mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. Carlos The Jackal

    Mwigulu Nchemba, Unavidhalilisha Vyombo vya Usalama,, inamana Vyombo vinashindwa Kuwakamata hao walopanga kupiga Risasi waandamanaji?

    Mwigulu hivi kweli wewe usomi wako ulitokana na Akili KICHWAN? Au baada ya kua Mwanaccm, ukafahaamika, Wakufunzi wako wakaamua kua wanakufaulisha na kukuuzia Ufaulu?. Matendo na Kauli zako mbona unazidiwa na Musukuma wa Darasa la Saba??. Au wee Jamaa una roho mbaya tu inayotokana na Hofu yako...
  2. Waufukweni

    Mwigulu: Wanataka kwenda kushambulia watu kwa risasi wasingizie Polisi, ili nchi ichafuke

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imegundua mipango ya uvunjifu wa amani inayopangwa, na inapochukua hatua wahamasishaji wanakuwa wakali wanatafuta pa kuegemea pamoja na kusingizia vyama vya siasa, huku akifafanua kuwa serikali haina ugomvi na vyama vya siasa. Akizungumza Julai...
  3. Waufukweni

    Mwigulu: Tumezuia mikutano ya siasa kuepusha watu wenye nia mbaya kurusha mabomu na kuua watu wengi

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema hatua za kudhibiti mikusanyiko mikubwa zimechukuliwa baada ya taarifa za kiintelijensia kuonesha uwepo wa watu wenye nia mbaya ya kutumia mikutano hiyo kusababisha madhara makubwa, ikiwemo mashambulizi ya mabomu au ufyatuaji risasi. Kwa mujibu wake, baadhi...
  4. H

    Waziri Mkuu aanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani Mara

    WAZIRI MKUU AANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TANO MKOANI MARA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Seronera, wilayani Serengeti mkoani Mara, kuanza ziara ya kikazi ya siku tano mkoani humo. Katika ziara hiyo itakayofanyika kuanzia leo, Jumatano Julai 1 hadi Julai...
  5. The Palm Beach

    Mwenyekiti wa TCD: Zuio la mikutano ya vyama vya siasa ni halali kwa sababu CHADEMA wanamsema vibaya Rais Samia na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba!

    https://youtu.be/6J2JmIcz8jM?si=yQX0B9XISyGvqc9L Sasa Chawa wamefumka, wanaanza kujiropokea hovyo... Kusema ukweli, hawana hoja. Wako desperate kutetea maovu na uovu wao wakidhani wataokoka. Hawataki kukosolewa. Wanatoka tuwaze na tufikiri kama wanavofikiri wao, ujinga na upumbavu. HAIWEZEKANI...
  6. The Palm Beach

    Je, anatambua uzito wa dhamana ya madaraka yake kweli huyu? Na Je, hujipa nafasi ya kufikiri kwanza kabla ya kusema neno? Something is wrong with him!

    Ni sifa au dongo?👇👇👇 "...Natoa PONGEZI kwa Serikali kwa kugundua MIPANGO MIBAYA dhidi ya nchi yetu. Ili kuendelea KUIMARISHA USALAMA nchini, naiomba Serikali IWALIPE VIJANA FEDHA NYINGI ILI WASIANDAMANE. Nina UHAKIKA, vijana WAKILIPWA hata TZS 20,000 TU kwa kila mtu, HAKUNA KIJANA...
  7. baz kaiza

    Mwigulu unazungumzia rasilimali gani ambazo una uchungu nazo kuzidi wananchi na Watanzania wote?

    Mwigulu amekua na propaganda ya kusema wanaotaka kuandamana wanatumiwa na nchi ambazo zinataka rasilimali zetu. Suala la kujiuliza rasilimali gani hizo ambazo nchi nyingine inazitaka? Waziri mkuu anaongea propaganda miaka nchi inapata Uhuru anaweza kuzitaja hizo nchi au waziri mkuu kutoa...
  8. Nyani Ngabu

    Mwigulu Nchemba acha uongo wewe!

    Wewe Mwigulu Nchemba ni muongo sana. Na inavyoelekea, kusema uongo ni asili yako [pathological liar]. Unadanganya kipumbavu sana. Na kufanya hivyo ni moja ya dalili za kuwa pathological liar. Unaropoka tu kuwa watu wamepewa hela waandamane. Hutoi ushahidi wowote ule. Ukibanwa kidogo tu...
  9. Mwanamwana

    Dkt. Mwigulu: Wamelipwa ili wawapeleke Vijana wa kitanzania Barabarani na Wameleta watu wa kuwapiga hao vijana ili ionekane ni serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 27, 2026 akizungumza na wananchi wa Ikungi, Mkoani Singida amesema Pia soma > Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote Kuna watu wanataka kuwatumia vijana wa Kitanzania kwa maslahi yao binafsi. Kama serikali ambayo tuna wajibu...
  10. H

