mwezi

  1. JamiiForums Tanzania Hoja ya maji Nyamagana kukosa, MWAUSAWA yasema "Huduma inaendelea kila wiki kadri migao inavyotekelezwa"

    Baada ya Mdau kuanzisha hoja hii - MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji ufafanuzi umetolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuhusu hoja hiyo: MAJIBU YA MWAUWASA... Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ubungo: Vyoo vya Soko la Stendi Mawasiliano (Simu 2000) bado havifanyi kazi mwezi wa 6 sasa, vimegeuzwa stoo

    Zaidi ya miezi sita imepita tangu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo itoe taarifa kwamba inafanyia kazi changamoto ya vyoo vilivyopo katika stendi ya mawasiliano, pembezoni mwa Soko la Maindi. Nasikitika kusema kwamba hakuna kilichoendelea hadi sasa. Vyoo hivyo bado havifanyi kazi na kwa sasa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo ndani ya CHADEMA, huenda John Heche akajiuzulu kabla ya kubanduliwa madarakani na mkutano wa baraza kuu la chadema taifa mwezi ujao..

    Kwasababu, mpaka sasa uhakika wa makamu mwenyekiti wa chadema taifa John Heche kuvuliwa nyadhifa zote za uongozi ndani ya chadema taifa na Baraza kuu la chadema taifa September 15 ni 100%. Pendekezo la azimio la kumbanudua John Heche madarakani linaungwa mkono na asilimia kubwa ya wajumbe wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Ufundi Polisi kuna shida gani vyeti vya HGV havitoki tangu tusome mwezi wa 5

    Madereva tuli itikia wito wa serikali wa kututaka turudi darasani kupata elimu ya usalama bara barani lakini shida inakuja kwamba sisi tumesoma intake ya 9 kuanzia tar 18 mwezi wa tano mpaka leo hii hatujapata vyeti. Mabosi wamewapa magari yetu watu wengine, tuna familia, tunategemewa jamani...
  5. JamiiForums Tanzania Mpaka mwakani mwezi wa sita nisipooa, nitawajaza sana mimba

    Nimechoka wakuu Kazi,majukumu na miangaiko nikajiwekea ngoja nitafute chapaa kwanza niache kuoa mpaka nitakapojipata, nikajiwekea nisipate mtoto mpaka nitapojipata nioe kwanza ndio niangaike na kujenga familia Sasa naona umri umeshaenda kibunda hakipatikani kadri mda unavyoenda naona...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimechoka na huduma ya Parimatch Tanzania, mwezi mzima bila majibu ya kweli

    Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania. Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku ninapowasiliana na huduma kwa wateja, napokea majibu yale yale yanayojirudia kama yamenakiliwa. Hakuna...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka

    Mtaa wa Mayengela uliopo eneo la Kishiri-Igoma, Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza tuna kero yetu ambayo imekosa ufumbuzi kwa miezi kadhaa sasa. Tangu Machi 2026 hadi sasa hivi Agosti 2026 ni takriban miezi minne kamili, Mtaa wetu wa Mayengela hauna huduma ya maji safi kabisa, Wananchi tunapitia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa muda (Part-Timer) – Chuo cha UDOM, mwezi wa 5 sasa tunasotea malipo yetu

    Nimekuwa mmoja wa Walimu wa mkataba (part-timers) katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kazi yetu kuu ni kusaidia kufundisha wanafunzi wa kozi za Diploma ya Famasia (Pharmacy) na Diploma ya Maabara ya Tiba (Medical Laboratory Sciences) chini ya Shule Kuu ya Tiba (School of Medicine). Wengi...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji 260,000k Tarehe 18 mwezi huu naombeni kazi au mchongo mpaka tarehe hiyo niwe nimepata hiyo hela

    JF Jeshi kubwa Niko hapa sihitaji mnipe Hela naombeni kazi au shughuli ya kufanya Ili mpaka kufikia tarehe tajwa hapo (Laki mbili na elfu stini za kitanzania) niwe na kiasi hicho Cha Pesa. Nipo Pugu Kinyamwezi hapa msaada wenu ni WA muhimu Sana. Thanks in advance
  10. JamiiForums Tanzania Bodaboda aingiza Milioni 1.1 kwa mwezi

  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walinzi katika Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama wamekuwa kero kwa Wananchi, tunaomba msaada

