saikolojia, ushirikina, kumuomba Mwenyezi Mungu, na juhudi binafsi. Vinanyafaje kazi
1. Saikolojia
Saikolojia inahusu jinsi mawazo, hisia na imani zinavyoathiri tabia na maamuzi ya mtu.
Mfano: mtu akiamini anaweza kufanikiwa, anaweza kuwa na ujasiri wa kuchukua hatua. Akijiaminisha kuwa hawezi...
Sifa zote ziende kwa mwenyezi mungu muumba mbingu na dunia. Vyote tuvionavyo duniani ni mungu alipanga na kiliandikwa kwenye kitabu cha enzi cha Mungu.
Binadamu wewe ni nani kuanza kuhoji au mpaka kukejeli muonekano wa kiumbe cha mungu kama sio ushetani ni nini. Hii ardhi ni ya mwenyezi mungu...
Ogopa MATAPELI sijasaini LABEL yeyote nipo kwenye Label yangu ambayo taitambulisha hivi karibuni 7 october.
Hii ndo siku inshaallah taweka wazi, picha ya MSANII, jina la msanii, na jina la label yangu, itafatiwa na ufunguzi wa mitandao ya KIJAMII.
November 6, nitatambulisha rasmi ep yangu ya...
Ngamia hachinjwi hovyo hovyo kama wanavyochinjwa wanyama au ndege wengine.
Ngamia ili achinjwe lazima asomewe dua na aridhie kuchinjwa na anaye msomea dua asiwe mtu wa makando kando mengi kinyume na hapo ataumbuke peupee.
Hii iliwahi kutokea hapa hapa TZ kuna masheikh walikesha kuomba ili...
Ndugu zangu wa JamiiForums, amani iwe kwenu.
Leo nimeona niwaletee mada hii kwa ajili ya tafakari ya kina kuhusu sifa ambazo wanadamu wanampa Mungu. Katika maisha ya kila siku, tunajua kuwa sifa njema ni haki ya Mwenyezi Mungu, lakini ukweli ni kwamba sio kila sifa ambayo wanadamu wanamsifu...
Nimelelewa katika familia yenye maadili, wazazi wangu walipenda nisomee mashaallah kitu ambacho nimekikamilisha japo bado sija fika wanapo taka.
Kutokana na changamoto za hapa na pale rasmi, nimeona nijaribu na kwingineko, nimefanya sana biashara lakini naona kila kitu na mtue, hivyo rasmi...
NB: Nina Akili Ndogo Sana.
Nitamchukia saana binadamu yoyote yule, hususan Kiongozi mkuu kama vile Mzee Kikwete siku akinikosea yeye, mkewe au mtoto wake personally.
Ila Kwa maneno ya mitandaoni bila "concrete evidence" kamwe siwezi kumchukia yeye, mkewe au watoto wake.
katika Uislamu uchawi na kuroga (sihr), Qur'ani na Hadithi nyingi za vitabu zinakataza kabisa kujihusisha na masuala ya uchawi, au kwenda kwa waganga kwa ajili ya kuroga, au kutumia nguvu za kishirikina kwa ajili ya kumdhuru mtu, muislamu anatakiwa asimtafute mchawi wala asiroge, hata kama...
Mwenyezi Mungu amesema:
"Basi ni neema zipi za Mola wenu mnazozikanusha?" (Surat Ar-Rahman 55:13)
Hili ni swali ambalo Qur'an imelirudia mara nyingi ili kumfanya mwanadamu atafakari.
Leo kuna watu wanaokubali historia iliyoandikwa na wanadamu, wanaamini nadharia nyingi zisizo na ushahidi wa...
Pumzika kwa Amani Temba ndio umekufa kifo cha kikatili sana sidhani kama uliwahi kufikiria utakufa kifo cha kikatili hivo.
Poleni sana wana familia wa Temba Mungu awe faraja kwenu kipindi hiki kigumu hakika ni msiba mkubwa sana kwenu na kwa wapenda haki na amani.
Lakini kupitia kifo cha Temba...
Wanabodi,
Mimi ni mmoja wa wanabodi, mara moja moja siku za Jumapili, nitakuwa nawaletea nyuzi za mambo ya powers.
Mamlaka Kuu kabisa ulimwenguni ni Mungu, kwa majina tofauti tofauti, Mungu Baba, God The Almighty, Mwenyeezi Mungu Subhanna wa Taalah, Allah, Yehova, Jehova, YEYE, I AM, etc...
Huku duniani tumekuja kuchuma ila matumizi ya kile tulichokichuma tutakuta huko maisha ya peponi.
Kila mmoja atapata neema ya pepo kulingana na thawabu alizozichuma huku duniani.
Mitume ya Mwenyezi Mungu ipo mingi sana ila wapo wale mitume ambao daraja lao ni kubwa zaidi kuliko wengine mfano...
Hivi ulishakaa na kujiuliza Mwenyezi Mungu ametokea wapi?
Na ilikuwaje kuwaje akawaza kuumba .
Je maisha ya upweke aliishi kwa muda gani kabla hajaumba malaika ,wanadamu na majini na viumbe wengine.
Hiyo infinity past unaichukuliaje?
Nini kitatokea hao aliowaamini nao wakakengeuka? Hapa...
Si kila binadamu atapata bahati ya kumuona Mwenyezi Mungu.
Watakaobahatika kumuona Mwenyezi Mungu ni wale tu waliokidhi vigezo na kufuzu mitihani waliyopewa hapa duniani kubwa zaidi kukamilisha kile walicholetewa duniani ambacho ni kuabudu.
Hii ni kitu special sana, tukija hata kwenye maisha...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kuelekea mwisho wa mwaka nimekuwa nikitoa baraka kwa watu wote
Lakini leo ni special kwa dada yangu Yasinta Makwabe
Ubalikiwe na KRISTO YESU anayekuja
SAYUNI BOY
Mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook ameweka wazi maono ambayo amedai kuoneshwa na Mwenyezi Mungu.
"Mwenyezi Mungu amenifunulia kwamba njama zote za kuivuruga Tanzania hazitafanikiwa! Amenionesha kuwa ameyafunga maandamano yoyote yale Tanzania na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.