mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Wanaccm wenzangu tambueni takwa la katiba Sio la CHADEMA ni la wananchi na wenye nchi ambao hata Mwenyekiti anawajibika kwao

    Makomredi Tusipoteze muda kwa kupiga sarakasi na kufanya uharamia kwa vyama vya siasa vya upinzani nchini. Tutambue takwa la katiba ni la wananchi na wenye nchi ambao Mwenyekiti wetu anawajibika kwao. Tumshauri aachane na sarakasi za kuzuia mchakato huo kwa visingizio visivyo na mashiko...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Cheo cha mwenyekiti wa tawi CCM kina fursa gani?

    Hiki cheo kina fursa gani maana nimeona kwenye tawi fulani jirani na home kulikuwa na msuguano kwelikweli.
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Walichofanya wajumbe wa Baraza Kuu CHADEMA ni Uhuni! Mimi ni CHADEMA, nitaendelea kuwa CHADEMA

    Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Mdee na wenzake wasipewe vyeo CCM

    Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika kupunguza kura leo wanafikiriwa zaidi. Kuna wale wabunge 19 wa CHADEMA ambao maamuzi pengine...
  5. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Bodi Simba Jitafakari

    Tuwe wakweli, Simba haina consistence kwenye uchezaji kiasi sisi kama mashabiki wa Simba kea msimu huu tunaishi kwa matumaini zaidi kuliko tunavyopaswa tuishi. Simba inaweza kucheza mpira kwa kiwango cha juu sana katika game A lakini ikaja kucheza mchezo mbovu usio mfanowe kwenye game B. Hili ni...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Bonyokwa Dar - Mwenyekiti wetu wa mtaa hataki kuanzisha ulinzi shirikishi wananchi hatuna lu kumfanya

    Tumepiga kelele weee kwa kutizama yanayotukia mitaa mingine ya dar, tukimsihi mwenyekiti kuanzisha ulinzi shirikishi mtaani kwa wasio na mda wa kulinda kuchangia na wasiopenda kuchangia kupangiwa zamu za kulinda wenyewe wala mwenyekiti hana habari. Tunaomba viongozi watusaidie kinga ni bora...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya naibu mwenyekiti CCM (Bara)Barakoa zimepuuzwa?

    Nipo hapa naangalia TV live mapokezi ya makamu mwenyekiti ccm bara, Ndugu Kinana... kilichonishangaza ni kuwa hakuna hata mjumbe hata mmoja aliyevaa barakoa...hata meza kuu hawajavaa...Sasa ndio wamepuuza uvaaji wa barakoa au mpaka mwenyekiti awepo ndio wanavaa..
  8. Jaji Tz

    JamiiForums Tanzania Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara

    Dar es Salaam tunakutana eneo moja tu Diamond Jubilee... Makamu Mwenyekiti CCM Taifa -Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana kesho tarehe 10 April 2022 kupokelewa na kutambulishwa rasmi kwa wana - CCM na Watanzania kwa ujumla wake, Kinana anayetajwa kama mwanamikakati hatari zaidi kusini mwajangwa...
  9. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima alimuuliza yeye kama mtabiri, anatabiri nini kwenye utawala wa mama Samia baada ya kutabiri ubatizo wa...
  10. Ileje

    JamiiForums Tanzania Bashiru kusuka au kunyoa - ni baada ya Kinana kuteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM

    Itakumbukwa mwaka 2019 aliyekuwa Katibu mkuu wa CCM Bw. Bashiru aliwapuuza na kuwafananisha na mpira wa chandimu makatibu wakuu waliomtangulia Makamba na Kinana. Aidha aliwaambia wahamie upinzani kama hawawezi kwenda na kasi ya CCM mpya. Haya yalitokea baada ya Wazee hawa kulalamika kuwa simu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kesho Machi 31, 2022

    MWENYEKITI WA CCM NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU KESHO. Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Samia Suluhu Hassan ataongoza kikao Cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, tarehe 31 Machi 2022 Jijini Dodoma katika Ukumbi wa White House.
  12. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania CCM chini ya Mwenyekiti wake Samia Suluhu Hassan iko imara kuliko kipindi chochote

    Toka Chama cha Mapinduzi kuundwa mwaka 1977 kimepita baada ya kuunganishwa kwa vyama vya Tanganyika African National Union na Afro - Shiraz, CCM imekuwa Imara, Bora na yenye mshikamano kuanzia ngazi ya chini kabisa mpaka ngazi ya Taifa kuliko kipindi chochote cha uhai wa CCM. Kabla Mama Samia...
  13. voicer

    JamiiForums Tanzania Je, Kibatala ni kumtetea Mbowe tu, Wanachadema wengine wapambane kivyao?

