mwenyekiti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti CHADEMA (Siha - Kilimanjaro) adai kuna Watu 200 wameandikishwa ambao sio wakazi wa kitongoji chake

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Jimbo la Siha Mkoani Kilimanjaro, Imma Saro anadai katika ziara ya kuangalia majina yaliobandikwa aliyofanya amekuta Kitongoji chenye Makazi 101 kimeandikishwa Watu zaidi ya 375 ambao Watu 200 sio wa Kitongoji cha Ekunywa Kata ya Makiwaru.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Sumbawanga: Mwenyekiti awaongoza Makarani kuandikisha Wapiga Kura Nyumba kwa Nyumba

    Leo ni siku ya mwisho ya kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27. Hali hii inatia wasiwasi baada ya karani na mwenyekiti wa Anglikana B, Kata ya Katandala, Manispaa ya Sumbawanga, kujitokeza kuandikisha wananchi nyumba kwa nyumba...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti UVCCM, Mohammed Kawaida: Tumedhamiria tunazima zote tunawasha kijani

    TUMEDHAMIRIA TUNAZIMA ZOTE TUNAWASHA KIJANI 📍16 Oktoba, 2024 Kagera Kwenye mkutano wa hadhara ambao wenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) ndio mgeni rasmi ambapo katika mkutano huo waliokuwa viongozi wa CHADEMA ngazi ya Mkoa na kiongozi wa Vijana wa...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mwenyekiti wa BAVICHA Dodoma afichua madhaifu na ubadhirifu unaoendelea kwenye zoezi la uandikishaji wa wananchi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Aisha Madoga, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) Mkoa wa Dodoma, amekosoa uandikishaji wa wananchi katika Daftari la Mkazi katika baadhi ya vituo, akisema si sahihi kuwaandikisha wananchi bila kuwapa taarifa kuhusu namba zao. Aliyasema hayo alipofika kujiandikisha katika Kituo...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kilimanjaro: Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM

    Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi? Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
  6. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa TATA GROUP (Ratan Tata) afariki dunia

    Padma Vibhushan Ratan N Tata (Ratan Tata) mwenye asili ya India, alikuwa mwenyekiti wa Kampuni Kubwa ya Uwekezaji inayoitwa TATA GROUP. Ambayo imejikita katika maswali mbalimbali, ikiwemo usafirishaji, Vyakula, Usafiri wa anga. Ratan Tata Amefariki leo akiwa na umri w miaka 86, katika hospital...
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nashauri makamu mwenyekiti CHADEMA apumzike tu siasa, yanini kujilazimisha na haiwezekani kamanda?

    Anatia huruma sana for sure. Ni ngumu kwake, lakini anajaribu kua jasiri kuonyesha ni rahisi kwa namna ambayo haimpi ahuweni wala faida ya kisiasa, nadhani anajiumiza zaidi na kujiongezea udhaifu. Succession plan ichukue mkondo na nafasi yake kuimarisha ustawi wa Chadema ijayo sasa. Upo...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania CAF Yapendekeza Hersi Said apate posho ya Milioni 136.5 kwa mwaka kama Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika

    Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limependekeza posho ya kila mwaka ya dola za Kimarekani 50,000 sawa na Shilingi Milioni 136.5 kwa Mwenyekiti wa Chama cha Vilabu vya Afrika (African Club Association - ACA). Pendekezo hilo litajadiliwa kwenye Mkutano wa 46 wa Kawaida wa CAF, unaotarajiwa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kiukweli Wanachadema walimtia aibu Mwenyekiti Mbowe

    Habari za weekend! Polisi na serikali kitakuwa NI kichaka tuu cha Kutoa Lawama lakini ukweli wa wazi NI kuwa, Wanachadema wamemtia aibu Mbowe. Haiwezeniki Mwenyekiti atoe la namna Ile. Mpaka anasema kama akikamatwa au akiuawa muendelee na maandamano alafu Siku ya tukio mkamkimbia. Nimejaribu...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ajitokeza Magomeni, akamatwa na Polisi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekamatwa na Polisi baada ya kuwasili Magomeni Mapipa akiwa anazungumza na wanahabari kuhusu maandamano Ikumbukwe kuwa Septemba 11, 2024, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na mauaji, akiwemo kada wake, Ali Kibao. Hata...
  11. shamimuodd