    Ziara ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba Wilaya ya Ikungi, Singida

    Ni Singida Tena Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 📆 27 Juni, 2026. 🕰️4:00 Asubuhi
  11. M

    Mwigulu: Wanaotumia group za WhatsApp kuchochea vurugu waje wenyewe wasitumie watoto wa Kitanzania kama chambo

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza bungeni leo Juni 26, 2026, amesema Mipango yote ya serikali ikiwe Dira ya Maendeleo pamoja na Bajeti Kuuu ya serikali kwa mwaka 2026/2027 ambayo imepitishwa na Bunge yote hayawezi kutekelezwa bila uwepo wa amani na usalama nchini. Ametoa wito kwa...
  12. L

    Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Awa Mshauri wa Kanisa La Anglikana Tanzania Baada ya Kuridhishwa na Uchapakazi wake. Achangisha Zaidi ya Billion Moja.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita . Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
  13. Waufukweni

    Mwigulu: Maveterani wa Vita vya Kagera kuanza kulipwa Pensheni zao

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa pensheni zao kuanzia mwaka wa fedha 2026/27, baada ya Serikali kukamilisha hatua zote za kisheria na uhakiki wa wanufaika. Akijibu maswali ya wabunge bungeni Juni 18, 2026, Mwigulu alisema Serikali ilitoa...
  14. Waufukweni

    Waziri Mkuu: Unatibiwa Zanzibar ukiwa na NHIF, bila kujali upande wa Muungano

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa yeyote mwenye kadi ya bima ya NHIF anaweza kupata matibabu Zanzibar katika hospitali zinazopokea bima ya ZHIF, na vivyo hivyo kwa Wazanzibari wanaokwenda Tanzania Bara. Amesisitiza kuwa kinachoangaliwa si mtu ametoka upande gani wa Muungano, bali ni...
  15. W

    Mwigulu: Tumianeni maua Whatsapp, hizo hela wapeni wahitaji

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba amesema Serikali inaandaa mpango wakuhakikisha halmashauri zote nchini zinahusika kutoa mchango wa moja kwa moja wa kujikimu kwa walemavu wale ambao hawawezi kufanya kazi ili kujiingizia kipato Dkt Mwigulu ametoa kauli hiyo...
  16. Waufukweni

    Mwigulu: Tanzania haijauza Dhahabu, ni mambo ya Wanaharakati wanaotaka kutengeneza chuki na mizozo ndani ya nchi

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekanusha vikali taarifa zinazosambaa kuwa serikali imeuza dhahabu inayohifadhiwa kama akiba ya taifa, akisisitiza kuwa mkakati uliopo ni kuongeza akiba hiyo na si kupunguza. Akiwasilisha majibu ya serikali mbele ya Bunge jijini Dodoma Juni 18, 2026, Mwigulu...
  17. Waufukweni

    Sigrada: Waziri Mkuu anaenda kusikiliza Walioachana na Waume zao kweli?, Tuwe Serious!

    Sigrada Wilhem Mligo, Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Njombe kupitia CHAUMMA, amehoji bungeni nafasi ya viongozi wakuu kushughulikia masuala madogo ambayo yanaweza kutatuliwa na viongozi wa ngazi nyingine. Akichangia bungeni, Sigrada amesema inashangaza kuona Waziri Mkuu akiacha majukumu...
  18. Mwanamwana

    Mwigulu na Watoto Wake (Joshua na Isack) Jukwaani, Je ni mkakati wa kulinda Legacy ya Kisiasa?

    Habari wakuu, Jana nimeona watoto wa Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba wakivutia mjadala mkubwa mtandaoni baada ya baba yao kuwapa nafasi ya kuzungumza jukwaani. Miongoni mwao, Isack tayari anafahamika kwa kuwa ameonekana mara kadhaa kwenye majukwaa ya kisiasa. Tangu tukio hilo, kumekuwa na maoni...
  19. H

    Waziri Mkuu aagiza bidhaa zilizochukuliwa kwa wafanyabiashara Shelui kurejeshwa mara moja

    WAZIRI MKUU AAGIZA BIDHAA ZILIZOCHUKULIWA KWA WAFANYABIASHARA SHELUI KUREJESHWA MARA MOJA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza bidhaa zilizochukuliwa kutoka kwa baadhi ya wafanyabiashara wadogo wa Tarafa ya Shelui, Wilaya ya Iramba mkoani Singida kurejeshwa mara moja na kuwataka watendaji...
  20. n00b

    Mtoto wa Mwigulu amshukuru Samia kwa teuzi mbalimbali kwa baba yake ikiwemo kuwa Waziri Mkuu

    Wakuu, Mnazionaje siasa za Mwigulu Nchemba na familia yake? Wanatuonaje watanzania?
Back
Top Bottom