    Habari, Naomba kutumia nafasi hii kuwasilisha kero kuhusu adha wanayopitia wakazi wa Mtaa wa Kidete, Manispaa ya Kahama. Kwa muda sasa, wakazi tumekuwa tukivamiwa na kusimamishwa mara kwa mara barabarani na baadhi ya walinzi wa eneo hili. Badala ya kubaki katika maeneo yao ya kazi na...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa ajira mpya Babati hatujalipwa fedha za kujikimu kwa miezi mitano

    Walimu wa ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati bado hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuanze kazi miezi mitano iliyopita. Hadi leo hatujapokea malipo hayo wala hatujapatiwa taarifa rasmi kuhusu lini tutalipwa. Tunaomba mamlaka husika zitolee ufafanuzi na kutatua changamoto hii...
  13. JamiiForums Tanzania Unabii wa mwezi wa 8

    🔊 UNABII WA MWEZI WA 8 Mwezi wa 8 naona ukiwa mwezi wa utulivu, lakini ndani ya utulivu huo kutajitokeza mambo makubwa. Naona mbingu zikitulia ili kuleta majibu kwa wengi wanaomtafuta Mungu kwa imani. Maono niliyoandika leo: 1. Naona tasnia ya Bongo Fleva ikipata pigo kubwa. 2. Naona katika...
  14. JamiiForums Tanzania Nina idea ya HIV POSITIVE CARRIER MARATHON itafanyoka Dodoma siku na tarehe kama ya leo mwezi wa 11.

    Nipo siriaz na nitajaza Dodoma mara kumi zaidi ya leo. Wadau na ambao mpo siriaz mnifuate PM NB: Hii idea kama IP ipo copyrited. Nawasilisha nikiwa na moet 3 pembeni hapa ya mfanyakazi wa zamani wa zile ndege za Dar to mbeya kwa elfu 60,000/=.
  15. JamiiForums Tanzania Nauza mbegu za kiume narudi Tanzania mwezi august

    Narudi bongo mwezi august natoa HUDUMA ya kuuza mbegu za kiume Kwa wanawake hii nimeikuta USA nakuja nayo Tanzania mloganzila wanapandikiza wanawake mbegu kama sikosei. Ila kutokana na mazingira ya Tanzania kutokuwa salama kiutekaji hii inakuwa changamoto.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nyie mmepata mshahara wa mwezi huu wa saba?

    Wakuu humu ndani vp mshahara wa mwezi huu wa saba mmepata? Mimi mbona kwangu ni bila bila sijaona meseji?
  17. JamiiForums Tanzania Marekani kutumia trilioni 98.9 Tzs katika vita dhidi ya Irani hadi mwezi Septemba 26

    Haya ndio makadirio ya gharama ya vita vinavyoendelea dhidi ya Irani. Unaweza kuona ni namna gani duniani tunavyotifautiana na hivyo tusipende kukopi na kupaste yaliyopo nje na kutaka yatumike hapa kwetu. Bado tunayo safari ndefu ya kujipanga na kutekeleza. KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA! ==...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Marekani single mothers wanalipwa milioni 2.5 kwa mwezi, hela ya kujikimu, Tanzania tunawapiga vita

    Single mothers ni wahanga, sio wa kulaumiwa.! Single mothers ni wahanga wa kuachwa na wanaume wasiotaka kubeba majukumu yao, wapenda starehe bila gharama, wanaume Hawa ni mzigo kwa taifa Katika nchi zinazotambua hili, single mothers wamekuwa walipewa hela ya kujikimu kila mwezi, zaidi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Weekend Nyingine Karibuni! Demu huyu ntamtawanya na sitataka demu tena hadi mwezi uishe

    Siiweki picha yake ni mtu maarufu mtamsumbua, kaja leo amataka akae weekend Mzima wakati nina ratiba Nyingine kesho Mpaka week inaisha itakuwa Powa Ila sijui wanataka nini hadi nimechoka ,
  20. W

    JamiiForums Tanzania Kipato changu ni 400k na marupurupu 300k kila mwezi. Nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi na maziwa ili kidogo nipate chochote

    Awali ya yote ashukuliwe Mungu Mkuu atoaye pumzi na afya. Wadau najua wataalamu na wafanyabishara wamo humo ndani naombeni ushauri kama nilivyoeleza hapo juu kuwa kipato changu na nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi je hiyo pesa inatosha kwa mtaji na ni vitu gani hasa vinahitajika ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…