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe itisha harambee tuwachangie polisi watakalinda maandamano kesho 23 Septemba 2024

    GTs, Kama tunavyoelewa kesho ni siku kubwa sana hapa Tanzania. Nina wazo; Kwa sababu siku zote serikali imekuwa ikiwanyonya askari polisi wanajikuta wana misongo ya mawazo na kukosa uzalendo. Iko hivi serikalini posho siku hizi ni 150,000 wanavyodai wao kwa watu wasiokuwa na cheo. Naamini hao...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA, F. Mbowe kuzungumza saa 5.30

    Kwa mujibu wa taarifa ya John Mrema kupitia mtandao wa X muda huu saa 5:30. Fuatilia Updates hapa: Mbowe akizungumza na Taifa
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM alipaswa kujibu “Mbowe must go “ na sio kuonesha jazba au kujibu hoja za kisiasa kama Amiri Jeshi Mkuu.

    Tumeona uwezo mdogo wa ku-engage katika siasa za malumbano ya hoja kati ya wanasiasa wetu. Nafikiri rais Samia mara nyingi hujisahau kuwa yeye pia ni kiongozi wa chama cha siasa kama walivyo wengine. Mwenyekiti wa CCM mama Samia alipaswa kujibu hoja za wapinzani kwa kutumia hoja za kisiasa na...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
  15. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Samia Suluhu Hassan kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Utangulizi Ndugu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ninaandika ushauri huu kwa lengo la kuboresha mchakato wa uchaguzi wa wagombea kuanzia ngazi ya Wilaya, Mkoa, hadi Taifa. Ni wazi kwamba mfumo wa sasa una changamoto nyingi ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuhakikisha kuwa...
  16. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro anatakiwa kuwa na sifa hizi

    Mwenyekiti wa Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere katika Mkoa wa Kilimanjaro hujulikana kwa sifa kadhaa, ambazo ni pamoja na: 1. Elimu: Mara nyingi, inatarajiwa kuwa mwenyekiti ana elimu ya juu, kama digrii katika fani zinazohusiana na elimu, siasa, au sayansi ya jamii. Ingawa umakini zaidi...
  17. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Freeman Mbowe amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA kuomboleza msiba wa mzee Kibao

    Nimeona poster ya The Chanzo yenye picha ya Freeman Mbowe ikiwa na maelezo ya kwamba Mwenyekiti huyo wa CHADEMA amemshukuru Rais Samia kwa kuungana na CHADEMA Kuomboleza msiba wa mzee Kibao, je taarifa hii ni ya kweli na chanzo chake ni The Chanzo.
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kufuatia tishio la wanachadema kufanya fujo, Dar es salaam yote iwekwe chini ya uangalizi maalum wa vyombo vya ukinzi na usalama

    NAshauri hilo lifanyike kwa kuhusisha vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Nyumba za wageni zikqguliwe mara kwa mara kubaini watu waliokuja Dar kwa ajili ya uhalifu huo, nyumba za biongozi wa chadema Dar ws salaam nzima zifuatiliwe kwa karibu, wageni wanaoingia na kutoka. Ofisi za chadema zote...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Balile: Mzee Butiku aache uwoga atutajie majina ya Wauwaji wa Kibao aone kama hatutachapisha, aache kututukana Waandishi!

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Mh Balile amepinga Kauli ya Mzee Butiku kwamba Waandishi wa habari wa Tanzania ni Waoga sana Balile amesema yeye Mzee Butiku ndiye Mwoga kwani kama ana Majina ya Watekaji na Wauwaji wa Ally Mohamed Kibao ayapeleke kwa Waandishi wa habari aone kama...
Back
Top Bottom