    Jambo all Member's JamiiForums! Tumeshuhudia rundo la wanasheria wakiungana kumtetea mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Mbowe na makomandoo wake. Kwenye kesi aliyofutiwa na DPP hivi karibuni. Lakini, Tunaambiwa na uongozi wa Chadema kupitia media mbalimbali kwamba kuna rundo kubwa sana la...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mwenyekiti wa Uvccm Dar anajitambua kweli? Yaani hii katiba ya sasa ya mwaka 1977 ndio imemuachia huru Mbowe?

    Nashindwa kuelewa kama ana akili timamu au labda ni shule haimo kichwani. 👇
  15. econonist

    JamiiForums Tanzania Rais asiwe Mwenyekiti wa chama ili kuleta Ushindani wa Haki wa kisiasa

    Ni muhimu kuwepo sheria ya uchaguzi ambayo itakataza Rais wa nchi ya Tanzania asiwe Mwenyekiti wa chama chochote Cha siasa wakati anagombea na wakati akiwa madarakani. Hii itasaidia Rais kujiweka asilimia Mia moja kwenye Mambo ya serikali na sio chama. Pia itamsaidia Rais kutokupendelea chama...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Serikali ya Mtaa Bonyokwa atuhumiwa kuhifadhi wahalifu!

    Serikali ya Mtaa wa Bonyokwa iliyopo Kata ya Bonyokwa katika Manispaa ya Ilala anatuhumiwa kushirikiana na baadhi ya Polisi ambao sio waaminifu kutoka Kituo cha Polisi cha Stakshari kuwalinda wahalifu ambao wameendelea kufanya uhalifu Kwa wananchi wa Mtaa huo . Mwenyekiti ambaye anajulikana kwa...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Steve Mguto, mwenyekiti wa timu ya Coastal Union atungiwa wimbo wa kufukuzwa kwenye timu

    Waswahili walisema akufukuzaye hakwambii toka. Steve Mguto hadi unatungiwa nyimbo, ni wakati wako wa kujitafakari na safari ya carrier yako katika club ya Coastal Union hapo katika jiji la Tanga.
  18. Stroke

    JamiiForums Tanzania Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

    Uadilifu ni sifa kuu na ya msingi anayopaswa kuwa nayo kiongozi yeyote yule wa Taasisi ya uma. Chadema kama chama kingine cha siasa ni Taasisi ya uma kwa kuwa imesajiliwa kwa kufuata sheria za nchi zinazoongoza vyama vya siasa hapa nchini kwa maana hiyo haikwepi kuwa na vigezo muhimu vya...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa tawi la ACT wazalendo Tandale pamoja na wanachama wote watangaza kujitoa katika chama hicho

    Mwenyekiti wa Tawi la ACT Wazalendo la CMILICAN Kata ya Tandale, Said Omary Tengeneza, Kinondoni, pamoja na wanachama wake wote wamejiondoa rasmi ndani ya Chama hicho kupitia kikao Cha pamoja baada ya kufanya tathimini ya mwenendo wa viongozi wakuu wa Chama hicho
  20. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Lissu amejiridhisha Mwenyekiti wake hachomoki, ndio maana kaamua kumuombea msamaha kwa Rais Samia

    Hapo vip!! Nijambo la kushangaza na kuchekesha leo Tundu Lissu kumuomba Rais Samia atumie mamlaka yake kuondoa kesi inayaomkabili mbowe mahakamani. Ni wazi Lisu amesikika akisema hii kesi ni ya kutengenezwa na hamna kesi hapo,hivyo alisikika akimuonya Zitto kabwe kutomuombea msamaha mbowe kwa...
Back
Top Bottom