mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. Zack Abdul

    Mwigulu Nchemba: Tuombe Mungu atuepushe na El Niño

    Tukumbuke pia kuendelea kumuomba Mungu atuepushe na tishio hili ambalo tumethibitishiwa kwamba ni jambo lililotathminiwa kitaalamu la uwezekano wa kuwepo elinino na tutumie muda wetu wa ibada kuendelea kumuomba Mungu aepushe. Mungu, yeye anaweza kutuepusha na haya yote. Dkt. Mwigulu Nchemba...
  2. H

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba asimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei wa Kanisa la Anglikana Tanzania

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Oktoba 4, 2026, amesimikwa rasmi kuwa Kanoni Mlei (Lay Canon) wa Kanisa Anglikana Tanzania katika ibada iliyofanyika katika Kanisa Kuu Anglikana la Kristo Mfalme Chanika, Dayosisi ya Handeni, mkoani Tanga. Dkt. Mwigulu amesimikwa katika wadhifa...
  3. H

    Mwigulu asisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesisitiza umuhimu wa kurasimisha taratibu za ushirikiano katika shughuli za uchimbaji wa madini kwa kutumia mikataba rasmi, akisema hatua hiyo itasaidia kuweka wazi makubaliano ya pande zinazohusika na kuzuia migogoro. Ametoa kauli hiyo wakati akizungumza...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Mwigulu: Polisi msifumbie macho watu wanaojichukulia sheria mkononi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutofumbia macho watu wanaojichukulia sheria mkononi wakati mwingine hata dhidi ya vyombo vya dola. Ametoa wito huo akiwa Mwibara mkoani Mara leo Oktoba 2, 2026 akieleza kuwa vitendo hivyo...
  5. figganigga

    Nani yupo nyuma na Kuvuja kwa inayodaiwa kuwa “Connection” ya Mwigulu Nchemba? Tutajuaje si feki?

    Je, kuna mtu ana uhakika kama ni halisi? Vipi kama ile Connection ni Ai(Akili kinemba).? Kama ni kweli, kwanini anakosa umakini vitani? Ataficha wapi sura yake?🙈🙈🙈 Tatu: kama kweli Polisi walimshikilia Mbunge wa CCM Mariam Ditopile kwa wiki mbili kwa kinachodaiwa ni tuhuma za kwamba alihusika...
  6. figganigga

    Mwigulu Nchemba awalainisha madereva. Wasitisha mgomo ulodumu kwa siku mbili

    Mwigulu Nchemba amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini. Viongozi hao wamekubali kusitisha mgomo uliodumu kwa siku mbili, ili huduma za usafiri ziendelee kama kawaida. Hata hivyo, serikali imeahidi kuzifanyia kazi changamoto zinazowakabili madereva...
  7. figganigga

    Mwigulu Nchemba kutinga mchana huu Stand ya Magufuli. Kutatua mgomo wa madereva

    Mwigulu Nchemba kukagua hali ya usafirishaji wa abiria na kuzungumza na wananchi pamoja na madereva. Ziara hiyo itafanyika leo, Jumatano, 30 Septemba 2026, katika Kituo cha Mabasi Magufuli, Mbezi Luis, Dar es Salaam. Anayejiita Waziri wa mambo ya ndani Patrobas Katambi hana mvuto wala...
  8. H

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
  9. H

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Kitambulisho chenyewe kama nchi tumeingia gharama, tumeahirisha baadhi ya shughuli za maendeleo ili tutoe vitambulisho. Lakini tunapokuwa tumetoa kitambulisho, halafu mhusika haendi kuchukua, haya ni mambo ambayo yanakwamisha malengo mapana - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Amesema hayo...
  10. Jannatul Firdaus

    Diva the Boss Ailipua Wasafi Media Akidai Stahiki Zake za Miezi Minne, akimtaja na Mwigulu Nchemba

    Mtangazaji mashuhuri wa habari na burudani, Diva the Boss , amejitokeza na kuishutumu waziwazi kampuni ya Wasafi Media kupitia ujumbe mzito alioochapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram mnamo Septemba 15, 2026 . Diva amechukua hatua hiyo ya kuweka wazi hisia zake ili kupaza sauti na kuiomba...
  11. Zack Abdul

    LIVE: Dkt. Mwigulu Nchemba Bariadi Vijijini

    https://www.youtube.com/live/98jEfK7jGzk?si=bb1XzVr-LAZ-EwRF LIVE: Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Septemba 15, 2026 anazungumza na wananchi wa Jimbo la Bariadi Vijijini, Mkoani Simiyu. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Simiyu kwa Ziara ya Kikazi.
  12. H

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeondoa sheria iliyokuwa ikiruhusu mifugo ya wananchi kutaifishwa na kuelekeza mapitio ya sheria na kanuni nyingine zinazohusiana na mifugo. Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani Simiyu. 📍Itilima - Simiyu. 📅 Septemba 14, 2026.
  13. H

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika.. - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Serikali imeelekeza zaidi ya Sh 1.4 trilioni katika Mkoa wa Simiyu katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Sita, katika utekelezaji wa miradi ya umeme, barabara, maji, elimu na afya. 📍Itilima-Simiyu 🗓️Septemba 14, 2026 —————————— Amesema hayo wakati akizungumza na wananchi wa Itilima, mkoani...
  14. Dalton Elijah

    SI KWELI Rais Samia Suluhu Hassan, Mwigulu Nchemba, na Mo Dewji watajwa kwenye uwekezaji wa Tembo wealthveld mtaji ni kuanzia Tsh 665000

    Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania likidai kuwa “The Financial Council has approved a new income system” inayofanya fanya kazi na NMB Bank Plc pamoja na Serikali ya Tanzania. Chapisho hilo linawataja Rais Samia Suluhu Hassan, Mohammed Dewji na Mwigulu...
  15. H

    Karibu Simiyu Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Karibu Simiyu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. 📆 13 -16 Septemba, 2026.
  16. F

    Mwigulu hata angevaa ramani ya Tanzania hamshawishi mtu kuwa rais Tanzania

    Kila anapotoka nyumbani kwake, waziri mkuu Mwigulu lazima avae tai yenye rangi za bendera ya taifa. Anajionyesha kama mzalendo wakati ni chawaa tu. Je, hili wadau huwa mnallichukuliaje kwa vile sisi ndiyo wapiga kura wenyewe? Nawasilisha baba yenu.
  17. Zack Abdul

    Shekh Mwaipopo amtabiria makubwa Dkt. Mwigulu Nchemba

    Shekh Mwaipopo amemtabilia makubwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akimpongeza kwa elimu na usomi alioupata katika ngazi ya chuo kikuu. Amesema mafanikio ya Dkt. Mwigulu yamechangiwa pia na nidhamu, kujituma, uwezo wa kuwasikiliza wananchi na...
  18. Roving Journalist

    Responded Mwigulu Nchemba: Maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa mwaka huu wa fedha

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978. Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo...
  19. H

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mbunge wa Songwe, Philipo Mulugo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 1, 2026.
  20. H

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Agosti 31, 2026 ameshiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Agosti 31, 2026 ameshiriki Kikao cha Nne cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.
Back
Top Bottom