mwenzetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    TANZIA MwanaJF mwenzetu QUIMICA amefariki dunia

    Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu. Kwa masikitiko naleta kwenu taarifa za msiba wa member mwenzetu wa Jamii Forums, aliyekuwa akitumia ID ya Quimica. alikuwa akipatiwa matibabu hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili, amefariki usiku wa kuamkia leo. "Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana...
  2. M

    Umma wa Mtume wetu, Hata la Ushoga halitufanyi kukemea uongozi wa mwenzetu?

    Nafahamu, Yapo mambo mengi ambayo wenzetu huungana kuyakemea na au kuyatetea kwa nguvu zao zote ambayo mengine mengi ni kwa manufaa ya umma wote wa Watanzania bila kujali itikado zao Suala hili la ushoga kuenea kwa Kasi na kujitangaza kwa waziwazi mitandaoni limeanza kwenye utawala huu wa...
  3. Etwege

    Paul Makonda kumbe hukuwa mwenzetu?

    Sasa ni dhahiri Paul Makonda wa mwaka 2016 -2020 akikutana na Paul Makonda wa enzi ya Rais Samia watauwana kwa kipigo kwani ni watu wawili tofauti kabisa kimtazamo na misimamo! Paul Makonda wa enzi ya Rais Magufuli alikuwa anawataja hadharani wauza madawa ya kulevya na mashoga, Paul Makonda...
  4. H

    Kutekwa Kwa Twaha Mwaipaya: Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote ya polisi Wala Serikali wakati ni mtanzania mwenzetu

    Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo hayana maadili Serikali ilireact haraka kupitia waziri Gwajima na Sio tu hili mambo mengi ambavyo...
  5. Superbug

    TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu?

    TBC mnazungumzia kuporomoka gorofa Kenya vipi kuhusu kutekwa kwa mtanzania mwenzetu Twaha Mwaipaya hiyo sio habari kwenu? TBC hivi kutekwa KWA TWAHA MWAIPAYA sio habari kwenu?
  6. Miss_deejjah

    Mpangaji mpya

    Ni hivi wakuu, hapa napokaa tuko wapangaji wa 4 design kama apartment flan hv.... Sasa Kuna mpangaji wakiume alihamia muda Si mrefu aliniomba niwe namsaidia kupika chakula Cha jioni akitoka kazin awe ananilipa, kutokana na Kaz yangu saa nane tu nakuwa Niko nyumban na sna majukum meng...
  7. Uhuru24

    Member mwenzetu hatunae

    Maisha ni mafupi sana,tupendane maana hakuna chenye thamani duniani zaidi ya uhai. Uhai wa mtu haufananishwi na kitu chochote,hivyo hatuna sababu ya kuishi kwa kuumizana,kutesana. Tumuombee member mwenzetu Mwenyezi Mungu ampokee. MARANGU MOSHI
  8. Megalodon

    Hongereni MAT kwa kusimama na Mwanataaluma Mwenzetu; Afande Muliro ameudanganya Umma

    Jambo ambalo lipo wazi hakuna watu WAONGO kama polisi wa Tanzania na ni kama uongo wao unalindwa na sheria . Changamoto nyingine Polisi wengi wa Tanzania ni form four failures just as Muliro Jumanne . Nadhani kwa sasa tuna degree holders wengi tutoke kwenye form four failures ! Hatujaona...
  9. TheForgotten Genious

    Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka wapi, na jamaaa alikuwa anawahi kazini mloganzila. Taarifa ni kwamba yupo hospital ICU, sasa ndugu...
  10. A

    KERO Responded Mwenzetu Warioba yupo ICU - Hospitali ya Kwangwa, Watumishi wanatubambikia bili zenye harufu ya Rushwa

    Rafiki yangu anaitwa Warioba Josephat Butiku, sote ni Wakazi wa Butiama, Mkoani Mara, juzi alishambuliwa na watu kadhaa kutokana na masuala ya mifugo, alienda kuchukua mifugo sehemu fulani akapishana kauli na hao watu ambao walianza kumshambulia na kumuumiza vibaya. Kwa sasa anapigania maisha...
  11. BIOTOXINS

    Mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari

    Tunaendelea kutafakari condition zake hapa nimepata picha kamili 1.Heche na Tundu Lissu ni very strong person 2.Msigwa kurudi Chadema Kuna namna hakupaswa kupokelewa 3 Tuhuma za Heche kuwa amekula pesa ni za uongo na zipuuzwe In origin Mwenzetu mmoja anatafakari Ina maana...
  12. Sifi Leo

    Ewe mkiristu mkatoliki, fikilia mazingira aliyonayo Tundu Lissu mkiristu mkatoliki mwenzetu, je Askofu Rwaich una hata padri wa kumsalisha?

    Sasa labda ili tuliweke kiudini maana tukiliweka kitaifa TUNAKUTANA na mijitu kama yule shekhe sijui nani, pasipo kumsaau shekhe majini.r.i.p. Wakatoliki tunayo Nafasi ya kutafakari matendo anayotendewa mkiristu na mkatoriki mwenzetu na sisi tupo kimnya tuna maana Gani?;
  13. Eli Cohen

    Its 2026, elon musk anatengeneza kifaa cha kusaidia vipofu kuona meanwhile bongo bado mambo ni haya

    Ukijaribu kusema unaambiwa hata wazungu wana uchawi wao😬 anyway, maisha yaendelee.
  14. MakinikiA

    Muafrika mwenzetu huyu anatueleza haya

  15. Roving Journalist

    Wakili Mwambukusi: Tundu Lissu siyo mhaini, WAMTOE, hatutakubali mwenzetu aendelee kuonewa

    Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi amesema hayo tarehe 30 Aprili 2026 wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
  16. Dr Adam Francis

    Vijana tujifunze kutoka kwa huyu mwenzetu

    https://vt.tiktok.com/ZSH7Bamqd/
  17. M

    Mtanzania mwenzetu anatufuta ndugu zake. Anayemfahamu asaidie.

    Alipata ajali akapoteza kumbukumbu
  18. Superbug

    Wakati tunachukuà mazoezi ya kikomandoo kuruka toka kwenye ndege mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka akafa

    Kozi ya paratruping Zimbabwe iligharimu maisha ya mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka na ya emergency ilikuwa na hitilafu alidondoka umbali wa futi kama 500 akafa. Leo ni kumbukumbu. Miaka kadhaa nyuma.
  19. Chizi Maarifa

    Mwafrika mwenzetu akielezea uzoefu wake katika Jeshi la Urusi wakipigana na Ukraine

    Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu. Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of...
  20. Mad Max

    Hii Gari Millioni 12.8 anauza kweli uyu Mwanetu?

    Nimekutana na hii tangazo, jamaa anauza BMW 3 Series kwa Tsh Mil 12.8 tu! Sema kwa maelezo yake kasema hii ni 2009 Model, ila katupiga. Huo mwaka BMW walifanya LCI (life circle impulse l, yaani kama update au refresh ya iyo model) na change ina mabadiriko kwa nje na ndani, mfano picha: Izo...
Back
Top Bottom