Wakati katibu wa itikadi na uenezi akitoa pole kwa wanachadema na watanzania kwa ujumla kufuatia kifo cha ndugu Ali kibao, Mohammed Ali Kawaida ameendelea kushikilia msimamo wa mwenyekiti wake kuwa utekaji na vifo vya wanachadema ni drama tu, na hata kifo cha Ali Kibao ni drama .
Kawaida...
Kumekuwa na post ya Jenerali Ulimwengu aliyoichapisha kwenye mtandao wa X kwamba Mwalimu Julius Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa chama chake kuanzia mwaka 1954 mpaka 1977, ukweli wa kauli hii upoje?
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Tanga wa CHADEMA Husein Ally jana Sep 5, 2024 alichukuliwa na Mwenyekiti wa UVCCM pamoja na green gurd ambao walimpeleka ofisi za CCM Masiwani Ground wakampiga. Baada ya hali kuwa mbaya inasemekana waliwaita polisi kumchukua, viongozi wengine wa BAVICHA walipata...
Habari wakuu
Nilikuwa naangalia habari hapa nimeona taarifa ya John Momose Cheyo kuchaguliwa na wajumbe wa chama chake kuwa Mwenyekiti kwa kipindi kingine cha miaka mitano
Wajumbe wametoa maoni kwamba bado mwenyekiti wao anafaa na ana maono ya kukisaidia chama, ingawa kidogo kwa namna...
"Zamani nikiwa mjinga nilishawahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA wilaya ya Iringa, lakini zamani hiyo hiyo, nikiwa mjinga zaidi nilishawahi kuwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Isimani, nilikua mgombea wa Udiwani kata ya Mboliboli mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Safari yangu kuikataa CHADEMA ilianza...
Nimemshuhudia mara kadhaa, akitunushiniasha misuli na mawakili na hata kuwatamkia maneno yasiyo ya kistaarbu mbele ya wateja wao.
Najiuluza, kama Kuna tatizo mahala, hakuna namna nyingine ya kueleweshana badala ya kufokeana na kuoneshana umwamba mbele ya lay persons?
Kama sio frustrations...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, CCM mkoa wa Tanga, unachokifanya ni hatari mno kwa mustakabali wa chama mkoani hapa ukishirikiana na swahiba wako Abdul mtoto pendwa wa Rais Samia.
Hatua yako ya kuandaa safu ya unaotaka wawe wabunge 2025 tofauti na utaratibu wa chama haukubaliki. Unawagawa...
ikiwa hali ya kisiasa nchini na mipango mikakati kuelekea uchaguzi mkuu 2025 itakwenda kama ambavyo iko hivi sasa, basi ni dhahiri mgombea makamu Mwenyekiti Chadema taifa atabaki Ezekia Wenje pekee..
Je, ni ishara ya pumzi mpya, fikra mpya, mawazo mapya, harakati mpya na zama za hayati Chacha...
Heshima sana wanajamvi,
Taarifa nyeti chini ya carpet Dr Bashiru Katibu Mkuu Mstaafu na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafishwa anatarajiwa kuchukua mikoba ya Lt Col Kinana.
Katika hatua ya kujiondoa taratibu kutoka kambi ya Wazee wa kulamba asali Mama wa Kizimkazi kaamua kijikita zaidi huko Kanda ya...
Wakuu,
Hizi hapa Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kijiji, Wajumbe, wa Halmashauri ya Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka za Wilaya za mwaka 2024.
Pia soma
~ Je, umeziona na kuzisoma kanuni mpya za uchaguzi wa serikali za mitaa?
~ Rasimu ya Kanuni za Uchaguzi wa Mwenyekiti wa...
Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi...
2025 , kuna dalili nyingi sana ambazo zinaonesha kuna uwezekano wa Upinzani kuchukua dola .
Kuna dalili 2025 kuna wana CCM kindaki ndaki wataihujumu CCM
Kuna dalili 2025 vyombo vya dola vikawa upande wa wananchi
Kuna dalili Asilimia kubwa ya wapiga kura wakawa vijana
Lakini sio siri CHADEMA...
Vyanzo vyangu vinanitonya kuwa Dkt Bashiru Ally anaweza kutangazwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa kuchukua nafasi ya Kinana.
Shida niliyogundua kwake kipindi akiwa Katibu mkuu ni kuamini kuwa bado wananchi wana mawazo ya enzi za mwalimu,ameachwa sana na wakati.
Haendani na kasi ya...
ni zaidi ya mara moja sasa huyu muungwana analalamikia nje ya reli kutuhumu chama chake mwenye kwa rushwa. na safari hii ameenda mbali zaidi na kutishia kukihama chama hicho. sasa sijui anamtisha nani pale chadema..
na mara zote amepuuzwa na viongozi waandamizi wenzake dhidi ya aina yake ya...
Mwishoe ni kuonekana Mtu anayeropoka kumbe Kichama anaongea kutafuta support na huku serikalini anaongea majibu ya kupangiwa na wataalamu.
Sasa uongo uko upande upi? Nadhani hiki kitu kiachwe na vyeo hivyo vitengwe sio CCM tuu bali hata vyama vingine vikiingia madarakani
Rais wa Zanzibar qnaitwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Swali ni je, hilo ni Baraza lipi tena wakati mapinduzi yalishafanyika mwaka 1964?
Au kuna mapinduzi mengine ambayo bado hayajatimia?
Inawzekana ufafanuzi uko katika somo la uraia au some la siasa enzi zile ila...
Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni...
WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA / WADAI KUKADIRIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA
https://m.youtube.com/watch?v=j869hATU_8U
Biashara ya usafirishaji kwa asilimia 75 tunafanya na nchi za kusini za SADC, asilimia 25 iliyobaki tunafanya na Bururundi, Rwanda hilo serikali iliangalie
Sheria za...
Raia wengi wa Kenya katika mitandao ya kijamii hasa ule wa X wameonekana 'kumgeuka' mgombea wao wa nyumbani Raila Odinga na badala yake sasa wanamuunga mkono January Makamba kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika(AU).
Katika taarifa inayosambaa mitandaoni, Wakenya wanadai kuwa wamuzi wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.