Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi ameagiza TAKUKURU kufanya uchunguzi kufuatia Serikali kupeleka Fedha za dawa lakini kila mgonjwa akienda hospitali anaambiwa akanunue dawa, pale hazipo...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amesema kuwa Rais ameshatoa maelekezo kuwa tusinyang'anye wananchi ardhi kwa kisingizio cha miradi ya maendeleo
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba leo Machi 13, 2026 akizungumza na wananchi wa eneo la Majalila, Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi kuhusu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Selemani Kakoso ambaye ni Mbungu wa Mpanda.
SASA NI KATAVI, ZIARA YA KIKAZI
MHE. DKT. MWIGULU NCHEMBA, WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
📆 IJUMAA – MACHI 13, 2026
🕰️ KUANZIA SAA 5 ASUBUHI
Lengo la Ziara:
1. Kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa Maji wa Miji 28 – Shanwe.
2. Kuweka jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 12, 2026 amemjulia hali Diwani wa Kata ya Kidaru, Ndugu Philipo Manguli wa Iramba, mkoani Singida, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.
Mwananchi mmoja mkazi wa Mtaa wa Senti, uliopo katika Wilaya ya Sumbawanga Mjini mkoani Rukwa, ametoa malalamiko yake kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, akieleza kuwa hadi sasa ahadi iliyotolewa na msanii maarufu wa muziki wa Bongo Flava, Diamond Platnumz, ya kuchangia kiasi cha...
Magufuli pamoja na mapungufu yake yote alipenda watu waadilifu wasio na makandokando ndo maana alivyomstukia kondakta alimweka pembeni na kweli kondakta alikua team mtandao.
Je wakati Magufuli mpaka umauti unamfikia huyu Mwigulu alikua ana cheo gani katika serikali ya Magufuli?
Kama alikua...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Machi 9, 2026 akizungumza na wananchi wa Namanyere, mkoani Rukwa ametoa maelekezo kwa Mawaziri kuweka kwenye sheria kwamba mkandarasi anapolipwa fedha zake, zile ambazo si zake ziende moja kwa moja kwa watu waliofanya kazi.
Ametoa agizo hilo baada ya...
Kwa utamaduni wa ccm mtu akishahudumu kwenye nafasi kubwa kama waziri mkuu, spika, makamu wa rais, vyeo hivyo vitamtosha hadi atapostaafu.
Pia kuna utanaduni wa kubadilisha marais kwa dini, akitoka Mkristo ataingia Muislam hasa wa Zanzibar
hawa wote walikuwa wanaonekana kuwa marais 2030 lakini...
Ugomvi au Mwigulu Nchemba na Emmanuel Nchimbi tatizo ni Urais.
Mmoja anajitapa ni mtoto wa Masikini. Kwamba aliua fisi na Chui wakati analinda Ng'ombe hivyo hawezi kushindwa kuwalinda watanzania. Anazunguka Tanzania nzima kujijenga kisiasa na kutenegenza pesa za per diem..
Anaongea kwa kufoka...
https://youtube.com/shorts/MEqA4gkHiEk?si=2gsyCugE6mSwPCdL
Akirusha huu mtungi unaweza kumuokoa au ndio jamaa wamejipanga hata akileta ushahidi gani lazima wamtungue
Namna ya kutatua kero za wananchi. Kutoa maagizo na hata kushughulikia watendaji wa serikali?
Waziri mkuu ndie msimamizi mkuu wa shughuli za serikali.
Marehemu Sokoine alikuwa msimamizi mkuu wa shughuli za serikali. Maana hata maagizo yake yaliogopwa.
Vivyo hivyo kwa Kasim mstaafu ambae juzi...
"Na nikamsikia jana mheshimiwa Waziri Mkuu akisema mimi sibabaiki mambo ya kupendwa na kushangiliwa, mimi sifanyi vitu ili nishangiliwe...yaani hiyo maana yake kwa sisi wanasaikolojia ina maana aliumia, yaani mtu anashangiliwa, Waziri Mkuu mstaafu halafu mimi nipo sishangiliwi! yaani sasa ili...
▪️Mkutano huo unafanyika katika hoteli ya Ngurudoto-Arusha, Februari 24, 2026
📌 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekwamua miradi iliyoshindwa kutekeleza kwa muda mrefu na ameibua miradi mipya katika maeneo ambayo yalikosa maji kwa muda mrefu.
📌 Tunatakiwa tushinde ‘Site’, pale ambapo fedha ipo...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 23, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Majisafi wa Sinya–Namanga unaotekelezwa eneo la Sinya, Longido mkoani Arusha.
Mradi huo unaotarajiwa kuongeza uzalishaji wa maji hadi lita 4,100,000 kwa siku, unatekelezwa na mkandarasi M/s. Zongii Contractors...
Mh. Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania nakukaribisha Arusha.
Tunachokuomba saa ya kusikiliza kero za wananchi, watu wako ndio wapange utaratibu bila kuingiliwa na oote katika mkoa huu Ili haki itendeke uambiwe ukweli.
Mweshimiwa tunakusisitiza wasaidizi wako ndio wapange utaratibu...
Waziri Mkuu akiwa ziara Wilaya ya Same mkoa wa Kilimanjaro, ametatua kero ya mwanaume mmoja ambaye alijenga matundu ya vyoo 22 mwaka 2020 katika shule ya Sekondari Gonja, lakini mpaka leo 2026 alikuwa hajalipwa. Mwigulu Nchemba ameamuru watendaji wa Halmashauri wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya...
Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba
———————————-
Amesema hayo leo Februari 13, 2026 alipokagua na kufungua jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga ambalo ujenzi wake umegharimu sh. milioni 426.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), kwamba ifikapo mwisho wa Februari 2026 awe amefikisha fedha kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika Shule ya Msingi Imani iliyopo Mkata Magharibi, kutokana...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewatahadharisha Watanzania juu ya ukopeshaji wa fedha usio rasmi, maarufu kama "Kausha Damu," akitaja kuwa ni mfumo wa kinyonyaji unaowadumaza wananchi kiuchumi.
Akizungumza jijini Dodoma leo, Februari 5, 2026, wakati akizindua mitaji ya shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.