Chama Cha Mapinduzi Kwa miaka zaidi ya mitatu walifunga milango ya fahamu waliyopaswa kutumia kuwasiliana na Mwenyenzi Mungu kumwombea hekima wakamruhusu shetani atumie ndimi zao kupandikiza chuki baina ya wanaomwamini Mungu na wanaoamini madaraka. Viongozi kadhaa wakiwemo UVCCM walitoka...
Hii ndio Kashfa mpya inayozunguka kwenye Manispaa hiyo kwa sasa , ikiwa ni siku chache tangu kashfa ya Mwenyekiti wa ccm wa wilaya hiyo kutafuna zaidi ya sh. mil 300 za vikundi kuibuliwa.
Mstahiki Meya Abdallah Ntinika anatajwa kuwashawishi kwa nguvu kubwa viongozi wa Manispaa hiyo ili Waiuze...
Msiba wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Shambe Sagafu aliyefariki mwanzoni mwa wiki ,uligeuka kuwa uwanja wa siasa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Moshi Mjini, Alhaj Omar Amin Shamba kuwashambulia kwa maneno makali baadhi ya makada wa Chama hicho waliojitosa kuomba kuteuliwa na chama hicho...
Ndio habari ya mjini kwa sasa mrithi wa gwiji la siasa za Tanzania Maalim Seif Sharif Hamad sasa ni Juma Duni Haji ambaye anavaa rasmi viatu vyake
Wanampokea kule kisiwani Pemba na uongozi wa juu kabisa Ndugu Zitto Kabwe
Mwenyekiti wa Mtaa wa Hasanga kata ya Uyole jijini Mbeya, Justine Namwinga (47) ameuawa na watu wasijulikana usiku wa kuamkia leo Januari 31 na kisha mwili wake kutelekezwa nje ya nyumba yake.
Akizungumza akiwa nyumbani kwa marehemu baba wa Justine, Hance Mwashembele amesema kuwa usiku wa...
Mwaka kesho 2023 ndo muda ambao mwenyekiti Mbowe, aliazimia utakuwa mwisho wake kuwa Mwenyeketi wa Chama Chetu.
Kwa hali ilivyo now, bado tunamuitaji Sana Mbowe Kama mwenyekiti, akilazimisha kuachia ngazi, wanachama tumlazimishe we still need him. ATA uko upande wa pili kina Mangula na Kanali...
Nimekuwa nafuatailia siasa za hiki Chama takriban miaka ishirini iliyopita. Kama sikosei hiki chama nafasi ya Mwenyekiti imewahi kuwa na wenyeviti watatu ambao wawili kati yao ni mtu na Mkwe wake yaani Freeman Mbowe na Mzee Edwin Mtei.
Kutokana na kelele nyingi saana toka ndani ya chama kutaka...
Jana nilishtuka baada ya kumsikia aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai na Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama wa eneo hilo akidai kuwa kesi yake ya Uhujumu uchumi ni ya "Kutengeneza"
Nabaki najiuliza kumbe kuna kesi halisi na kesi za Kutengeneza?
Kwa wadhifa aliokuwa nao Ole Sabaya serikalini...
Suala la soko la Karume kuungua moto ikiwa ni muda mfupi tu baada ya soko la kariakoo kuungua moto linaweza kuja na taswira mpya ya baadhi ya watendaji kuwajibishwa.
Moja ya watendaji ambao naona wakiwajibishwa ni RC wa DSM ikiwa ni njia ya kuponya majeraha ya maumivu kwa machinga.
Naona pia...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mnamo tarehe 17/2/2020 Chama chetu kiliondokewa na aliyekuwa Mwenyekiti wake wa Taifa hayati Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa mujibu wa ibara za 84(4) na116(4) za Katiba ya ACT Wazalendo (Toleo la 2020) nafasi hiyo inapaswa kujazwa ndani ya miezi kumi na mbili (12)...
Salaam Wakuu,
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri.
Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
hawana
ikulu
kabudi
kamati
katibu
kazi
kiongozi
kiuchumi
kufanya
kunisaidia
lukuvi
mawaziri
mikataba
mkuu
mpya
mwenyekiti
mzee
rais
samia
serikali
shughuli
sura
utamaduni
vijana
waziri
waziri mkuu
Nimemsikiliza Lema na wana Ufipa wengine bado naona Chadema hakijifunzi kwani ni wepesi sana kuhamishwa, hakina senta of interigensi, usemaji, mipango, mbinu, inafikia hatua wanasahau kama mwenyekiti anatupia ndoo.
Huu ulikuwa wakati mzuri sana wao kutulia na kukiangalia kimbunga cha CCM na...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Tundu Lissu leo, January 7, 2022 saa 4:00 asubuhi, saa za Afrika ya mashariki, amezungumza na waandishi wa habari.
Chanzo: Chadema Media
https://www.youtube.com/watch?v=WgIY7Q7w2uM
=====
Ndani ya CCM ulizaliwa mfumo wa wabunge kupita kwa hisani ya Mwenyekiti, mfumo huu unakenda kuzima mabishano ya hoja.
In long-run hakutakua na kiongozi nchini atakayetoboa bila kumnyenyekea mwenyeti, na kwa mantiki hiyo tunaelekea kipindi ambacho malengo yako kisiasa utafikia pale tu...
Kama CCM ingekuwa na Mwenyekiti wa Taifa tofauti na Rais wa nchi hali isingekuwa kama ilivyo sasa ya msuguano ndani ya chama. Ndugai kama Mkuu wa muhimili wa Bunge angekuwa na uhuru wa kumkosoa Rais na Rais angeweza kujibu hoja bila jazba. Aidha Rais angeweza kukosoa udhaifu wa Bunge na Spika...
Kudandia masuala ya mpito kunaigharimu Chadema kila siku.
Mtifuano wa Spika Ndugai na mkuu wake wa nchi kunawafanya Chadema kushupalia hii mtifuano.
Wanasahau kuwa kama chama wao wanamatatizo makubwa mno maana mwenyekiti wao na mentor wao wa kila kitu yupo nguvuni. Na kwa yeye kuwa nguvuni...
Ukiona bosi wako kaamua kukufikishia ujumbe kwa uchungu na tena ikizingatiwa ana moyo wa nyama ni dhahiri anakupa nafasi ya kujipima na kujihukumu mwenyewe. Na mara nyingi njia hii hutumiwa na mkosaji ili kulinda heshima na urafiki wao( Rejea kuondoka kwa waziri mkuu 2008)
Kwa mamlaka yake...
Ni mambo ya hovyo sana, na yalianza awamu ya tano na awamu ya sita wanayatenda. Kwao mwenyekiti kwanza, then chama halafu masilahi ya nchi na wananchi baadae. Kimekuwa chama cha hovyo kinachokumbatia na kuabudu ukuu wa mwenyekiti wa chama kuliko utaifa wetu. Chama hiki hakina tena tofauti na CCP...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.