma kwa kuwa nchi kwa sasa...
  9. Waufukweni

    PostGE2025 Waziri Mkuu: Amani tuliyonayo ni matokeo ya kuheshimiana na kuzingatia misingi ya haki

    "Amani tuliyonayo ni matokeo ya kuheshimiana, kuzingatia misingi ya haki, wajibu na kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu Amesema hayo Januari 27, 2026 katika Bunge la Kumi na Tatu, Mkutano wa Pili, Kikao cha Kwanza, wakati akiwasilisha hoja ya Serikali ili...
  10. Idugunde

    Mwigulu Nchemba unadhania Watanzania ni Wajinga? Kwamba viongozi wa CCM ambao ni mafisadi kujaza fomu za maadili ndio defence?

    Unatudharau sana hasa sisi Wakulima wa Igunga tunalima chakula na kulisha hiyo Ilamba yote na kulipa kodi? Yaani kiongozi au mtumishi wa umma akijaza fomu za maadili kuwa ana mali aina fulani ndio justification kuwa sio fisadi na mwizi wa mali za umma? Usitufanye sisi wajinga na wapuuzi.
  11. Waufukweni

    Mwigulu: Msilishwe maneno na wanaoandika mitandaoni, Tanzania ni mwalimu kwenye utawala bora na kudhibiti rushwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka Watanzania kujivunia mifumo ya nchi yao katika kusimamia rasilimali na kusema kuwa Tanzania bado ni "mwalimu" kwa mataifa mengi ya Afrika katika suala la utawala bora. Akizungumza wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Viongozi wa...
  12. Waufukweni

    Waziri Mkuu: Rais Samia anachukia rushwa na ubadhirifu wa mali

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasilisha ujumbe mzito kutoka kwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akisisitiza kuwa mkuu huyo wa nchi hapendi na wala havumilii vitendo vya rushwa, ubadhirifu wa mali za umma, na uzembe kazini. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo...
  13. H

    Dkt. Mwigulu Nchemba akutana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania

    𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 𝗔𝗞𝗨𝗧𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗚𝗔𝗩𝗔𝗡𝗔 𝗪𝗔 𝗕𝗘𝗡𝗞𝗜 𝗞𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 20, 2026 amefanya mazungumzo na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Dkt. Emmanuel Tutuba, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma.
  14. H

    Dkt. Mwigulu Nchemba: Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji

    Watanzania tunapaswa kuishi kwa misingi ya upendo, unyenyekevu, haki na uwajibikaji-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️18.01.2026 Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametoa kauli hiyo aliposhiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu, Dodoma.
  15. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 17, 2026 ameongoza kikao cha kazi kuhusu ujenzi wa miradi ya barabara za haraka (Express Ways) kwa ubia

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 17, 2026 ameongoza kikao cha kazi kuhusu ujenzi wa miradi ya barabara za haraka (Express Ways) kwa ubia kupitia mfumo wa PPP. Kikao hicho kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, kimehudhuriwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri...
  16. H

    Jarida Maalum la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 3, Januari 2026

    Jarida Maalum la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 3, Januari 2026
  17. H

    Mwigulu Nchemba: Kazi zinazoweza kufanywa na wazawa zisifanywe na wageni

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amezitaka wizara zinazohusika na masuala ya ajira zisimamie kikamilifu utekelezaji wa sheria zinazotaka kazi zinazoweza kufanywa na Watanzania zisifanywe na wageni isipokuwa zile zinazohitaji utaalamu ambao nchi inaupungufu. Vilevile, Waziri Mkuu amekemea tabia ya...
  18. M

    Tatizo lilianza pale mliposema kuwa Simbachawene ana uwezo mkubwa na Busara kuliko Mwigulu Nchemba

    Mlipomsifia tu kuwa Simbachawene anabusara na uwezo mkubwa wa kufanya shughuli za umma. Hapo ndipo yalianza matatizo
  19. The Palm Beach

    Kenani Kihongosi upo? Huyu ndiye Katibu wa itikadi, uenezi na propaganda wa CCM - Mwigulu Nchemba katika ubora wake. Anaustahili u - PM huyu?

    Tunaishi katika nyakati ambazo ni za ajabu sana, kijana asiyeoa anahangaika hata kupata msichana wa kumpenda, lakini mwanaume aliyeoa ana mahusiano ya siri ( michepuko) zaidi ya mitano. Imagine this guy ni kiongozi? =========================
  20. R

    PostGE2025 Mwigulu: Walipanga kuchelewesha uchaguzi ili kuingiza nchi vitani

    Mwigulu anyimwe mic tafadhali anazidi kukera :Angy: ---------- Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, amevituhumu vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, kwa kile alichodai kuwa ni mkakati wa kutaka kuingiza nchi kwenye machafuko kwa kutumia kigezo cha mabadiliko ya Katiba ili kuchelewesha...
Back
Top Bottom